Zegreaty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,504
- 3,188
Wakija wengine na utafiti unaosema atashindwa mtasema ni wachochezi wanataka kuvuruga amani qmmk. UTAPELI==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 82% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
No reform No Election