SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
- Thread starter
- #321
Cha muhimu uhai tu sometimesYaani mpaka inakera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha muhimu uhai tu sometimesYaani mpaka inakera
🤣Eti wanapiga simu. Okay so tunaboreshaje institution zetu..Wanaendelea sababu taasisi ziko strong. Mahakama ya Marekani huwezi kuichezea kijinga kwa kupiga simu zako eti kisa wewe ni billionea.
Bongo ukiwa kapuku milango ya jela iko wazi ila ukiwa na connection na IGP na DPP tu na mpunga unao jela kuingia ni ndoto.
🤣🤣🤣🤣Nyie mna bifu na CCM tu humu...Ila serious sioni haja ya damu...ni issue ya kujipanga tu kwenye mambo ya system hayaNchi ikokosa amani kidogo tutajifunza kitu flani.
Kwa sasa kila mtu ni mbinafsi kwa sababu sio shida zake familia yake inakula na kulala bila shida wengine wanaonyanyasika na ushenzi wa watawala wanaonekana ma foreigner tu.
Ila siku kikinuka janga litakuwa la kitaifa tutashikamana bila kampeni. Wenye nacho na wasio nacho lengo litakuwa ni moja tu kumfurusha jinamizi Chama cha Mambuzi na viongozi wake wasiothaminu utu.
Waambie hawa na huo U-Super-Power kama watakuelewaFyn .ndo superpower tayari asa...huwezi badilisha kitu
Ndo maana nasema nchi hii ni connection ukiwa mzembe ndo utafuatiliwaSasa wamekuja na wizi wa 450m na kuacha ule wa Kijambazi mpaka leo hawaongelei tena ntaona wapo serious kama watakuja kujadili taarifa ya CAG kuliko kuhangaika na kesi za rushwa mahakamani zote ni kujenga maadili mema ila kwa nini zingine ziachwe na zingine zifatiliwe kwenye Nchi hiyo hiyo moja...
So unaistarabishaje jamiiElimu haisaidii kwa jamii isiostaarabika
Watu wanasingiziwaga lakini mpaka kuuliwa kumbe sio ..baadae wanagundua tayari mtu kaendaAkisingiziwaje wakati evidence zipo
🤣So wabongo hatuna akili si ndio?Shida ni Upstairs Zetu
So kabla ya hapo... tulikuwa matajiritunawapa urais watu kama kina Samia unategemea nini??mtu ambaye angefaa kuwa anachoma vitumbua uko makunduchi.
Ukimaliza ku google pics za India google na za marekani na Russia..maskini wapo kila nchi banaWaambie hawa na huo U-Super-Power kama watakuelewa
View attachment 2732243
🤣So unataka binadamu tuishi Kama wanyama poriSio kwa bongo hii. Huku suluhu ni kupelekana ahera tu.
Mob Justice ni mbaya ila imesaidia sana kuishape jamii hata maaskari wanajua kuwa kuna wezi ambao wao jela kwao kama nyumbani hadi wamezoeleka.
Inapotokea fursa ya wananchi kuwafyeka huwa inawapa hata wao ahueni. Wanaacha mmalize kazi wao wanafuata mzoga tu.
So amani ni ya uongo tu..ndo unavyosema. Ila vita sio kitu kizuri ujueWatu wanataka kuhubiri amani ili waibe kwa starehe bila kupigiwa kelele.
Very true lakini... Dubai imeendelea kinoma Tena juzi juzi tu hapaBongo hakuna biashara ya kimataifa na ile ya Tanzanite na Gold ni nini? 😂 Sema tu watawala ni wabinafsi na hawajali maslahi ya taifa as a whole bali wao watapewa nini na hao wawekezaji wanaokuja kunyonya resources.
Mtu anapewa billion 50 ya hongo anawamegea wenzake 10B kisha anasainisha mkataba wa miaka 90 wa vitalu vya madini. Watu wanajichotea mara elfu ya hio billion 50 wakimaliza hio miaka ni wameacha mahandaki tu.
Kiongozi hapo akishapewa hizo hela atakula yeye na familia yake tu. Watajenga majumba ya kifahari na magari. Raia wa kawaida mtapigwa mabomu mpishe site alipopewa muwekezaji. Huu ndio mfumo wa bongo.
Kwa ubinafsi huu bila kupigana nakoz na watawala hatutoboi. Tutabaki kulalama tu miaka nenda rudi wajukuu wetu ndio watakaoteseka..Wakati wangeweza kuja kuogelea kwenye utajiri wa rasilimali kama wafanyavyo warabu wa Dubai tunaotamania maisha yao. We unadhani wangekubali kuchimbiwa mafuta kwa kupewa 3% ya faida kila mwaka wangeendelea wale?
SijakuelewaNinaamini kuwa tungetawaliwa tungeuchangsmkia uhuru wetu, ukimpa mtu nyumba bure usijeshangaa ukaikuta imeota mti sebuleni, hana uchungu nayo.
Unavyosema pombe mwanamke na mziki una assume...1. nchi nzima ni wanaume 2. Hivi vitu havipo nchi nyingine.. which is wrong.Muafrika anataka mambo matatu
1-Pombe
2-Mwanamke
3-Mziki
Akishalewa anataka mwanamke plus mziki.
Muafrika kazoweya Kutaaliwa na sio kutawala .
Mfano aingie Mzungu ofisi yyote atafanyiwa mambo yake haraka haraka na rushwa hatoi ,lkn muafrika mwenzako pesa unatoa na mambo yako hayendi tofouti sana na Waarabu Mzungu anaoekana mtu wa kawaida sana tu.
Waafrika bado HAWAJITAMBUA hawajui wanataka kitu gani ktk nchi zao.
Gap ya walionao na wasionao ? Idadi ya Masikini ? Hivyo vyote lazima uviangalie ukiangalia kwa jicho hilo la sustainability huenda hautawaonea wivu India.., na mtu mwenye vision ni rahisi kulitoa hili taifa na mataifa ya Africa na kuwa matajiri kuliko India Bado ili sumu ya gap kubwa haijaingia sana....Ukimaliza ku google pics za India google na za marekani na Russia..maskini wapo kila nchi bana
🤣Okay indicators za development ni mambo kama GDP life expectancy mortality rate literacy rate per Capita etc...India wamejitahidi in most.. na maendeleo yake tunaona in terms of science na trade..na investmentsNdio hapo inabidi tuweke definition ya maendeleo ? Maendeleo ni nini ? Unaweza ukasema nchi yako imeendelea kama majority ni masikini wa kutupwa ? Katika nchi zenye gap la classes India ni mojawapo
Sawa...lakini si unaona India ilivyo jamani... Si unaona vitu inavyofanya kimataifa... Huwezi sema Ile ni nchi maskini. Wahindi wameteka biashara, Sayansi, elimu, entertainment na mambo kibao...Gap ya walionao na wasionao ? Idadi ya Masikini ? Hivyo vyote lazima uviangalie ukiangalia kwa jicho hilo la sustainability huenda hautawaonea wivu India.., na mtu mwenye vision ni rahisi kulitoa hili taifa na mataifa ya Africa na kuwa matajiri kuliko India Bado ili sumu ya gap kubwa haijaingia sana....
Watu wenyewe ni wavivu, wezi na wapenda starehe sana kuliko kazi. Angalia hii clip ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya namna wafanyakazi na madiwani walivyotengeneza mtandao wa uwiziJamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.
Afrika jamani shida ni nini?