Afrika tutafika lini uwezo huu? Makombora yote hayo ya Iran yamefaulu kumjeruhi binti mmoja tu!

Afrika tutafika lini uwezo huu? Makombora yote hayo ya Iran yamefaulu kumjeruhi binti mmoja tu!

Tukisema makobaz ni zero brain ndio sasa watu wanaelewa, 99% of targets destroyed by IDF, alafu hata hizo 1% zimeangukia porini tu na military base moja was slightly damaged..
 
ttzo ni China na Urusi , siku China akijichanganya kwa Taiwan bas huku Iran ajipange kwa kuwaface ulaya nzima
Ulaya hawana uwezo wa kupigana Vita mbili au zaidi kwa wakati mmoja kwa sasa. Wanakosa Sila za kupeleka Ukraine watazitoa wapi za kupeleka na Taiwan na Israel?
China hataki Vita anataka kujikita uongozi wa uchumi, hawezi pigana Vita Ingawa wanamchokoza apoteze malengo yake yeye hachokozeki.
 
Israel wakishaanza kujibu mapigo habari za kuua raia na haki za binadamu kuvunjwa zitashamiri humu.
 
Hivi mamia ya makombora, mizinga na drone zingeelekezwa kwa nchi ya Kiafrika, je kuna yenye uwezo wa kudungua kama ilivyofanya Israel?

Yaani Iran imetumia nguvu zote hizo na kufanikiwa kumjeruhi binti mmoja tu, sasa hivi Israel watu wamerudia hali ya kawaida kama kwamba hamna chochote kilichotendeka.

Tusklizie upande wa pili kama Iran na wao wana uwezo wa kudungua kinachowajia.

=================

Sirens blared across Israel on Saturday night as hundreds of drones and missiles launched from Iran reached Israel. Drones and missiles were also reportedly launched from Yemen and other countries around the region.

A seven-year-old girl from a Bedouin village near Arad was seriously wounded by the Iranian attack, according to Magen David Adom. Dr. Dan Schwartzfox, the deputy director of Soroka Medical Center, told Army Radio on Sunday morning that the girl was in intensive care and that her life was still at risk. Minor damage was caused to infrastructure at an IDF base in southern Israel during the attack as well, according to IDF Spokesperson Daniel Hagari.

The IDF has updated that the full Iranian attack consisted of over 300 threats, of which 100 were ballistic missiles launched from Iran. Another 30 cruise missiles were launched from the Islamic Republic, along with drones. There were also two rounds of rockets, around 40 total, fired on Israel from Lebanon, with Israel responding with counterattacks in close to real-time.

None of the drones or cruise missiles entered Israeli airspace. IDF spokesperson Rear Admiral Daniel Hagari noted that only a small number of ballistic missiles penetrated the Jewish state's airspace.

Almost all interceptions have been by aircraft, David's Sling, or the Arrow missile systems. The Iron Dome, which defends well against Hamas and Hezbollah's simple rockets, is less relevant for drones and fancier long-range missiles.

JSpot

Waisrael wakikusikia watakuchoma kisu cha tako wenzako wamechezea kipigo cha aibu base imelipuliwa na Maafisa wa Mossad 44 wauwawa we unaleta Propaganda za kitoto
 
Waisrael wakikusikia watakuchoma kisu cha tako wenzako wamechezea kipigo cha aibu base imelipuliwa na Maafisa wa Mossad 44 wauwawa we unaleta Propaganda za kitoto
Umezikuta wapi?tuletee chanzo aminika kama siyo story za vijiweni.
 
Back
Top Bottom