Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Balozi wa Romania nchini Kenya aliwa fananisha waafrika na Tumbili.

Naona yuko sahihi.

Sema kwa vile waafrika hawataki kusikia ukweli na kutanguliza mihemko na emotions badala ya Akili na Logic.

Walimwita mbaguzi.

Kumbe ndio uhalisia ulivyo.
So sisi ni tumbili?
 
mimi tangu nilipoanza kufuatilia mabo ya utawala na siasa za Africa,...nilithibitisha hili....nadhani hata tumbili wametuzidi kwa namna fulani tusiyoielewa....
🤣🤣Cheki asa...unazingua bana
 
🤣🤣Cheki asa...unazingua bana
nahisi hawa sokwe au tumbili ambao tunafananishwa nao kama wana ka ustarabu fulani unaeleweka kuliko sisi waafrica...kiufupi hatueleweki,hatuelewi na hatujielewi...,
yaani bila shaka kabisa mi nahisi hata hawa sokwe au tumbili pia wanakasirishwa kwa kufananishwa na sisi ni vile tu wameshindwa kutufahamisha hili....
 
GDP sio measurement ya Society Welfare
per Capita income,
Per capital inachukua average kwahio Kama una kina Kina Azam watatu na Ombaomba laki mbili usishangae ukaambiwa uchumi wenu upo vizuri sababu huyo AZAM mmoja anawachangia watu lukuki wakati kumbe majority ya hao hata milo mitatu hawapati
literacy rates,
Kuna kipindi baada ya Uhuru Literacy number zetu zilikuwa nzuri sana jambo ambalo wengine wana-argue tumeshuka - sasa sijui tumezidi kuwa masikini between then and now au vipi - You decide....
mortality rate,
Hii inaendana pia na lifestyle kuna mji Japan unaitwa Nagano nadhani kule ndio kuna average kubwa ya watu kuishi zaidi wakati kabla ya vita vikuu walikuwa ni among the least; walichofanya ni kubadilisha lifestyle (Pamoja na kula healthy foods - jambo ambalo watu wenye pesa / income kubwa wanakula more junk foods)

Binafsi naona utajiri au umasikini wanaujua wahusika wenyewe ground kutokana na lifestyles zao
 
Afrika ina sindikiza Dunia Waafrika wanaishi miaka 100 nyuma ya Ulimwengu.

Waafrika ni wasindikizaji hapa duniani wala hakuna wawezacho zaidi ya Wizi, Rushwa Uhujumu uchumi, kujilimbikizia mali, ulevi, ngono,umbea na majungu.
Tangu tulipopata tu uhuru ndio matatizo yakaanzia hapo mpaka leo bdo yamekuwa sugu kama zaidi ya miaka 60 ya uhuru mpaka leo bdo hatuna performance nzuri kwenye Afya,Elimu,miundombinu,uongozi Bora,uchumi yani sekta zote mpaka kwenye michezo bdo tupo nyuma sasa hapo unategemea nn tena!
 
Wenzako wameteseka Sana kipindi Cha ubaguzi..mpaka wanafunzi kufa
Hao waliokufa ilikua ni sadaka ya kusaidia wengine lakini Leo wako vizuri, huku wengine tunasherekea miaka 60+ ya uhuru alafu bado watoto wanakaa chini shule, bado vyoo havitoshi mashuleni na matatizo kila sehemu
tena inabidi mkoloni arudi kutawala tena kwa sababu tumeonesha dhahiri hatuwezi kujitawala na kujiongoza wenyewe
 
nahisi hawa sokwe au tumbili ambao tunafananishwa nao kama wana ka ustarabu fulani unaeleweka kuliko sisi waafrica...kiufupi hatueleweki,hatuelewi na hatujielewi...,
yaani bila shaka kabisa mi nahisi hata hawa sokwe au tumbili pia wanakasirishwa kwa kufananishwa na sisi ni vile tu wameshindwa kutufahamisha hili....
Duu haya ya moyoni
 
GDP sio measurement ya Society Welfare

Per capital inachukua average kwahio Kama una kina Kina Azam watatu na Ombaomba laki mbili usishangae ukaambiwa uchumi wenu upo vizuri sababu huyo AZAM mmoja anawachangia watu lukuki wakati kumbe majority ya hao hata milo mitatu hawapati

Kuna kipindi baada ya Uhuru Literacy number zetu zilikuwa nzuri sana jambo ambalo wengine wana-argue tumeshuka - sasa sijui tumezidi kuwa masikini between then and now au vipi - You decide....

