Afrika: Nchi 10 zenye barabara nzuri Tanzania haimo, Hayati Magufuli alikuwa anafanya nini?

Yule muuaji alijaa tu propaganda na kutafuta kiki
Imagine hizo nchi kama Namibia, Rais wake hata watu wengi hawamjui, lakini nchi yake ipo top
Zee la kiki sasa, linajitia umaarufu ila maendeleo sisimizi
nasikia limehukumiwa kunyongwa mpaka life kwa ukatili lililoufanya Tanzania (court of After Tanzania kwa Mungu)
 
Uongo ulitawala kipindi cha watendaji wa awamu ya mwendazake.

Hii ya kungangania kiSwahili kitumike na kupuuza lugha za kigeni inatumiwa na chama-dola kutuzuia kufahamu mengi ya dunia kwa kisingizio cha 'uzalendo'.

Wakati vijana wenzetu wazazi wao walio viongozi wamepelekwa na bado wanaendelea kusoma ktk shule za msingi na sekondari zilizo na msisitizo na rasilimali waalimu wenye uwezo wa kufundisha na kutumia lugha ya kigeni ya kiingereza kwa kiwango cha juu kama cha shule za vigogo za Zimbabwe, Kenya, Malawi, Zambia na Uingereza.

Pengine kuelewa wa lugha ya kigeni hususan kiingereza, taarifa za maendeleo za nchi zingine za kiAfrika haziandikwi na waandishi wetu ambao lugha hii inawapa tabu, pia sisi wenyewe hatuna ufahamu wa lugha kigeni hivyo tunapitwa na mengine na tulibakia kusubiri kusimuliwa habari zilizohaririwa sana kuwa propaganda na watu aina ya kina Palamagambas.

10 October 2022 ZIARA YA RAIS WILLIAM RUTO
Ndiyo maana Mh. William Ruto alikataa ombi la mwandishi 'mzalendo' kutumia mfasiri wa kiTanzania kwani hata wafasiri wa kitanzania wanafahamika kuwa wengi wangepindisha ujumbe wake

Salaam Wakuu,
View attachment 2382228
Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu.

Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini.
View attachment 2382234
Hayati Magufuli alivyokuwa anajisifia hadi kujiita Askari wa Mwamvuli kwa kufanya kazi ya barabara vizuri

Umasikini Ujinga na Maradhi; Kundi la Wajinga likapumbaza Taifa eti Hayati ni Mchapa kazi kajenga barabara, sijui Nchi iliibiwa sana hivyo kaongea na Barrick watalipa Kodi trilioni zaidi ya 347, huku bajeti ya nchi kwa mwaka ikiwa haifiki trilioni 40.

Haya mambo ya kumsifia hayati Magufuli tuwaachie Wananchi wa Chato japo hajawahi kuwa hata balozi wao wa nyumba kumi.

Mungu anajibu maombi.
View attachment 2382185
Top 11 African Countries With Quality Road🛣

1: Namibia🇳🇦 (score 5.2) world ranking 23

2: Egypt 🇪🇬(Score 5.0)world ranking 28

3: South Africa🇿🇦 (score 5.0) world ranking 29

4: Rwanda🇷🇼 (score 5.0) world ranking 31

5: Ivory Coast🇮🇪 (score 4.7) world ranking 42

6: Mauritius🇲🇺 (score 4.7) world ranking 44

7: Morocco🇲🇦 (score 4.4) world ranking 55

8: Kenya🇰🇪 (score 4.2) world ranking 61

9: Botswana🇧🇼 (score 4.1) world ranking 64

10: Cape Verde🇨🇻 (score 4.1) world ranking

11: Senegal🇸🇳 (score 4.0) world ranking 71

🌐Source: World Economic Forum’s Global Competitiveness Report Indexnimefika kes
Kama kenya iko kwa hii list basi ni batili..hakuna nchi ina barabara mbovu kama Kenya

Mnapenda kuwacharula team magu

Kama hajafanya chochote Mwacheni Kila siku nyuzi Magu magu

Hizi nyuzi zinaboa
Huyo jamaa aliwashika hawatoka wakamsahau hadi kizazi chao cha nne
 
Salaam Wakuu,
View attachment 2382228
Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu.

Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini.
View attachment 2382234
Hayati Magufuli alivyokuwa anajisifia hadi kujiita Askari wa Mwamvuli kwa kufanya kazi ya barabara vizuri

Umasikini Ujinga na Maradhi; Kundi la Wajinga likapumbaza Taifa eti Hayati ni Mchapa kazi kajenga barabara, sijui Nchi iliibiwa sana hivyo kaongea na Barrick watalipa Kodi trilioni zaidi ya 347, huku bajeti ya nchi kwa mwaka ikiwa haifiki trilioni 40.

Haya mambo ya kumsifia hayati Magufuli tuwaachie Wananchi wa Chato japo hajawahi kuwa hata balozi wao wa nyumba kumi.

