Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Huu upuuzi ulianza enzi za JK, ukakua zaidi kipindi cha Jiwe na sasa unaendelea.

Usimwamini Mwafrika ndugu.

Magufuli kwenye kampeni 2015 alisema ataondoa ma V8 na alipoingia ndiye aliyebariki mpaka ma DAS kuanza kutembelea ma V8.

Mungu-Mzungu-mwarabu-mwafrika-Sokwe
Magu hakuwahi kuingiza magari namna hii.
 
Paskali hata bwana Yesu alipo hitaji usafiri alipelekewa punda-V8 ya wakati ule
Punda ulikuwa usafiri wa Kimaskini. Kama huelewi. Farasi ndo ulikuwa usafiri wa kifahari. Taja mfalme ambaye alikuwa anapanda punda. Yesu alidharaulika kwa sababu hiyo pia. Tena alipanda mwana punda. Alipanda Vitz. Nyie hamsomi Biblia
 
Hivi unaakili kweli, ninani aliyemfukuza kazi das wa geita kwa kuwa na gari la bei kubwa
Ile picha ya yule DAS iliishia wapi?
Mwanae ambaye pia ni das huko morogoro umesahau kuwa alikuwa akitembelea gari ya thamani kuliko ya Mkuu wa mkoa wa Morogoro?
Inaonyesha una mapenzi ya dhati na huyo maiti lakini hukumfahamu vizuri.
 
Wacha halafu unaambiwa kuna uhaba wa madarasa
Ukiwa na viongozi wa nchi wenye maono na wanajitambua , ujinga wa namna hiyo hauwezi kutokea!
Mfano mzuri ni Rais wa Zambia, mara tu alipoingia madarakani akasimamisha uagizaji wa magari ya Kifahari ambayo mtangulizi wake aliyemshinda kwenye uchaguzi alikuwa amekwisha yaagiza na badala yake akaamuru magari yalyokuwepo awali ambayo yalikuwa katika hali nzuri ndio yaendelee kutumika!! Uamuzi ambao uliokoa fedha nyingi zilizoelekezwa kwenye maendeleo ya watu.
Sisi hapa kila mara Rais mpya akiingia madarakani, magari yote wanauziwa viongozi wa serikali kwa bei ya kutupa na magari mapya yanaagizwa bila econmic justification yeyote isipokuwa ujinga na ulimbukeni!
 
Ukiona nchi yeyote inaendekeza ujinga kama huu basi juwa kuwa hiyo nchi ina rais kilaza
 
Kama hizo fedha zipo, why not?

With all due respect Pascal 600 M for one car[emoji15] let's check out the reality HIYO HELA HAKUNA. Piga mahesabu kuanzia DC, wabunge na wengineo wakitumia GXR bajeti tunayospendi kwenye magari KIASI Gani?

I saw an article from the Citizen where Tanzania is one amoung the countries which spend a lot of money for buying expensive cars to government officials.
Mh.Rais ametuonesha thamani ya m600 ilivyo,kwa hiyo m600 unajenga kituo kipya cha afya,unaanzisha shule mpya

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Wanataka kumsikia Lungu aliyefukia magari aridhini kuyaficha baada ya kushindwa uchaguzi? Acha uongo Hichilema is very popular in Zambia kwasababu sio mwizi!
Hichilema anayesafiri kila uchwao? Sio Lazima wamkumbuke Lungu Ila Wazambia wanatafuta Mbadala wa Hichilema
 
Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476044
Ni sawa kwakuwa wanachi kama wa Morogoro wanataka Gari la kuzikiwa ambalo abood kishatoa, menas kila kitu wameridhka.

Wagogo walimpa kura mavunde baada na yeye kuwaletea gari la kuwazika.

Sasa wananchi kama hao ukiwaongoza si mtelezo tu?
 
I think sababu ya kununua gari la 600M ni uimara na ubora wa gari. So usicomplicate bro.. kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake.. but kuna wengine kamba zilishakatika kitambo
 
I think sababu ya kununua gari la 600M ni uimara na ubora wa gari. So usicomplicate bro.. kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake.. but kuna wengine kamba zilishakatika kitambo
Asante. Maoni yako yamepokelewa kikamilifu
 
Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476044
Serikali ya CCM imetufikisha mahali pabaya sana. Ni lini watanzania tutaamka na kumtoa huyu mbwa madarakani asiendelee kuchezea kodi zetu kwa mambo ya kipimbi kama haya?
 
Back
Top Bottom