SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
- Thread starter
-
- #421
So sisi ni tumbili?Balozi wa Romania nchini Kenya aliwa fananisha waafrika na Tumbili.
Naona yuko sahihi.
Sema kwa vile waafrika hawataki kusikia ukweli na kutanguliza mihemko na emotions badala ya Akili na Logic.
Walimwita mbaguzi.
Kumbe ndio uhalisia ulivyo.
🤣🤣Cheki asa...unazingua banamimi tangu nilipoanza kufuatilia mabo ya utawala na siasa za Africa,...nilithibitisha hili....nadhani hata tumbili wametuzidi kwa namna fulani tusiyoielewa....
nahisi hawa sokwe au tumbili ambao tunafananishwa nao kama wana ka ustarabu fulani unaeleweka kuliko sisi waafrica...kiufupi hatueleweki,hatuelewi na hatujielewi...,🤣🤣Cheki asa...unazingua bana
Chagua moja kusuka au kunyoaSo una taka tujichubue
GDP sio measurement ya Society WelfareGDP,
Per capital inachukua average kwahio Kama una kina Kina Azam watatu na Ombaomba laki mbili usishangae ukaambiwa uchumi wenu upo vizuri sababu huyo AZAM mmoja anawachangia watu lukuki wakati kumbe majority ya hao hata milo mitatu hawapatiper Capita income,
Kuna kipindi baada ya Uhuru Literacy number zetu zilikuwa nzuri sana jambo ambalo wengine wana-argue tumeshuka - sasa sijui tumezidi kuwa masikini between then and now au vipi - You decide....literacy rates,
Hii inaendana pia na lifestyle kuna mji Japan unaitwa Nagano nadhani kule ndio kuna average kubwa ya watu kuishi zaidi wakati kabla ya vita vikuu walikuwa ni among the least; walichofanya ni kubadilisha lifestyle (Pamoja na kula healthy foods - jambo ambalo watu wenye pesa / income kubwa wanakula more junk foods)mortality rate,
Tangu tulipopata tu uhuru ndio matatizo yakaanzia hapo mpaka leo bdo yamekuwa sugu kama zaidi ya miaka 60 ya uhuru mpaka leo bdo hatuna performance nzuri kwenye Afya,Elimu,miundombinu,uongozi Bora,uchumi yani sekta zote mpaka kwenye michezo bdo tupo nyuma sasa hapo unategemea nn tena!Afrika ina sindikiza Dunia Waafrika wanaishi miaka 100 nyuma ya Ulimwengu.
Waafrika ni wasindikizaji hapa duniani wala hakuna wawezacho zaidi ya Wizi, Rushwa Uhujumu uchumi, kujilimbikizia mali, ulevi, ngono,umbea na majungu.
Hao waliokufa ilikua ni sadaka ya kusaidia wengine lakini Leo wako vizuri, huku wengine tunasherekea miaka 60+ ya uhuru alafu bado watoto wanakaa chini shule, bado vyoo havitoshi mashuleni na matatizo kila sehemuWenzako wameteseka Sana kipindi Cha ubaguzi..mpaka wanafunzi kufa
Duu haya ya moyoninahisi hawa sokwe au tumbili ambao tunafananishwa nao kama wana ka ustarabu fulani unaeleweka kuliko sisi waafrica...kiufupi hatueleweki,hatuelewi na hatujielewi...,
yaani bila shaka kabisa mi nahisi hata hawa sokwe au tumbili pia wanakasirishwa kwa kufananishwa na sisi ni vile tu wameshindwa kutufahamisha hili....
Haha asa sielewi inahusikaje na kujichubuaChagua moja kusuka au kunyoa
🤣 Duu bac according to u India sio developed...ila dunia nzima inajua otherwiseGDP sio measurement ya Society Welfare
Per capital inachukua average kwahio Kama una kina Kina Azam watatu na Ombaomba laki mbili usishangae ukaambiwa uchumi wenu upo vizuri sababu huyo AZAM mmoja anawachangia watu lukuki wakati kumbe majority ya hao hata milo mitatu hawapati
Kuna kipindi baada ya Uhuru Literacy number zetu zilikuwa nzuri sana jambo ambalo wengine wana-argue tumeshuka - sasa sijui tumezidi kuwa masikini between then and now au vipi - You decide....
