Afrika ni uthibitisho kwamba Maendeleo yanategemea akili kuzidi uchawi, pamoja na ndumba zote hizi bado tupo nyuma sana

Afrika ni uthibitisho kwamba Maendeleo yanategemea akili kuzidi uchawi, pamoja na ndumba zote hizi bado tupo nyuma sana

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Hasa kwa nchi zilizopo chini ya jangwa la sahara tulikojaa waafrika wenye skin tone nyeusi.

Tena kuna makabila makubwa karibu kila familia ina mganga wake, hata hapa kwetu Tz lipo.

Mambo mengi tunaamini ushirikina ndio suluhisho, mtu akiumwa anahisi karogwa, kwenye biashara mtu anaweka mikaa anaamini anajilinda na chuma ulete, kwenye mapenzi mtu anamwekea mwenzake limbwata, n.k.

Haya yote yanafajyika lakini Afrika tuna hali mbaya mnoo !! Kanchi kadogo tu kama Israel kana uchumi wa Trilioni elfu moja mia nne yani hata uchabganye nchi zote afrika mashariki hazifiki, hapo tukianza kuzungumzia kina kuwait, saudi, n.k. ni balaa,
 
Back
Top Bottom