Afrika tutafika lini uwezo huu? Makombora yote hayo ya Iran yamefaulu kumjeruhi binti mmoja tu!

Tukisema makobaz ni zero brain ndio sasa watu wanaelewa, 99% of targets destroyed by IDF, alafu hata hizo 1% zimeangukia porini tu na military base moja was slightly damaged..
 
ttzo ni China na Urusi , siku China akijichanganya kwa Taiwan bas huku Iran ajipange kwa kuwaface ulaya nzima
Ulaya hawana uwezo wa kupigana Vita mbili au zaidi kwa wakati mmoja kwa sasa. Wanakosa Sila za kupeleka Ukraine watazitoa wapi za kupeleka na Taiwan na Israel?
China hataki Vita anataka kujikita uongozi wa uchumi, hawezi pigana Vita Ingawa wanamchokoza apoteze malengo yake yeye hachokozeki.
 
Israel wakishaanza kujibu mapigo habari za kuua raia na haki za binadamu kuvunjwa zitashamiri humu.
 

Waisrael wakikusikia watakuchoma kisu cha tako wenzako wamechezea kipigo cha aibu base imelipuliwa na Maafisa wa Mossad 44 wauwawa we unaleta Propaganda za kitoto
 
Waisrael wakikusikia watakuchoma kisu cha tako wenzako wamechezea kipigo cha aibu base imelipuliwa na Maafisa wa Mossad 44 wauwawa we unaleta Propaganda za kitoto
Umezikuta wapi?tuletee chanzo aminika kama siyo story za vijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…