Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Una uhakika Tanzania mafuta hakuna ?

Mwanzo ulisema gas na mafuta umeswitch tena.
Mkuu usilazimishe mijadala isiyo na maana.
Tanzania mafuta yapo wapi?
umeniuliza mifano ya rasilimali ndiyo maana nikataja mafuta kama mfano wa rasilimali za maana.
 
Mkuu usilazimishe mijadala isiyo na maana.
Tanzania mafuta yapo wapi?
umeniuliza mifano ya rasilimali ndiyo maana nikataja mafuta kama mfano wa rasilimali za maana.
Unajua kuhusu Mnazi Bay ?
 
Kuna mahala nilikuwa nasoma leo, India wametawaliwa na Uingereza kama zilivyo Nchi nyingi za Afrika cha ajabu India wakakataa kuiga lugha,dini,na life style za muingireza akaamua Ku adapt technology. Afrika tuka adapt lugha,dini na mifumo mingine tukaacha technology.
 
Hizo ni hatua ndogo tu za kuanzia, ambazo tumeshindwa.

Sasa hapo tukitaka kujiongeza zaidi kwenye elimu na uchumi lazima tushindwe...
Acha kudanganywa wazungu waamini uchawi na dini mpaka movie kibao za kichawi zipo kwao mpaka kesho.

Nchi kama Tanzania elimu uliyopatika awali iliwafanya watu kuwa na hadhi ndani ya nchi pekee na kudharau wengi ila ilikuwa ndogo mno, Nyerere alifeli kutoa huu mfumo wa elimu kwa sababu hata alioiwatumia walikuwa wamesoma elimu mkoloni hawakuwa na jipya.


Pia Nyerere hakutaka watu wasome mapema kama yeye alivyoenda nje ,sidhani kama alikuwa na nia mbaya ili iliharibu kila kitu pia.


Mpaka leo hapa Tanzania kuna international school zina mitaala yake na za kawaida sasa huoni kama kuna tatizo kwa nn tusishift kwenda kule wote kwa wakati?

Waliotangulia kupata elimu ya mkoloni walikuwa wezi kazi ilikuwa kwenda nje ya nchi na hata maarifa hawakuwa nayo kiivyo ,mzungu hawezi kukupa code zote za elimu na ndio maana wasomi wa awali wamebaki kufanya kazi nje tu ila uhalisia hawana maarifa ya kugundua Chochote..Kitu wamepata ni kujua kingereza ila hamna kitu.

Baadae wakaanza siasa mpaka mwaka 1992 ilikuwa bado mapema kuanza na mitaala ya elimu mizuri ila baada siasa zinakaanza kugawanya watu kwa mfumo wa vyama vingi hata wale wasomi waliingia kweny siasa kuanza kula pesa ila hwana ujuzi wowote wa jufanya ubinifu ...Siasa ilikuwa cheap katika kujipatia pesa kwa utapeli.
 
Lazima tutofautiane:-​
  • kuna kuku wa kienyeji na kuku wa kisasa, lakini wote ni kuku; ingawa wanatofautiana namna ya kuishi, kufikiri, kujilinda n.k​
  • Kuna ng'ombe wa kienyeji na ng'ombe wa kisasa, lakini wote ni ng'ombe; ingawa wanatofautiana namna ya kuishi, kufikiri, n.k​
  • Hivyo hivyo, kuna binadamu weusi, weupe n.k, lakini wote ni binadamu; ingawa wanatofautiana namna ya kuishi, kufikiri, kujilinda n.k​
Kwa hiyo hakuna wakumlaumu; uwezo wetu wa kufikiria ndio umeishia pale​
 
Very true...so Sasa tufanyaje..tubadili mfumo wa elimu yetu. Tunafanyaje asa elimu yetu iweje
 
Very true ..so kwamba tukiwa serious na kazi maendeleo yatakuja..bila kuonekana huruma.
 
Very true...Ila pia bado majority population ya western countries ni religious people..so ishu sio kuondoa dini kabisa coz utaonekana kiongozi shetani(Kama Obama) issue ni kuencourage critical thinking ndo maana wazungu despite dini kuwepo bado wanaendelea coz wanatanguliza akili kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…