Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,535
- 2,226
HAPO Muongo nani?Muongo🤪
HAPO Muongo nani?Muongo🤪
Utapeli na wizi mtupu?==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Wajitokeze kufanya nini?Walamba watakitokeza kwa wingi
Sasa mbona mwoga hivi mpaka anafanya udanganyifu na uharibifu wa ubinadamu kiasi hiki?==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Yes tunatik✓✓==

Huo ni utafiti umefanywaSasa mbona mwoga hivi mpaka anafanya udanganyifu na uharibifu wa ubinadamu kiasi hiki?
Hata hivyo, tunapaswa kujua ni kwa vigezo na mazingira gani ya uchaguzi atapata ushindi huo?
Kama mazingira ni haya haya yalivyo sasa au 2019 au 2020 au 2024 , kwa yeye mwenyewe kuwa mchezaji (mshiriki wa uchaguzi) na wakati huohuo akiwa referee, mshika kibendera na VAR pia, basi utakuwa umekosea kumpa ushindi wa 83% bali inapaswa kuwa atashinda kwa 99.99%!!
Lakini uchaguzi ukifanyika ktk uwanja sawa wa ushindani kwa kuwa na uchaguzi huru, wa wazi na wa haki kwa kila chama na wagombea, bibi yenu huyu hana lolote, ananuka kinyesi na damu za watu kila upande, hana uwezo wa kiuongozi na hafai kabisa kuwa Rais wa Tanganyika hata kwa dakika moja tu ijayo!
Na kwa sbb hii, ukifanyika uchaguzi hata Leo ktk mazingira ya uwanja huru na usawa huku wananchi wakiwa waamuzi wa gemu hii, Bi Kizimkazi hawezi kuambulia hata 4% kura zote!
Wewe unajua, mimi najua na wananchi wote waume kwa wanawake, watoto kwa wakubwa, wazee kwa vijana wanaujua ukweli huu 100%!
We ndio uliooza tutamchagua Samia kwa zaidi ya 90%. We bwege tuliza makalio ushuhudie tutakavyotiki OKTOBARubbish, atachaguliwa na wezi wenzake wa mali za umma.
Huyo yeyote ndiye nani sasa ? Mtaje tumjue. Maana fomu alichukua mwenyewe na atagombea mwenyewe.==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Kwani anashindana nani wa chama kipi ?!. Au akina Rungwe !@==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
kwetu sisi wakristo anaotufungia makanisa tusisali, tumemshitaki kwa Mungu kabisa ashughulike naye, ashinde asishinde huyo atakutana na Mungu tu kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth.==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Huo utafiti umefanywa na kamati kuu ya CCM, kama ni Reuters/IPSOS Samia hapati asilimia 40 akishindana na yeyote yule, awe Zitto, Gwajima au mwanasiasa mwingine.CCM mmeshaanza kuogopa na ndiyo maana mnaendelea kuteka na kuua watu.Mnawazuia CHADEMA kwenda nje ya nchi kwa sababu gani? Mabaya yote ya Samia na mshirika wake mkuu Kikwete yanafahamika dunia nzima, hayafichiki, Huyo mama ameshachafuka, hasafishiki hata awe na dodoki ngapi.==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Acheni maneno njoo kwenye gemuKwani anashindana nani wa chama kipi ?!. Au akina Rungwe !@
Sasa mbona wasiwasi ni mwingi hivi==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Hiyo Afrobarometer ni ya wapi na ilifanyia wapi huo utafiti?Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
83%
Labda amshinde mumeoWe ndio uliooza tutamchagua Samia kwa zaidi ya 90%. We bwege tuliza makalio ushuhudie tutakavyotiki OKTOBA
DAHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHLabda amshinde mumeo
KaribuDAHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH