Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Ulivomalizia hapo kiongozi umenivunja mbavu sana! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Sijui uchawi gani wameweka wajapan kwenye hayo madude maana ukishapanda Tu basi maisha yote ya njaa unasahau....tutapiga kelele Sana ila hawateza kuacha kutumia V8
Ukitaka kujua hivyo vyuma vipoje safir navyo.mzee tuta unafukia na husikii hata kunesa.iin short haya magar sio kwamba yeye Mh Rc kachagua.naona mnashambulia utafikir ni yeye ndio kaenda showroom kuchagua wakat yey anapeleka ombi tu kwa Pm. Wao wanachakata kibal kinarudi mkoa unapewa gari
Ulitaka rais wa mkoa atembelee harier?? Mnapenda muwe mnaskia ajali kila siku na vibakuli? Madungu jesh hayo ndio imara kwa barabara za africa.haliiingii gerej hilo kubadilisha kitu in 10 years. Zaid ya oil.tu.
Tuachen watu wa procumnent ndio tunajua msitupangie
 
Uovyo wa miundo mbinu ya barabara unaletwa na wananchi hadi muwakamue kiasi hicho kununua gar za milion 600?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…