Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kama wote yani! Ukishikilia kitengo wee pigaaa tu!Hahaha ufisadi mwingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wote yani! Ukishikilia kitengo wee pigaaa tu!Hahaha ufisadi mwingi
Usiseme hivi bana
Pumba zina protini nyingi tu, ni wewe na ujinga wako unadharau pumba.
Wewe uko wapi mkuu?
Nimekuuliza uko wapi, hujajibu.acheni kutafuta uchochoro wa madhaifu yenu
Hasa watanzania.Watu weusi wana Laana[emoji1787]
Hao ulio wataja unafahamu ni mbinu zipi walitumia kufikia utajiri wao?MIMI HUWA NAONA TATIZO NI SISI RAIA WENYEWE. MNAAMKA ASUBUHI MNAENDA KUCHEZA BAO. MNAFANYA KAZI MASAA 6 NA 18 NI KULALA, STORY, STAREHE,MAJUNGU NK.
SWALI DOGO, HIVI RAIA 1000 WA KIJIJI X HAWAWEZI KUJENGA SHULE YA KISASA, AU ZAGANATI YA KISASA AU HATA KUCHIMBA BARABARA YAO WENYEWE?
WANASUBIRI SERIKALI IWAFANYIE ISIPOWAFANYIA WANALAUMU VIONGOZI BADAKA KUTAFUTA MBADALA.
MFANOVWANGU PENDWA
DANGOTE. MAR. MENGI. BAKHRESA NK WAMETAJIRIKA HUMU HUMU AFRIKA CHINI YA VIONGOZI MNAOWALAUMU.
Hapana mkuu ukiangalia kiundani tupo hivyo ngozi nyeupe imetuzidi kwa Kila kitu sio elimu,chumi,teknolojia nk sisi tunawasindikiza wao na kwa bahati mbaya hata dalili ya kuirekebisha bdo hatunaAsa ukisema hivyo unakatisha tamaa waafrika
Roho mbaya za vipngozi wetu zinaturudisha nyuma sana AfrikaJamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.
Afrika jamani shida ni nini?
Afrika ina sindikiza Dunia Waafrika wanaishi miaka 100 nyuma ya Ulimwengu.Hapana mkuu ukiangalia kiundani tupo hivyo ngozi nyeupe imetuzidi kwa Kila kitu sio elimu,chumi,teknolojia nk sisi tunawasindikiza wao na kwa bahati mbaya hata dalili ya kuirekebisha bdo hatuna
Simple answer = BAD GOVERNANCEJamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.
Afrika jamani shida ni nini?
Mi sijaskia Kama Kuna mtu kafaMagufuli alikifanya nini Zanzibar na mazombie yake, Nyerere alifanya nini kule, Mkappa mpaka Wazanzibar wakakimbia nchi yao alifanya nini kule ?
Au kwa sababu haya madhira hayawagusi Watanganyika waliokana nchi yao hivyo hatupaswi kujali ?
Sawa si nishakutajia lakini...hizi factorsHakuna cha according to fulani wewe nimekuomba unipe premises za utajiri ni nini ? Ukiongelea Nchi (unaweza ukasema nchi ni Tajiri kutokana na Resource au na Rasilimali Watu) Unaweza kuongelea Utajiri wa nchi kutokana na Pesa wanazoingia au kutumia kununulia vitu, au malighafi wanazotengeneza...
Ila kama nchi ni wananchi hapo tunakuja kwenye segment nyingine ? Na swali linakuja utajiri wa nchi una faida gani kama wananchi ni masikini ?
Lakini tusiishie hapo (yaani kama kitunguu una-peel different layers) linakuja swali utajiri wa mwananchi ni nini ? Je ni three basic needs (chakula, malazi na mavazi) ? Je wangapi India wanakidhi hilo segment ?, Au ni Sustainability ? Mtu kuishi sustainable na mazingira yake ? Alas!!! hapo unaweza ukasema mmasai kule kwenye kibanda chake cha nyasi ni tajiri kuliko Kibwengo kwenye one flat bedroom huko Saskatchewan....
Usiseme hivi...ukisema hivi unakua hutoi solution zaidi unatukatisha tamaa tuWatu weusi wana Laana[emoji1787]
Very true ..🤣lakini pia Imani potofu ni factorChangamoto sio Dini,sababu Dini ya Uislam ki Asili imeanzia Saudia Arabia,i.e Makkah na Madina,Qatar,Dubai,Oman kote huko imekwenda tu! Jibu ni Moja! Sisi sio Waadilifu!
🤣Jamani mambo ya ulevi na ngono si yapo dunia nzimaAfrika ina sindikiza Dunia Waafrika wanaishi miaka 100 nyuma ya Ulimwengu.
Waafrika ni wasindikizaji hapa duniani wala hakuna wawezacho zaidi ya Wizi, Rushwa Uhujumu uchumi, kujilimbikizia mali, ulevi, ngono,umbea na majungu.
So... tunafanyaje kubadilisha hiloSimple answer = BAD GOVERNANCE
Sasa kumfanya kila mtu aache ni vigumu kinomaKama wote yani! Ukishikilia kitengo wee pigaaa tu!
Ukilaumu rangi inamaanisha hatuwezi endeleaUkweli siku zote huwa mchungu