Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Mfanyakazi wa serikali akiiba mamilioni utasikia wajinga wanasema hata mimi nisingeziacha, sasa unategemea nini hapo

Maadili hamna kabisa
Mtu anawaza rushwa na wizi basi
 
Hata marekani homeless ppo wapo bana
Hivi unajua katika nchi zenye slums za kutosha na gap ya classes india ipo ? Yaani unaweza ukakuta masikini wa kutupwa India ambae huku hujawahi kumuona..., Lakini usihofu na sisi huko ndipo tunapoelekea... (Sio kwenye So called Uchumi wa kwenye vitabu..., Bali Umasikini wa Kutupwa)
 
Very true...Ila pia bado majority population ya western countries ni religious people..so ishu sio kuondoa dini kabisa coz utaonekana kiongozi shetani(Kama Obama) issue ni kuencourage critical thinking ndo maana wazungu despite dini kuwepo bado wanaendelea coz wanatanguliza akili kwanza.
Ni kweli kwamba majority ya watu wa western countries ni religious. Lakini hata hao inategemea na wapi, na religion wanaichukulia vipi.

Kwa mfano, Ulaya watu wengi wanajitambulisha kwamba hawaamini Mungu, atheists. Nchi kama Finland na Spain around 20% ya nchi hawaamini Mungu. Netherlands ndiyo around 45%, yani karibu nusu. Nchi kama Estonia watu hao wako around 60%, Czech Republic wako around 78%. Na hawa watu hawapendi uongo wa dini na Mungu, lakini wamejiwekea mifumo inayojali utu, inajali uhai, ina demokrasia, inajali watoto, inajali wazee.

Sisi tuna unafiki wa kuendekeza Mungu na dini halafu tunaminyana, kuuzana na kuuana kila siku.

Hata hao wenye kuamini Mungu na dini, kwa kiasi kikubwa wanaamini kiutamaduni tu, wanapenda sense of community ya kanisani, wanapenda kwaya, wanapenda architecture za makanisa zile stained glasses, na hao ni wazee ambao wanaenda kuisha sasa, vijana hawana affiliation na dini sana.

Wale wenzetu wamebaki na dini kama hobby, sisi tunatumia dini kama uchawi.

Ndiyo maana Africa makanisa ya uponyaji na kusaidia watu wafanikiwe kiuchumi yanashamiri.
Watu wengi wanafuata dini kama mbadala wa waganga wa kienyeji, dini inatumiwa kama uchawi tu, iwaponye, iwaletee mafanikio, wenye kufuata dini kwa misingi ya dini hasa ni wachache sana.

Yani ni hivi, kwa wenzetu in the west umuhimu wa dini umepunguzwa sana dunia inayoendelea kwa sababu ya sayansi.Mtu akiumwa kuna huduma nzuri za afya, si kwetu mtu akiumwa sehemu nyingi hakuna tumaini, inabidi aombe Mungu tu, atake asitake.

Nchi zina ajira kwa kila mtu, mpaka mtu mwenye mtindio wa ubongo yule anapangiwa kazi kwa mujibu wa uwezo wake. Mimi nimekuja New York mara ya kwanza nilikuwa napanda basi la asubuhi kabisa kwenda kazini, kukaw na jamaa mmoja ana matatizo kama ya Down Syndrome or something like that, hawezi kusema vizuri, hata kutembea kwake kwa tabu. Lakini jamaa alikuwa anapanda basi hilo hilo kila siku, halafu kwenye basi ana kelele kuongea na watu, halafu wazungu wanampenda kichizi wanapiga stories naye (alikuwa black). Jamaa ana matatizo ya mfumo wa ubongo lakini alikuwa na kazi yake supermarket anapanga vitu, na jamii inamthamini, na yeye anachangia uchumi wao kwa kiasi chake, analipwa mshahara wake.

Nikasema huyu ashukuru sana kazaliwa Marekani, angekuwa Tanzania watu wangemfungia ndani asionekane, ingekuwa aibu kwa familia huyu kuonekana, licha ya kupanda basi na kufanya kazi.

Unaona watu wanavyothamini utu wa mtu hata mwenye kilema hapo? Jamii iko so inclusive.

Huko kwetu watu wazima wenye afya zao na akili zao hatutumii hiyo human resource, unajua vijana wanaokaa bila kazi tunapoteza nguvukazi kiasi gani kwa mwaka hapo?

Hawa watu walishagundua kwamba dini ipo kama utamaduni, sasa tutajipangia sheria zaenye maadili ya utu, ndiyo maana unaona kuna sheria kali dhidi ya ubaguzi wa watu walemavu au kubagua watu kwa race, au kubagua wanawake na wazee. Dini ipo, lakini sheria ndiyo kali zaidi.

Sisi hatufuati dini wala sheria, tunafuata unafiki na ubinafsi tu.

Sasa kama una taifa lenye nguvukazi kubwa sana, unaipoteza kwa umachinga na ubodaboda tu, unategemea utaendelea vipi kiuchumi?

Angalia nchi masikini zinavyoamini dini.

Ni vigumu sana kukuta nchi masikini ambayo haina historia ya Ukomunisti kuwa na atheists zaidi ya 20%

 
Hata marekani homeless ppo wapo bana
Tofauti ya USA kuna nyumba tatu tupu kwa kila Homeless mmoja (ndio hapo utaona kwamba kuna kitu hakipo sawa)

Anyway Vipi na Child Labour - Huko ipo
1693249643847.png
 
ukiwa na wananchi wajinga bas utazalisha viongozi wajinga , ona wengine wanashabikia na kukosoa mkataba bila kuusoma , kwa wajinga hawa utaendeleaje?
 
