Afumaniwa akidaiwa kuwaingilia vijana wawili kinyume na maumbile

Bora uwaambie hawa WANAFIKI.
 
Yani raia wote hapo wameenda kushuhudulia ushoga 😁
Bongo tunaishi dunia yetu wenyewe wenyewe.
Na wenyewe usiku wanajifungia wanaufanya na wake zao na waume zao..!! 😹😹
 
Na usiseme tuu platinum.... ni platinum msomi, mwenye exposure ya kusafiri na kuishi nchi mbalimbali na jamii za kila aina. Na usisahau... yuko JF tangu 2006.....
😹😹😹 Igweeeeeeeeee
 
JF member since 2006 macho_mdiliko naomba unisikilize mkuu. Ushoga ni janga hatari kwa jamii yetu na sidhani kama kuna dini inaunga mkono kufuru cha kiwango hiki. Tunapaswa kukemea suala hili waziwazi bila kupindisha au kuficha ficha. Nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi, tusipake mafuta uchafu. Unaposema walikuwa wanaburudika na haipaswi kuwaingilia, ni picha ipi unayojenga?
 
Wewe ni nani kupekuwa vyumba vya watu kuangalia wanafanya nini? Ni sheria gani inayowapa hao majirani mamlaka ya kuwatoa watu wazima kwenye nyumba yao na kuwapiga? Wana uhakika gani kuwa walifanya wanafanya hilo tendo? Mimi niko ki-sheria zaidi kwa sababu kesho unaweza kuvamiwa wewe au mimi kwa sababu tu jirani kahisi unafanya. Wangekuwa ni watoto wadogo, au angekuwepo hata mmoja wala nisingelaumu. Mimi nakuhakikishia jamaa akiwageuzia kibao wanafungwa kifungo kirefu na faini kubwa. Hapo hajasema walikuwa na lengo la kumpora sh milioni 10 alizokuwa nazo. Mimi huwa nataka watu wafuate sheria kama wanahisi kuna kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…