GE2025 Afrobarometer: Rais Samia atashinda Uchaguzi akigombea na yeyote kwa 83%

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Utapeli na wizi mtupu?
 
Sasa mbona mwoga hivi mpaka anafanya udanganyifu na uharibifu wa ubinadamu kiasi hiki?

Hata hivyo, tunapaswa kujua ni kwa vigezo na mazingira gani ya uchaguzi atapata ushindi huo?

Kama mazingira ni haya haya yalivyo sasa au 2019 au 2020 au 2024 , kwa yeye mwenyewe kuwa mchezaji (mshiriki wa uchaguzi) na wakati huohuo akiwa referee, mshika kibendera na VAR pia, basi utakuwa umekosea kumpa ushindi wa 83% bali inapaswa kuwa atashinda kwa 99.99%!!

Lakini uchaguzi ukifanyika ktk uwanja sawa wa ushindani kwa kuwa na uchaguzi huru, wa wazi na wa haki kwa kila chama na wagombea, bibi yenu huyu hana lolote, ananuka kinyesi na damu za watu kila upande, hana uwezo wa kiuongozi na hafai kabisa kuwa Rais wa Tanganyika hata kwa dakika moja tu ijayo!

Na kwa sbb hii, ukifanyika uchaguzi hata Leo ktk mazingira ya uwanja huru na usawa huku wananchi wakiwa waamuzi wa gemu hii, Bi Kizimkazi hawezi kuambulia hata 4% kura zote!

Wewe unajua, mimi najua na wananchi wote waume kwa wanawake, watoto kwa wakubwa, wazee kwa vijana wanaujua ukweli huu 100%!
 
Yes tunatik✓✓
 
Huo ni utafiti umefanywa
 
Huyo yeyote ndiye nani sasa ? Mtaje tumjue. Maana fomu alichukua mwenyewe na atagombea mwenyewe.
 
Kwani anashindana nani wa chama kipi ?!. Au akina Rungwe !@
 
kwetu sisi wakristo anaotufungia makanisa tusisali, tumemshitaki kwa Mungu kabisa ashughulike naye, ashinde asishinde huyo atakutana na Mungu tu kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth.
 
Huo utafiti umefanywa na kamati kuu ya CCM, kama ni Reuters/IPSOS Samia hapati asilimia 40 akishindana na yeyote yule, awe Zitto, Gwajima au mwanasiasa mwingine.CCM mmeshaanza kuogopa na ndiyo maana mnaendelea kuteka na kuua watu.Mnawazuia CHADEMA kwenda nje ya nchi kwa sababu gani? Mabaya yote ya Samia na mshirika wake mkuu Kikwete yanafahamika dunia nzima, hayafichiki, Huyo mama ameshachafuka, hasafishiki hata awe na dodoki ngapi.
 
Sasa mbona wasiwasi ni mwingi hivi
 
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Hiyo Afrobarometer ni ya wapi na ilifanyia wapi huo utafiti?

Ukute ni taasisi ya uvccm.

Kuna siku poll ilianzishwa humu ya chura vs Lissu, matokeo yalikuwa 5% kwa 95% in that order, uzi ukafutwa chap.

Kama kweli chura ana uwezo wa kushinda uchaguzi huru kwa nini hamtaki uwepo wa Tume Huru na ni kwanini TAL amehifadhiwa ndani kwa kesi ya mchongo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…