Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Usilaumu rangi Sasa...hamna tofauti ya ubongo wa mwafrika na Mhindi
 
Wazungu walipaswa endelea baki hadi tujitambue, sababu tayari tulikuwa huru tungeishi nao
Asa...huoni kwamba tungenyanyaswa...ukoloni sio kitu kizuri tafuta watu wazima walioshi kipindi hicho watakuelezea.
 
🤣Wanaombea corona iondoke au sio ..
 
Asa...huoni kwamba tungenyanyaswa...ukoloni sio kitu kizuri tafuta watu wazima walioshi kipindi hicho watakuelezea.
Unanyanyaswa vp wakati we tayari una uhuru?
Kwani walipoondoka mmefaidi kipi
 
Usilaumu rangi Sasa...hamna tofauti ya ubongo wa mwafrika na Mhindi
Tofauti ipo, ndio maana dunia ina vitu viwili viwili; angalia nchi zote zenye waafrika, iwe Haiti, Guyana, nchi za kiafrika n.k matatizo yetu yanafanana fanana.
 
Haha alafu yeye anafaidika Nini...🤣au ndo kama kocha wa Tanzania ila mgerumani
 
Bana ..🤣ushazingua. Usiseme rangi...mi spendi ukisema rangi unakuwa husaidii ni sawa na kusema tumeshindikana which is not true
 
Alright I'll read it
 
Bandari ya Dar es salaam hata isingekuwepo kusimgezuia nchi zote landlocked zinazotuzunguka zisipate mizigo kwa Bei rahisi.
It's not that special, ni makelele tu.
🤣Jamani wakikuskia wenyewe mi simo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…