Mungu anajibu maombi.
View attachment 2382185
Top 11 African Countries With Quality Road🛣

1: Namibia🇳🇦 (score 5.2) world ranking 23

2: Egypt 🇪🇬(Score 5.0)world ranking 28

3: South Africa🇿🇦 (score 5.0) world ranking 29

4: Rwanda🇷🇼 (score 5.0) world ranking 31

5: Ivory Coast🇮🇪 (score 4.7) world ranking 42

6: Mauritius🇲🇺 (score 4.7) world ranking 44

7: Morocco🇲🇦 (score 4.4) world ranking 55

8: Kenya🇰🇪 (score 4.2) world ranking 61

9: Botswana🇧🇼 (score 4.1) world ranking 64

10: Cape Verde🇨🇻 (score 4.1) world ranking

11: Senegal🇸🇳 (score 4.0) world ranking 71

🌐Source: World Economic Forum’s Global Competitiveness Report Index
Huwa wanasema kuuliza si Ujinga lakini hii haiondoi ukweli kuwa kuna Maswali mengine ni ya Kijinga. Ungeuliza CCM miaka zaidi ya 50 inafanya nini Serikalin. Maana hata Magufuli alikuwa CCM.
 
Salaam Wakuu,
View attachment 2382228
Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu.

Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini.
View attachment 2382234
Hayati Magufuli alivyokuwa anajisifia hadi kujiita Askari wa Mwamvuli kwa kufanya kazi ya barabara vizuri

Umasikini Ujinga na Maradhi; Kundi la Wajinga likapumbaza Taifa eti Hayati ni Mchapa kazi kajenga barabara, sijui Nchi iliibiwa sana hivyo kaongea na Barrick watalipa Kodi trilioni zaidi ya 347, huku bajeti ya nchi kwa mwaka ikiwa haifiki trilioni 40.

Haya mambo ya kumsifia hayati Magufuli tuwaachie Wananchi wa Chato japo hajawahi kuwa hata balozi wao wa nyumba kumi.

Mungu anajibu maombi.
View attachment 2382185
Top 11 African Countries With Quality Road🛣

1: Namibia🇳🇦 (score 5.2) world ranking 23

2: Egypt 🇪🇬(Score 5.0)world ranking 28

3: South Africa🇿🇦 (score 5.0) world ranking 29

4: Rwanda🇷🇼 (score 5.0) world ranking 31

5: Ivory Coast🇮🇪 (score 4.7) world ranking 42

6: Mauritius🇲🇺 (score 4.7) world ranking 44

7: Morocco🇲🇦 (score 4.4) world ranking 55

8: Kenya🇰🇪 (score 4.2) world ranking 61

9: Botswana🇧🇼 (score 4.1) world ranking 64

10: Cape Verde🇨🇻 (score 4.1) world ranking

11: Senegal🇸🇳 (score 4.0) world ranking 71

🌐Source: World Economic Forum’s Global Competitiveness Report Index
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan has been named the 2022 winner of the Africa Road Builders–Babacar Ndiaye Trophy. The prize is awarded to leading figures in Africa who have demonstrated their commitment to the development of transport infrastructure on the continent...
Barabara si mali ya mtu..punguani wa akili ndiye anaweza sema barabara za magufuli, magufuli hana barabara, kingine kutokana na hiyo BABACAR AWARD iliyotolewa kwa Tanzania mwaka huu, ni kwa sababu AfDB wanazijua vzr barabara za Africa na nchi inayotumia rasilimali kujenga barabara zenye urefu mkubwa kuliko wengine. Unaweza ukawa na barabara zenye quality ya juu lakini hazifiki popote na ukawa na barabara semi quality lakini zinafika sehemu kubwa ya nchi..
 
Salaam Wakuu,
View attachment 2382228
Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu.

Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini.
View attachment 2382234
Hayati Magufuli alivyokuwa anajisifia hadi kujiita Askari wa Mwamvuli kwa kufanya kazi ya barabara vizuri

Umasikini Ujinga na Maradhi; Kundi la Wajinga likapumbaza Taifa eti Hayati ni Mchapa kazi kajenga barabara, sijui Nchi iliibiwa sana hivyo kaongea na Barrick watalipa Kodi trilioni zaidi ya 347, huku bajeti ya nchi kwa mwaka ikiwa haifiki trilioni 40.

Haya mambo ya kumsifia hayati Magufuli tuwaachie Wananchi wa Chato japo hajawahi kuwa hata balozi wao wa nyumba kumi.

Mungu anajibu maombi.
View attachment 2382185
Top 11 African Countries With Quality Road🛣

1: Namibia🇳🇦 (score 5.2) world ranking 23

2: Egypt 🇪🇬(Score 5.0)world ranking 28

3: South Africa🇿🇦 (score 5.0) world ranking 29

4: Rwanda🇷🇼 (score 5.0) world ranking 31

5: Ivory Coast🇮🇪 (score 4.7) world ranking 42

6: Mauritius🇲🇺 (score 4.7) world ranking 44

7: Morocco🇲🇦 (score 4.4) world ranking 55

8: Kenya🇰🇪 (score 4.2) world ranking 61

9: Botswana🇧🇼 (score 4.1) world ranking 64

10: Cape Verde🇨🇻 (score 4.1) world ranking

11: Senegal🇸🇳 (score 4.0) world ranking 71

🌐Source: World Economic Forum’s Global Competitiveness Report Index
Alikuwa msanii tu yule mzee
 
Magufuli disorders ni wengi sana, haya tuambie hao wajinga wa kuchekacheka walifanya nini?

au magufulin amekua raisi miaka yote?
 
