Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Lazima tutofautiane:-​
  • kuna kuku wa kienyeji na kuku wa kisasa, lakini wote ni kuku; ingawa wanatofautiana namna ya kuishi, kufikiri, kujilinda n.k​
  • Kuna ng'ombe wa kienyeji na ng'ombe wa kisasa, lakini wote ni ng'ombe; ingawa wanatofautiana namna ya kuishi, kufikiri, n.k​
  • Hivyo hivyo, kuna binadamu weusi, weupe n.k, lakini wote ni binadamu; ingawa wanatofautiana namna ya kuishi, kufikiri, kujilinda n.k​
Kwa hiyo hakuna wakumlaumu; uwezo wetu wa kufikiria ndio umeishia pale​
Usilaumu rangi Sasa...hamna tofauti ya ubongo wa mwafrika na Mhindi
 
Wazungu walipaswa endelea baki hadi tujitambue, sababu tayari tulikuwa huru tungeishi nao
Asa...huoni kwamba tungenyanyaswa...ukoloni sio kitu kizuri tafuta watu wazima walioshi kipindi hicho watakuelezea.
 
Dini ni utumwa wa fikra kwa waafrika wengi.

Badala ya kufanya kazi wana amini eti Mungu atatenda, Mungu ata saidia au kwamba kuna kudra za mwenyezi Mungu.

Kitu ambacho hakipo.

Viongozi wa serikali badala ya kuwa jibika ipasavyo, Wana omba eti viongozi wa dini wawa ombee na kuombea taifa!!!!

This kind of Mentality, ndizo zina zalisha viongozi wa hovyo na wabovu.
🤣Wanaombea corona iondoke au sio ..
 
Asa...huoni kwamba tungenyanyaswa...ukoloni sio kitu kizuri tafuta watu wazima walioshi kipindi hicho watakuelezea.
Unanyanyaswa vp wakati we tayari una uhuru?
Kwani walipoondoka mmefaidi kipi
 
Usilaumu rangi Sasa...hamna tofauti ya ubongo wa mwafrika na Mhindi
Tofauti ipo, ndio maana dunia ina vitu viwili viwili; angalia nchi zote zenye waafrika, iwe Haiti, Guyana, nchi za kiafrika n.k matatizo yetu yanafanana fanana.
 
Waafrika ni wabishi, wavivu halafu ni wezi sana. Kuna kitu tunaita ''ujanja'' lakini kumbe ni upumbavu. Mtu corrupt anaitwa mjanja. Mimi ningefurahi sana kama tungeajiri viongozi wetu kuitoka nchi zilizoendelea. Urais ufanyiwe usaili, tuchague mmoja kutoka eg Sweden, tumuombe aje na timu ya mawaziri na nafasi nyingine nyeti waje kutuongoza.
Haha alafu yeye anafaidika Nini...🤣au ndo kama kocha wa Tanzania ila mgerumani
 
Tatizo ni kwamba maoni haya ya kuisaidia Afrika yamezungumzwa sana, yana zungumzwa sana kila mara na watu mbalimbali, Lakini Nothing happens.

Kina profesa Lumumba na watu wengine wengi wamesha toa semina sana, piga kelele sana za kuwahimiza viongozi wa Afrika kubadilika, wamehubiri vya kutosha kuhusu kuibadili Afrika iwe ya maendeleo, Lakini Hakuna hata dalili ya kubadilika.

Utofauti wa mwafrika na nyumbu ni mdogo sana.

Labda kama Evolution ina endelea waafrika wanaweza kubadilika na kuwa binadamu kamili.

Lakini ni kama vile waafrika ni "incomplete human beings"

Ndio maana yule balozi wa Romania nchini Kenya ali wafananisha waafrika na Tumbili.View attachment 2731601
Bana ..🤣ushazingua. Usiseme rangi...mi spendi ukisema rangi unakuwa husaidii ni sawa na kusema tumeshindikana which is not true
 
Mkuu,

Hata kwenye conspiracy theories, watu huwa wanatia chumvi habari yenye kiini fulani cha ukweli.

Ni vigumu sana kuanzisha conspiracy theory out of the blue.

Ukisoma ripoti hii ya Department of Justice ya USA (ambayo iko biased kutetea serikali) utaona wanasema kuna habari zimetiwa chumvi, lakini utaona pia kuwa kuna kiini kikubwa cha ukweli kufanya hiyo habari kutiwa chumvi.

It can be confusing kwa sababu mara nyingine kuna tatizo la definition na makosa ya omission na commission.


Alright I'll read it
 
Bandari ya Dar es salaam hata isingekuwepo kusimgezuia nchi zote landlocked zinazotuzunguka zisipate mizigo kwa Bei rahisi.
It's not that special, ni makelele tu.
🤣Jamani wakikuskia wenyewe mi simo
 
Back
Top Bottom