Mbona wazungu wanakula mikate na tambi sana,sio wanga huo?Sema vyakula vya wanga mkuu. Sisi tunatumia sana nafaka zenye carbohydrates sana kama mahindi na mchele na ngano. Hili lina mchango mkubwa sana kwenye gonjwa la sukari.
Shukrani chiefπSukari ina uhusiano mkubwa sana na upofu pamoja na urijali,
Huwa inaua mishipa midogo ya damu na moja ya mishipa hiyo ni ilie inayosimamisha uume pamoja na macho
Asante sana bush dokta from gugo univasiti. Maelezo yanaeleweka πUkifanya mazoezini au kazi ngumu unaunguza au kutumia sukari nyingi kama energy.
Ukiwa unakula tu na haufanyi mazoezini hii sukari inalundikana mwilini na ndo hiyo huleta ugonjwa
Bush dokta kwa msaada ya gugo
Ogopa sana sukari ikishafikia kwenye kuleta ukhanithi!!!Asante sana bush dokta from gugo univasiti. Maelezo yanaeleweka π
haMnazunguka zunguka, mara carbihydrate mala life style ..
Ishu ni moja tuuu.
Regulation of sugar kwenye blood, hii ni kazi ya Insulin.
ikiwa na afya hii kula ulavyo mwil una in-built capability ya ku regulate sukari kwa Insulin.
Iki feli hii hata uwe unakunywa maji tu,kisukari kitakuondoa
Nchi Ina watu milioni 55! Unapima watu 200 wa mjini! Unasema kisukari kinatisha bongo!Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na wazungu.
Nikasikitika sana kwani nilijua kazi ngumu ni mbadala wa mazoezi.
Hizi data kwa picha zunainesha Tanzania ni namba 4 kwa wingi wa wa wagonjwa wa kisukari Africa.
Nimeona wachangiaj wengi wamejitaid kuelezea kuhusu kisukari ila mim nafikir kisukari kinasababishwa na hitilafu kwenye kongosho ,pia na ulaj mbovu unakuta mtu anakula vyakula ambavyo sio rafiki sana Kwa mfano anakula mara Kwa mara nyama nyekundu,soda Kwa wingi,chips ,bia na vinywaj vyenye sukar sana,kumbuka mtu huyu anapofanya hivyo hata kama atafanya mazoez inakuwa Kaz Bure,pia nimeona Kuna tiba yenye seli(stem cell) imewasaidia watu wengi wenye changamoto ya kisukari ikiwemo kubust immunity na kutibu hitilafu ya kongosho,na nimeona wengi wameondokana na maradhi haya hatari maana kisukari ni ndg yake na presha,na utakuta mtu mwenye presha (high blood pressure)yupo kwenye risk ya kupata kisukari.Kwa ufupi haya maradhi ni hatari na yanaua haraka sana,yanasababisha upofu ,uanith ,uharibifu wa Figo ,in na viungo vingine vya mwili,kinachotakiwa ni kuchukua hatua haraka sana
Inategemea na kazi yenyeweNawaambiaga washkaji zangu, kazi sio mazoezi ila hawataki kunisikia.
Hili la kusema Afrika watu ndiyo hufanya kazi ngumu zaidi una uhakika nalo? Siyo kama zile zile story za kusema wanaokula ugali ndiyo wenye nguvu na wazungu ni legelege? Mimi nadhani Afrika ndiyo yenye watu wavivu zaidi. Kama umewahi kufika Ulaya au nchi yoyote iliyoendelea nadhani utakubaliana na mimi wanafanya kazi mara kumi kuliko sisi. Huku kwetu kazi ngumu wanafanya watu wa vijijini ambako hakuna vyakula na huduma za afya za kutosha. Mjini watu wanaishi maisha ya hatari sana. Wengi kila siku jioni wanakwenda bar kunywa na kula na maofisini hata kukoroga chai wanafanyiwa.Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na wazungu.
Nikasikitika sana kwani nilijua kazi ngumu ni mbadala wa mazoezi.
Hizi data kwa picha zunainesha Tanzania ni namba 4 kwa wingi wa wa wagonjwa wa kisukari Africa.
Nakumbuka Mzee wangu katika ukuaji wangu alikuwa ananizuia kunywa maji huku nakula kuwa italeta kisukari sikuwa na uhakika ila ilikuwa fact sana kwangu katika digestion systemNimeona wachangiaj wengi wamejitaid kuelezea kuhusu kisukari ila mim nafikir kisukari kinasababishwa na hitilafu kwenye kongosho ,pia na ulaj mbovu unakuta mtu anakula vyakula ambavyo sio rafiki sana Kwa mfano anakula mara Kwa mara nyama nyekundu,soda Kwa wingi,chips ,bia na vinywaj vyenye sukar sana,kumbuka mtu huyu anapofanya hivyo hata kama atafanya mazoez inakuwa Kaz Bure,pia nimeona Kuna tiba yenye seli(stem cell) imewasaidia watu wengi wenye changamoto ya kisukari ikiwemo kubust immunity na kutibu hitilafu ya kongosho,na nimeona wengi wameondokana na maradhi haya hatari maana kisukari ni ndg yake na presha,na utakuta mtu mwenye presha (high blood pressure)yupo kwenye risk ya kupata kisukari.Kwa ufupi haya maradhi ni hatari na yanaua haraka sana,yanasababisha upofu ,uanith ,uharibifu wa Figo ,in na viungo vingine vya mwili,kinachotakiwa ni kuchukua hatua haraka sana
Utakimbua kimbia kwa kitumwa hafi ukome. Leta kipande cha tofali,...... sio hichoo leta kitofalii,....... Oya huyu dogo mmemtoa wapi hajui kitofa ππIla sio saidia fundi mkuu πππππ
Hata ufanye mazoezi kama punda,kongosho iki fail,balaa inaenda...Kuna vitu kibao kwenye vyakula vya sikuhizi...hujuma ni nyingine sanaInsulini ndio shida ikifa et
Inatakiwa tule niniSema vyakula vya wanga mkuu. Sisi tunatumia sana nafaka zenye carbohydrates sana kama mahindi na mchele na ngano. Hili lina mchango mkubwa sana kwenye gonjwa la sukari.
ilmu ya wapi hii?Kabisa Ukiondoa kisukari cha kurithi, vyakula vyenye sukari ndiyo chanzo kikubwa.
Nadhani mazoezi ni ziada,mfumo wa chakula ukoje?Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na wazungu.
Nikasikitika sana kwani nilijua kazi ngumu ni mbadala wa mazoezi.
Hizi data kwa picha zunainesha Tanzania ni namba 4 kwa wingi wa wa wagonjwa wa kisukari Africa.