Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

acheni kutafuta uchochoro wa madhaifu yenu
Nimekuuliza uko wapi, hujajibu.

Ukiona natafuta uchochoro wa madhaifu yetu, unakuwa unafanya kosa la kimantiki la "false dichotomy".

Hii ni logical fallacy.

Tatizo moja kubwa la Watanzania kama wewe ni kufikiri kwa kukosa nuance, kukosa uchambuzi wa kina.

Yani unataka nyeusi au nyeupe, kosa la mzungu au la muafrika. Huo ni ulimwengu wa gross simplification.

Kwa mfano, hapo ushaweka false dichotomy kwamba mimi kusema kuwa kuna matatizo ya kimfumo yaliyo juu ya watu weusi yanayosababisha matatizo ya watu weusi ni kuwaondolea lawama watu weusi na kutafuta uchochoro.

Wakati hiyo si nia yangu.

Watu weusi bado wana lawama, bado wanatakiwa kufanikiwa hata kama kuna matatizo ya kimfumo yaliyowazidi, wanatakiw akujenga resistance.

Lakini, ili kupata muktadha mzuri, kupata nuance, usije kwenda kumlaumu muhanga disproportionately, inabidi uelewe habari nzima, uelewe historia, uelewe power structure, uelewe privilege inacheza vipi, uelewe struggles zote.

Wewe unataka kuhukumu kitu bila kuangalia mambo kwa muktadha mpana.

Lazima utatoa lawama zisizokuwa informed na usomi.
 
IMG_0184.jpg
 
MIMI HUWA NAONA TATIZO NI SISI RAIA WENYEWE. MNAAMKA ASUBUHI MNAENDA KUCHEZA BAO. MNAFANYA KAZI MASAA 6 NA 18 NI KULALA, STORY, STAREHE,MAJUNGU NK.
SWALI DOGO, HIVI RAIA 1000 WA KIJIJI X HAWAWEZI KUJENGA SHULE YA KISASA, AU ZAGANATI YA KISASA AU HATA KUCHIMBA BARABARA YAO WENYEWE?
WANASUBIRI SERIKALI IWAFANYIE ISIPOWAFANYIA WANALAUMU VIONGOZI BADAKA KUTAFUTA MBADALA.
MFANOVWANGU PENDWA
DANGOTE. MAR. MENGI. BAKHRESA NK WAMETAJIRIKA HUMU HUMU AFRIKA CHINI YA VIONGOZI MNAOWALAUMU.
 
Hao ulio wataja unafahamu ni mbinu zipi walitumia kufikia utajiri wao?

Je mifumo iliyopo sasa hivi Afrika ina kuwezesha wewe kuwafikia hao kina Dangote, Bakhresa n.k

Una umri wa miaka mingapi?

Je kwa umri ulionao na una hata dalili ya kuwafikia hao mifano yako pendwa ya kina Dangote na Bakhresa ulio wataja?

Unadhani viongozi hawapaswi kulaumiwa, kwamba waachwe tu, wafanye watakavyo?

Kwamba Raia wapambane kivyao vyao?

Kama unataka Raia ndio wajenge miundombinu, Kuna haja gani ya kuwa na serikali na viongozi?
 
Asa ukisema hivyo unakatisha tamaa waafrika
Hapana mkuu ukiangalia kiundani tupo hivyo ngozi nyeupe imetuzidi kwa Kila kitu sio elimu,chumi,teknolojia nk sisi tunawasindikiza wao na kwa bahati mbaya hata dalili ya kuirekebisha bdo hatuna
 
Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.

Afrika jamani shida ni nini?
Roho mbaya za vipngozi wetu zinaturudisha nyuma sana Afrika
 
Hapana mkuu ukiangalia kiundani tupo hivyo ngozi nyeupe imetuzidi kwa Kila kitu sio elimu,chumi,teknolojia nk sisi tunawasindikiza wao na kwa bahati mbaya hata dalili ya kuirekebisha bdo hatuna
Afrika ina sindikiza Dunia Waafrika wanaishi miaka 100 nyuma ya Ulimwengu.

Waafrika ni wasindikizaji hapa duniani wala hakuna wawezacho zaidi ya Wizi, Rushwa Uhujumu uchumi, kujilimbikizia mali, ulevi, ngono,umbea na majungu.
 
Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.

Afrika jamani shida ni nini?
Simple answer = BAD GOVERNANCE
 
Magufuli alikifanya nini Zanzibar na mazombie yake, Nyerere alifanya nini kule, Mkappa mpaka Wazanzibar wakakimbia nchi yao alifanya nini kule ?

Au kwa sababu haya madhira hayawagusi Watanganyika waliokana nchi yao hivyo hatupaswi kujali ?
Mi sijaskia Kama Kuna mtu kafa
 
Hakuna cha according to fulani wewe nimekuomba unipe premises za utajiri ni nini ? Ukiongelea Nchi (unaweza ukasema nchi ni Tajiri kutokana na Resource au na Rasilimali Watu) Unaweza kuongelea Utajiri wa nchi kutokana na Pesa wanazoingia au kutumia kununulia vitu, au malighafi wanazotengeneza...

Ila kama nchi ni wananchi hapo tunakuja kwenye segment nyingine ? Na swali linakuja utajiri wa nchi una faida gani kama wananchi ni masikini ?

Lakini tusiishie hapo (yaani kama kitunguu una-peel different layers) linakuja swali utajiri wa mwananchi ni nini ? Je ni three basic needs (chakula, malazi na mavazi) ? Je wangapi India wanakidhi hilo segment ?, Au ni Sustainability ? Mtu kuishi sustainable na mazingira yake ? Alas!!! hapo unaweza ukasema mmasai kule kwenye kibanda chake cha nyasi ni tajiri kuliko Kibwengo kwenye one flat bedroom huko Saskatchewan....
Sawa si nishakutajia lakini...hizi factors
 
Afrika ina sindikiza Dunia Waafrika wanaishi miaka 100 nyuma ya Ulimwengu.

Waafrika ni wasindikizaji hapa duniani wala hakuna wawezacho zaidi ya Wizi, Rushwa Uhujumu uchumi, kujilimbikizia mali, ulevi, ngono,umbea na majungu.
🤣Jamani mambo ya ulevi na ngono si yapo dunia nzima
 
Back
Top Bottom