SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
- Thread starter
-
- #21
True ..elimu ni mkombozi..Ila kumbuka elimu yetu ya wakoloni ilituandaa tuwatumikie waoKosa ni baada ya Uhuru kuyaacha hata mazuri ya wakoloni.
Hao Asia walibadili tu rangi wakayaendeleza zile falsafa na mawazo ya wakoloni wao yawe kwa faida Yao.
Ukiangalia hata Sasa mfumo Bora wa elimu kuokoa kizazi hiki ni ule uliotumiwa na wakoloni yaani kufundisha vitendo zaidi.
Kosa la mwalimu ni kuingiza siasa kwenye elimu
Shida ni uongozi mbovu usiojali maslahi ya ummaJamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.
Afrika jamani shida ni Nini?
africa unafiki mwingi.. na usaliti.. plus malalamikoJamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.
Afrika jamani shida ni Nini?
Ngozi ya mtu mweusi na mweupe tofauti umeiona kwavile ni inaonekanika KWA machoHamna tofauti Kati ya ubongo wa mtu mweusi na mweupe. Acha ubaguzi
Acha uchoyoKama nchi kuendelea ni vigumu saana. Lamsingi ni kutafuta maendeleo yako binafsi na familia yako.
Very true...na Africa ndo tunapokwamaMatumizi ya nguvu zaidi kuliko akili, kuchochea ubinafsi,
I know ..Ila bongo ndo Mambo yanavyoendaMaisha Sio connection ukisubiria connection utachelewa sana.
Ulaya ule Hela za wananchi unapotea bila kujali wewe ni nani mbeba box au raisi,sheria zao hazina ubaguzi tofaut na Africa jela ni kwa ajili ya watu masikini,kesi ni biashara, mahakama uogopa wenye pesa.Mbona wazungu hawakati wezi mikono...hi sio point nzuri...sijapenda
Solution sio hio Sasa... solution sio violence..mbona ulaya hawachomani moto...na wako peaceful na wanaendelea.Acha kutetea wezi mbona mtaani wanachomana moto mnahofu na wizi wenu huko maofisini???
Na tunapenda kutafuta mtu wa kumsingiziaafrica unafiki mwingi.. na usaliti.. plus malalamiko
Acha ubaguzi...Ngozi
True... Africa tuna shida when it comes to legal system kwanzia jamii, polisi, mahakama mpaka sheria zenyeweUlaya ule Hela za wananchi unapotea bila kujali wewe ni nani mbeba box au raisi,sheria zao hazina ubaguzi tofaut na Africa jela ni kwa ajili ya watu masikini,kesi ni biashara, mahakama uogopa wenye pesa.
We kwapua tu tani yako chochote ufanywi.
Na sisi tungejaribu mwizi Fulani na Fulani unawafungisha ndoa na RPG pale Taifa uone Kesho kuna mwenye balls za kuiba mali ya umma mwizi mmoja bomu moja[emoji2][emoji2][emoji2]Ulaya ule Hela za wananchi unapotea bila kujali wewe ni nani mbeba box au raisi,sheria zao hazina ubaguzi tofaut na Africa jela ni kwa ajili ya watu masikini,kesi ni biashara, mahakama uogopa wenye pesa.
We kwapua tu tani yako chochote ufanywi.
Baada ya wao si sisi kwann hatukuiendeleza itutumikie sisi,badala yake ikawa inatukuza mtawala na kujenga uoga ( zidumu fikra za MWENYEKIT)True ..elimu ni mkombozi..Ila kumbuka elimu yetu ya wakoloni ilituandaa tuwatumikie wao
Wizi Unaviolate mambo mengi sasa Mwiba unautoa ulipoingiliaSolution sio hio Sasa... solution sio violence..mbona ulaya hawachomani moto...na wako peaceful na wanaendelea.
Solution sio violence...unakuwa unafanya nchi isiwe na amani.. solution ni elimu na sheria kufuatiliaNa sisi tungejaribu mwizi Fulani na Fulani unawafungisha ndoa na RPG pale Taifa uone Kesho kuna mwenye balls za kuiba mali ya umma mwizi mmoja bomu moja[emoji2][emoji2][emoji2]
Wanaiba Kwa sabab wanajua hatuna cha kuwafanya
ndio ujinga wetu huku africaNa tunapenda kutafuta mtu wa kumsingizia
Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.
Afrika jamani shida ni Nini?
😅😂Eti kutukuza mtawala..mi sipo huko. Coz sidhani elimu yetu inatufundisha hiviBaada ya wao si sisi kwann hatukuiendeleza itutumikie sisi,badala yake ikawa inatukuza mtawala na kujenga uoga ( zidumu fikra za MWENYEKIT)
Hili jibu liwekwe msalabani kila mtu alioneMajibu kimsingi ya swali kama hili yametolewa sana humu.
Wapo waliosema ni laana, wapo walio toa sababu mbalimbali za kitaalamu.
Kiukweli inaumiza sana na kuudhi ndiyo kama hivyo wengine wanachezea rasilimali za TAIFA kujali matumbo yao na kuumiza kundi kubwa.
Itoshe kwa kumalizia na ujumbe huu [emoji116]View attachment 2731228