Wakija wengine na utafiti unaosema atashindwa mtasema ni wachochezi wanataka kuvuruga amani qmmk. UTAPELI==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 82% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Muongo🤪==

Wana CCM wenzake tu hawapendi labda kama walimuuliza Abdul , Awadhi na Mchengerwa.Rubbish, atachaguliwa na wezi wenzake wa mali za umma.
SiKweliRubbish, atachaguliwa na wezi wenzake wa mali za umma.
Utaelewa nini dada angu weweSiKweli
Hakuna mtu anataka mtu mdini na mbaguziW
Wana CCM wenzake tu hawapendi labda kama walimuuliza Abdul , Awadhi na Mchengerwa.
Ingekua anapendeka angechukua fomu kura za maoni ili agombee na wenzake
Baaasi! imeisha hiyo==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Mimi nilidhani Barometer inapima air pressure peke yake, kumbe ina matumizi anuai.==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
HowRubbish, atachaguliwa na wezi wenzake wa mali za umma.
Hujui mfumo wenu wa wizi wa mali za umma?
Barometer yenye afro?,hizo zengine ni vipara?.Yote mnayosema simumpe 100% tu
Msingeogopa uchaguzi Huru na wa Haki
No reform No Election
==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Hata wewe utamchaguaRubbish, atachaguliwa na wezi wenzake wa mali za umma.
Siwezi kuwa mwendawazimu kama weweHata wewe utamchagua
Kama uchaguzi utafanyika kwa haki bila makandokando hawezi shida kabisa.,Kama lissu atagombea kupitia chama chake lissu atapata zaidi ya asilimia 70.==
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu kwa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani na Rais Samia kutokana jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Wakina nani?watakuja kupinga na matusi na porojo tu ila reality iko hivyo