Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Unajua gari alizokuwa anatumia kipindi kile zilikuwa Aina gani na ulaji wake Wa mafuta ukokuaje? Au unapayuka tuu
 
Kiukweli katiba mpya inatakiwa ujinga wa namna hii uishe nchi inamatatizo kibao lakini wao wanaona raha kutembelea gari za milioni 600? Kiukweli ccm wanatakiwa wapumzishwe!
Katiba mpya ndio inasema Serikali usinunue gari? 🤣🤣🤣🤣🤣.

Acheni ujinga jamani,Nchi nyingi Zina hizo Katiba mpya vipi huko maisha Ni matamu? Tuanze na Ghana, Kenya,South Africa?
 
Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P

Bro, this is damn low unless your injecting some sarcasm into this whole thing. Kodi zetu badala ya kufanya mambo ya maana, zina-service maisha ya viongozi. Na kwa idadi ya viongozi, ni pesa nyingi sana zinatumika kuwapa maisha bora viongozi. Inaumiza sana kiongozi wa nchi iliyoendelea anamlipa transport allowance kiongozi, tena kiasi cha kupanda public bus, lakini sisi tunampa mtu gari inayofanya rounds za kazini, sikoni, kanisani/msikitini, sehemu ya starehe, shuleni kwa watoto, nyumbani likizo na mikutanoni!!

Pesa zinazohitajika kufanya maendeleo zinatumika kutunza viongozi wasiolipia hata bills za maji, umeme, kodi ya nyumba wala samani!!
 
Comfortable kwakuwa wenzako wanaopanda treni la TRC hawafai kuwa comfortable? Kwani pickup Hilux haliko comfortable?
 
Ndio maana siasa ni kama vita Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…