Salaam Wakuu,
View attachment 2382228
Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu.

Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini.
View attachment 2382234
Hayati Magufuli alivyokuwa anajisifia hadi kujiita Askari wa Mwamvuli kwa kufanya kazi ya barabara vizuri

Umasikini Ujinga na Maradhi; Kundi la Wajinga likapumbaza Taifa eti Hayati ni Mchapa kazi kajenga barabara, sijui Nchi iliibiwa sana hivyo kaongea na Barrick watalipa Kodi trilioni zaidi ya 347, huku bajeti ya nchi kwa mwaka ikiwa haifiki trilioni 40.

Haya mambo ya kumsifia hayati Magufuli tuwaachie Wananchi wa Chato japo hajawahi kuwa hata balozi wao wa nyumba kumi.

Mungu anajibu maombi.
View attachment 2382185
Top 11 African Countries With Quality Road[emoji922]

1: Namibia[emoji1176] (score 5.2) world ranking 23

2: Egypt [emoji1093](Score 5.0)world ranking 28

3: South Africa[emoji1221] (score 5.0) world ranking 29

4: Rwanda[emoji1206] (score 5.0) world ranking 31

5: Ivory Coast[emoji1132] (score 4.7) world ranking 42

6: Mauritius[emoji1164] (score 4.7) world ranking 44

7: Morocco[emoji1173] (score 4.4) world ranking 55

8: Kenya[emoji1139] (score 4.2) world ranking 61

9: Botswana[emoji1052] (score 4.1) world ranking 64

10: Cape Verde[emoji1065] (score 4.1) world ranking

11: Senegal[emoji1211] (score 4.0) world ranking 71

[emoji273]Source: World Economic Forum’s Global Competitiveness Report Index
Let me jibu you so shortly,
Wale umati mkubwa waliomzika Magu ndo wanaojua walifanyiwa nini na JPM na nakueleza haitatokea Rais wa Tz akafariki na kuzikwa kwa mguso kama kifo cha JPM kilivyowagusa watu off course in near future.
 
waka

wakati JK anafariki huko UK sijui ulikuwa na umri gani na ulikuwa wapi? kwa taarifa tu ni kwamba msiba wa kambarage ulihudhuriwa na kuwasikitisha watu wengi kuliko ule wa JPM na ukumbuke kipindi hicho hakukuwa na social media na redio nyiiingi kama hizi unazoona na kufuatilia leo?
msiba wa ruge ulijaa watu siyo kwa umaarufu wa ruge hapana.... promotion ya msiba ule zilijaza watu same to JPM
 
Sasa Sisi ni wangapi ?.
Bwana yuleeee alikuwa mwongo kweri kweri.
Mkiambiwa nyumba zivunjwe barabara zijengwe mnapiga kelele. Pia linganisha ukubwa wa hizo nchi na Tanzania
 
marehemu hakuwa mtu wa kawaida kama wewe na mie.... yule alikuwa raisi jina lake linatengeneza habari
John pombe magufuli huyo n mtu wa kawaida t km me na u ila muheshmiw dr. John pombe maguful hy sio mtu wa kawaid kicheo n km n kiongoz bc hakosei ila km watu wengn john anabkia kuwa mtu na anakosea vile alaf sio lzm uwe rais tu au uwe mtu maaan ndo jina lako litengnez habar unawez ukawa mtu wa kawaid tu jina lako likawa habar dunia nzma ndan ya sec tu
 
Mkuu mbona unajichoresha, kwaiyo Ujenzi wa Barabara ulianza awamu ya tano?mbona hutaji Mawaziri wa awamu ya kwanza na ya pili?
Acha chuki Mkuu,zitakupa ugonjwa wa moyo.Magufuli alizaliwa ,akakua,akatumikikia Taifa na muda ulipofika akauwawa.Kwaiyo nadhani na wewe pambana kivyako ili vizazi vyako vije kuona kazi zako.
Wewe umemzidi nini Magufuli kimaisha?pamoja na kufa kwake familia yake inakula bata,wewe familia yako unaendeleaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukiwambia Magu aliwabutua akawaachia mimba wanabisaha yani sijui wana shida gani
 
Embu nitajie barabara ya maana iliyo jengwa mzee wa chato akiwa rais
Hizi barabara zote zilizojengwa, mainly kw WB money na wahisani wengine kama JICA zilishakuwa kwenye mchakato wa kujenhaa tangu wakati wa Kikwete. Yule mbuzi hakuna mkataba mpya zaidi ya haya ma SGR na Stiglers'....white elephant projects.
 
Back
Top Bottom