Hii inaendana pia na lifestyle kuna mji Japan unaitwa Nagano nadhani kule ndio kuna average kubwa ya watu kuishi zaidi wakati kabla ya vita vikuu walikuwa ni among the least; walichofanya ni kubadilisha lifestyle (Pamoja na kula healthy foods - jambo ambalo watu wenye pesa / income kubwa wanakula more junk foods)
Binafsi naona utajiri au umasikini wanaujua wahusika wenyewe ground kutokana na lifestyles zao
We ulikuwepo wakati wa ukoloni? Kaa na wazee alafu uone Kama Kuna hata mmoja aliufurahiaHao waliokufa ilikua ni sadaka ya kusaidia wengine lakini Leo wako vizuri, huku wengine tunasherekea miaka 60+ ya uhuru alafu bado watoto wanakaa chini shule, bado vyoo havitoshi mashuleni na matatizo kila sehemu
tena inabidi mkoloni arudi kutawala tena kwa sababu tumeonesha dhahiri hatuwezi kujitawala na kujiongoza wenyewe
Nadhani according to you India is a developed Country - (ingawa ukija na Hoja takusikiliza) lakini hao unaowasikiliza wewe wanaiweka India katika Developing Countries....🤣 Duu bac according to u India sio developed...ila dunia nzima inajua otherwise
Soma vizuri mkuuHaha asa sielewi inahusikaje na kujichubua
Kama serikali imeshindwa akili na wadokozi bandarini na kuamua kuigawa bado mikataba ya hovyo kuanzia kwenye madini na Kila sehemu, hapo sijazungumzia mikopo kausha damu inayo ongeza umaskini kwa taifa Kila siku, bado wezi wanao tajwa bila kuchukuliwa hatua kwenye ripoti ya CAG, hayo ni machache kati ya madudu mengi yaliyopo yanayo thibitisha wazi tumeshindwa kujitawala na kujiongozaWe ulikuwepo wakati wa ukoloni? Kaa na wazee alafu uone Kama Kuna hata mmoja aliufurahia
Kwanza sio kweli eti tulikuwa sawa. Nchi nyingi Asia ukienda kuna miji ina miaka mpaka 700 nyuma huko so wao walipata uhuru wakiwa level nyingine na sisi kabisa kuanzia mindset displin mpaka utayar wa kwenda level nyingine. Sisi ukipiga hesabu tu miaka Mia nne nyuma tulikuwa porini kabisa. Halafu tumepata Uhuru bila kwanza kuwa na tafsiri sahihi huo Uhuru nini. Ndio maana mpaka leo tunalaumiana.Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.
Afrika jamani shida ni nini?
Karibu mkuu katika kulijibuSwali hili linjibika kwa namna nyingi sana!
Sawa ni developing hata Brazil ni developing Ila huwezi fananisha Brazil na bongo...hata china na Russia ni developing Ila huoni tofauti na sisi...Nadhani according to you India is a developed Country - (ingawa ukija na Hoja takusikiliza) lakini hao unaowasikiliza wewe wanaiweka India katika Developing Countries....
Ndio maana mimi nimekupa wigo wa kuweka premises ambazo unaweza ukazidefend vyovyote vile...
Mi naona tutoe solutionSoma vizuri mkuu
So unadhani nani anataka kuwa na colony saa hiviKama serikali imeshindwa akili na wadokozi bandarini na kuamua kuigawa bado mikataba ya hovyo kuanzia kwenye madini na Kila sehemu, hapo sijazungumzia mikopo kausha damu inayo ongeza umaskini kwa taifa Kila siku, bado wezi wanao tajwa bila kuchukuliwa hatua kwenye ripoti ya CAG, hayo ni machache kati ya madudu mengi yaliyopo yanayo thibitisha wazi tumeshindwa kujitawala na kujiongoza