Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

🤣Eti wanapiga simu. Okay so tunaboreshaje institution zetu..
 
tunawapa urais watu kama kina Samia unategemea nini??mtu ambaye angefaa kuwa anachoma vitumbua uko makunduchi.
 
🤣🤣🤣🤣Nyie mna bifu na CCM tu humu...Ila serious sioni haja ya damu...ni issue ya kujipanga tu kwenye mambo ya system haya
 
Ndo maana nasema nchi hii ni connection ukiwa mzembe ndo utafuatiliwa
 
🤣So unataka binadamu tuishi Kama wanyama pori
 
Very true lakini... Dubai imeendelea kinoma Tena juzi juzi tu hapa
 
Unavyosema pombe mwanamke na mziki una assume...1. nchi nzima ni wanaume 2. Hivi vitu havipo nchi nyingine.. which is wrong.
 
Ukimaliza ku google pics za India google na za marekani na Russia..maskini wapo kila nchi bana
Gap ya walionao na wasionao ? Idadi ya Masikini ? Hivyo vyote lazima uviangalie ukiangalia kwa jicho hilo la sustainability huenda hautawaonea wivu India.., na mtu mwenye vision ni rahisi kulitoa hili taifa na mataifa ya Africa na kuwa matajiri kuliko India Bado ili sumu ya gap kubwa haijaingia sana....
 
Ndio hapo inabidi tuweke definition ya maendeleo ? Maendeleo ni nini ? Unaweza ukasema nchi yako imeendelea kama majority ni masikini wa kutupwa ? Katika nchi zenye gap la classes India ni mojawapo
🤣Okay indicators za development ni mambo kama GDP life expectancy mortality rate literacy rate per Capita etc...India wamejitahidi in most.. na maendeleo yake tunaona in terms of science na trade..na investments
 
Sawa...lakini si unaona India ilivyo jamani... Si unaona vitu inavyofanya kimataifa... Huwezi sema Ile ni nchi maskini. Wahindi wameteka biashara, Sayansi, elimu, entertainment na mambo kibao...
 
Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.

Afrika jamani shida ni nini?
Watu wenyewe ni wavivu, wezi na wapenda starehe sana kuliko kazi. Angalia hii clip ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya namna wafanyakazi na madiwani walivyotengeneza mtandao wa uwizi
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…