Hizi wanga wanazozidis ndo vyakula vya bei chee.
Matunda ni ya wenye kipato cha ziada, matunda kibongo bongo hasa mkoa uliojaa mafukara kama dsm, matunda ni anasa labda uwe karibu na soko au unfanya kazi humo sokoni.
Chipsi hata za buku unapata, nguna buku, wali buku, pilau buku.
Matunda bei imechangamka, mtu wa kipato kidogo hata mtumishi anaelipwa below 500k sio rahisi kuafford mlo na tunda kwa mwezi mzima. Tunda na msosi bei inaweza kulingana si hasara hiyo [emoji23].
Tatizo ni kweli ni elimu ya lishe ila hata hiyo elimu ikitolewa na kueleweka ndo italeta shida zaidi ya vitu kupanda bei, na pia wadau kutoafford.
Tuendako hali ni mbaya zaidi ya hii.