Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
==
Utafiti uliofanywa na taasisi maarufu ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu wa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani zaidi na Rais Samia kutokana na jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo endelevu katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
=====
Surveys za AfroBarometer zilizofanywa kwa ushirikiano na REPOA hazioneshi suala hili ambalo mtoa mada amedai kwenye post yake. Survey iliyofanywa June 2024 ukurasa wa 34, 35 na 38 lina maswali yanayoendana na mada hata hivyo haina asilimia alizotaja mtoa mada.