Lakini Kuna wazungu pia wanakuja kuishi Africa...na ni wengi kinoma..na wanaishi vizuri tu...maisha mazuri. So ishu sio Africa issue ni watu wenyewe
Ni kweli ishu sio Afrika, ishu ni waafrika wenyewe, walio iharibu Afrika ndio maana Afrika imekuwa ngumu kuishi

Hao wazungu wanao kuja kuishi Afrika, wanakuja wakiwa na mitaji yao na hela zao.

Wanajua huku mali zipo, na kwa vile waafrika wengi ni wajinga ndio mwanya mzuri wa kupiga pesa za wajinga wasio jitambua.

Mzungu akija Afrika anashika ardhi kubwa na kuanza kuajiri wakazi walewale walio shindwa kutumia ardhi hiyo.
 
Nyerere alikataa madini yasichimbwe hadi watanzania waje wasome na wapate Akili na utaalamu wa kutosha kuchimba madini hayo.

Wasomi hao walio tarajiwa wamekuja kuwa Wezi na Wajinga, Wasiojua hata thamani halisi ya madini yenyewe katika soko la Dunia.

Nchi ina ishia kupata 3% tu ya mapato.Huku asilimia nyingine zikienda kwa wazungu.

Tanzanite inapatikana Tanzania pekee lakini anaye ongoza kwa kuuza Tanzanite Worldwide ni India.

Wananchi wa Manyara Simanjiro inako patikana Tanzanite hiyo, wame achiwa mashimo na mahandaki tu....[emoji1][emoji1]

Geita mji wenye dhahabu lakini Raia wake wengi ni Maskini choka mbaya wame achiwa mashimo na GGM...[emoji1787][emoji1787]

Sometimes unawaza waafrika ni kama
ma mbumbumbu flani vilee..!!!

Dead people walking....!!
 
narudia tena kusema hili,..yaweza kuwa kuna uhusiano mkubwa sana kati rangi ya ngozi na akili yake (race and intelligence)...maana mpaka waafrica walioko Caribbean wote kichwani ziro.... waafrica wao ni kuzaliana kama simbilisi au sungura huku MALEZI kwa watoto ni sifuri,.kulewa, ngono na wizi.......hiiii ni zaidi ya laaana!
 
Juzi pana taarifa ya wafanyakazi kuingilia mfumo wa malipo na kujilipa huku pia taarifa ya wizi wa Fedha kutoka kwa CAG ikiwa kimya kila mwaka CAG anatoa taarifa za wezi na hazifanyiwi kazi harafu mnataka maendeleo yepi wakati fedha za Walipa Kodi zinatafunwa na zikitafunwa zaidi Waziri wa Fedha anakuja na Tozo mpya kwenye kununua umeme na si kuja na suruhisho la kukomesha wezi...
 
Tatizo ni kwamba tumekabidhi nchi Majambazi ,Wezi,Madalali ,Wahuni ,Matapeli.

Bunge hatuna linawalinda hao Wezi/Majambazi/Madalali/Wahuni/Matapeli.

Mahakama imewekwa Mfukoni na Wezi/Majambazi/Madalali/Wahuni/Matapeli.
 
Juzi pana taarifa ya wafanyakazi kuingilia mfumo wa malipo na kujilipa huku pia taarifa ya wizi wa Fedha kutoka kwa CAG ikiwa kimya kila mwaka CAG anatoa taarifa za wezi na hazifanyiwi kazi harafu mnataka maendeleo yepi wakati fedha za Walipa Kodi zinatafunwa na zikitafunwa zaidi Waziri wa Fedha anakuja na Tozo mpya kwenye kununua umeme na si kuja na suruhisho la kukomesha wezi...
🤣Ishu ya CAG si ilinyamazishwa na propaganda za ushoga ..si unajua wabongo wakiskia ushoga wanasahau kila kitu...
 
Tatizo ni kwamba tumekabidhi nchi Majambazi ,Wezi,Madalali ,Wahuni ,Matapeli.

Bunge hatuna linawalinda hao Wezi/Majambazi/Madalali/Wahuni/Matapeli.

Mahakama imewekwa Mfukoni na Wezi/Majambazi/Madalali/Wahuni/Matapeli.
So solution ni serikali mpya
 
Juzi pana taarifa ya wafanyakazi kuingilia mfumo wa malipo na kujilipa huku pia taarifa ya wizi wa Fedha kutoka kwa CAG ikiwa kimya kila mwaka CAG anatoa taarifa za wezi na hazifanyiwi kazi harafu mnataka maendeleo yepi wakati fedha za Walipa Kodi zinatafunwa na zikitafunwa zaidi Waziri wa Fedha anakuja na Tozo mpya kwenye kununua umeme na si kuja na suruhisho la kukomesha wezi...
Aisee africa binafsi naweza sema mungu alilaani rangi nyeusi full stop tuna matendo mabaya sana ata ukienda kwenye maandiko matakatifu utaona jinsi kaini alivyomuua mwenzake kwa sababu ya tamaa tu vivyo ivyo kea kwa watu weusi ni kuwaza wizi tu kuanzia huko juu hadi serikali za mitaa alafu tunataka tujiringanishe na nchi za wenye akili na mawazo chanya kweli sisi africa mpaka yesu arudi maendeleo tutayasikia tu uko kwa wenzetu weupe
 
Mfanyakazi wa serikali akiiba mamilioni utasikia wajinga wanasema hata mimi nisingeziacha, sasa unategemea nini hapo

Maadili hamna kabisa
Mtu anawaza rushwa na wizi basi
Very true...so inabidi tutoe elimu na adhabu kwa Wala rushwa
 
Back
Top Bottom