Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Nyambafu kabisaa==
Utafiti uliofanywa na taasisi maarufu ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu wa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani zaidi na Rais Samia kutokana na jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo endelevu katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Angegombea na Rais wa Tanganyika Mh. Tundu Lissu kwenye uwanja usio egemea upande wowote ule; saa 2 tu asubuhi angekuwa ameangukia pua. 🤥==
Utafiti uliofanywa na taasisi maarufu ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu wa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani zaidi na Rais Samia kutokana na jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo endelevu katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
Kumbuka watu wengi hawana amartphonekwanini tusiwekewe "ballot" hapa ili tupige kura tuone atapata % ngapi?
Halishi wananchi wanamlisha bibi yao na kumfariji anapendwa ili wale hela zakePumbavu, mnaanza kutulisha matango pori ili mkishafanya yenu mseme hata tafiti zilisema.
Leo hii akishindanishwa na Kingwendu kihalali bila wizi wenu, Kingwendu atamuacha mbali sana.
Hela za Watanganyika alizojimilikisha na familia yakewale hela zake
Kabisa huyu maza naskia anaharibiwa zaid na mtoto wake yaana ameiba mpaka hana paku ziweka ila Bado anafanya kutukomoa tuuHela za Watanganyika alizojimilikisha na familia yake
HABARI YAKO MKUUKaribu
Lakini mtaani katika kila kuni watu 10 basi 9 hawamtaki samia na sehemu nyingine ni 10 wote hamtaki jabo sijui sababu ni nini maana mimi naona fresh tu==
Utafiti uliofanywa na taasisi maarufu ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu wa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani zaidi na Rais Samia kutokana na jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha katika kuwaletea maendeleo endelevu katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo maji, elimu, sheria na mioundombinu,
Hata hivyo 70% ya wananchi waliohojiwa walisema Nchi ipo kwenye uelekeo sahihi chini ya uongozi wa Rais Samia
WATANZANIA OCT TUNATIK✓
=====
Surveys za AfroBarometer zilizofanywa kwa ushirikiano na REPOA hazioneshi suala hili ambalo mtoa mada amedai kwenye post yake. Survey iliyofanywa June 2024 ukurasa wa 34, 35 na 38 lina maswali yanayoendana na mada hata hivyo haina asilimia alizotaja mtoa mada.
==

how?Nyambafu kabisaa
RUKSA KUFANYA ILI MRADI WASIPIKE TU MATOKEO YAO WENYEWEWakija wengine na utafiti unaosema atashindwa mtasema ni wachochezi wanataka kuvuruga amani qmmk. UTAPELI
No reform No Election
Embu weka polls hapa tuone. Au wamehojiwa watu wa lumumba? Hata huko awezi pata 83 au 70.==