Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
Sio atachaguliwa, ameshajichagua kwasababu tume ya uchaguzi ni ya kwake, hata tusipo piga kura nchi nzima atashinda==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 82% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Upuuzi mtupu huyu muuaji anakubalika kwa chawa wake na wateule wake anakula nao keki ya Watanganyika.==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 82% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Kama anakubalika reforms zifanyike basi alafu tuone anavyo kubalika==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 82% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
==

Kwa uchaguzi huru na haki mkuuSawa. Kwa uchaguzi HURU NA HAKI au kwa Uchafuzi wao. Naana hata kwenye Chafuzi zao wanashindwa kujipa hizo percentages.
Anashindana na nani??==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 82% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Kingwendu mbona sio level ya Samia .Pumbavu, mnaanza kutulisha matango pori ili mkishafanya yenu mseme hata tafiti zilisema.
Leo hii akishindanishwa na Kingwendu kihalali bila wizi wenu, Kingwendu atamuacha mbali sana.
Kwa uchaguzi huru na haki mkuu
Mpinzani CHADEMA katia mpira kwapaniSasa wanaogopa nini kufanya uchaguzi wa huru na haki kama wanajua watashinda?
Mpinzani CHADEMA katia mpira kwapani
Unajua tunaposema uchaguzi huru na wa haki tunamaanisha nn?Kwa uchaguzi huru na haki mkuu