Hii inaendana pia na lifestyle kuna mji Japan unaitwa Nagano nadhani kule ndio kuna average kubwa ya watu kuishi zaidi wakati kabla ya vita vikuu walikuwa ni among the least; walichofanya ni kubadilisha lifestyle (Pamoja na kula healthy foods - jambo ambalo watu wenye pesa / income kubwa wanakula more junk foods)

Binafsi naona utajiri au umasikini wanaujua wahusika wenyewe ground kutokana na lifestyles zao
🤣 Duu bac according to u India sio developed...ila dunia nzima inajua otherwise
 
Hao waliokufa ilikua ni sadaka ya kusaidia wengine lakini Leo wako vizuri, huku wengine tunasherekea miaka 60+ ya uhuru alafu bado watoto wanakaa chini shule, bado vyoo havitoshi mashuleni na matatizo kila sehemu
tena inabidi mkoloni arudi kutawala tena kwa sababu tumeonesha dhahiri hatuwezi kujitawala na kujiongoza wenyewe
We ulikuwepo wakati wa ukoloni? Kaa na wazee alafu uone Kama Kuna hata mmoja aliufurahia
 
🤣 Duu bac according to u India sio developed...ila dunia nzima inajua otherwise
Nadhani according to you India is a developed Country - (ingawa ukija na Hoja takusikiliza) lakini hao unaowasikiliza wewe wanaiweka India katika Developing Countries....

Ndio maana mimi nimekupa wigo wa kuweka premises ambazo unaweza ukazidefend vyovyote vile...
 
We ulikuwepo wakati wa ukoloni? Kaa na wazee alafu uone Kama Kuna hata mmoja aliufurahia
Kama serikali imeshindwa akili na wadokozi bandarini na kuamua kuigawa bado mikataba ya hovyo kuanzia kwenye madini na Kila sehemu, hapo sijazungumzia mikopo kausha damu inayo ongeza umaskini kwa taifa Kila siku, bado wezi wanao tajwa bila kuchukuliwa hatua kwenye ripoti ya CAG, hayo ni machache kati ya madudu mengi yaliyopo yanayo thibitisha wazi tumeshindwa kujitawala na kujiongoza
 
Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.

Afrika jamani shida ni nini?
Kwanza sio kweli eti tulikuwa sawa. Nchi nyingi Asia ukienda kuna miji ina miaka mpaka 700 nyuma huko so wao walipata uhuru wakiwa level nyingine na sisi kabisa kuanzia mindset displin mpaka utayar wa kwenda level nyingine. Sisi ukipiga hesabu tu miaka Mia nne nyuma tulikuwa porini kabisa. Halafu tumepata Uhuru bila kwanza kuwa na tafsiri sahihi huo Uhuru nini. Ndio maana mpaka leo tunalaumiana.
 
Nadhani according to you India is a developed Country - (ingawa ukija na Hoja takusikiliza) lakini hao unaowasikiliza wewe wanaiweka India katika Developing Countries....

Ndio maana mimi nimekupa wigo wa kuweka premises ambazo unaweza ukazidefend vyovyote vile...
Sawa ni developing hata Brazil ni developing Ila huwezi fananisha Brazil na bongo...hata china na Russia ni developing Ila huoni tofauti na sisi...
 
Kama serikali imeshindwa akili na wadokozi bandarini na kuamua kuigawa bado mikataba ya hovyo kuanzia kwenye madini na Kila sehemu, hapo sijazungumzia mikopo kausha damu inayo ongeza umaskini kwa taifa Kila siku, bado wezi wanao tajwa bila kuchukuliwa hatua kwenye ripoti ya CAG, hayo ni machache kati ya madudu mengi yaliyopo yanayo thibitisha wazi tumeshindwa kujitawala na kujiongoza
So unadhani nani anataka kuwa na colony saa hivi
 
Back
Top Bottom