Afungiwa na Maiti Chooni Siku 3

Afungiwa na Maiti Chooni Siku 3

nipo Qatar. niseme ukweli kazi za ndani wema ni 1/10, walau sasa mambo yameratibiwa chini ya taesa. kazi za ndani nchi kama philippines ilishapiga marufuku watu wake kufanya kazi uarabuni. fanya kazi zingine lakini sio za ndani. jamaa bado wako mbali na ustaraabu wa kuheshimu domestic workers.
Akija FaizaFoxy atakupinga kuwaharibia ndugu zake
 
Serikali zetu nazo huwa haziko serious,hapa alitakiwa kukamatwa agent,haiwezekani unafanya udalali wa watoto wa watu wakiwa mbali na nyumbani kwao halafu hakuna ufatiliaji.

Katika mazingira ya kawaida,nchi ambayo pia haina utaratibu mzuri wa ktk mifumo ya haki kwa wageni,hiyo sio salama kwa wageni,ina maana agent ukiona unataka kufanya ufatiliaji wa wateja wako halafu kuna blah blah maana yake hakufai kuendelea na biashara.

Hawa watu baadhi wanapata shida sana,wanaporwa simu,au wanaishi nazo kwa siri vyumbani mwao,agent ulikabidhi mtu ukayeyukia hewani.
 
Yani ukiachana na ubaguzi wana viji customs vingine vya kipuuzi ambavyo ni uncivilized.
Yani katika jamii ambazo ziko nyuma kwenye kustaarabika ya kwanza ni wahindi wapili waarabu.
Hawa watu ni kama wanyama mambo yao ukiacha mbali na ubaguzi.
Uko sahihi. Japo weusi pia tuna shida zetu ila hizo jamii 2 hapana, ni level up
 
Kweli kabisa mkuu
 
Mkuu nikupe sana hongera huwa nakutana na michango yako. Uko fair kukosoa. Licha ya kua muislam hapa umekua fair tofauti na baadhi ya members wengine.
 
Ninachompenda member Kosugi licha ya kua muislamu hayuko biased kukemea. FaizaFoxy mradi imehusika ni uislamu au muislamu kwake hakuna kosa.
Big up kwake, uislamu usifanye baadhi ya watu kutetea hadi maovu kwa sababu tu kuna link na imani yao. Kwenye ukweli usemwe bila kujali mengineyo.
 
Uko sahihi. Japo weusi pia tuna shida zetu ila hizo jamii 2 hapana, ni level up
Shida zetu sisi ni normal sana ni shida ambazo kuzitatua ni rahisi pale tunapoelimishwa pia WaAfrika tuna utu.
Ila hizo njemba zina Superiority complex na pia utu upo kidogo sana kwasababu ya kuendekeza superiority complex.
Uzuri ukitizama Aljazeera wanakuonesha utumbo wao mwingi sana wanaofanya,kuna vipindi kama People and power,Inside story,Aljazeera world na 101 EAST.
Vijaribu kufuatilia unaweza ukasema aagh hawa jamaa utajiri wote huu mbona akili kama za ngedere!?
Ndio maana hata wanawake wengi wa kiarabu hawafurahii maisha uarabuni kama wakihama dunia nje na bara arab.
Tafiti ilifanyika na hilo liligundulika.
Na customs zao nyingi ni gender oppressing na zinaleta matabaka ya walionacho na wasio nacho.
 
uko vizuri kichwani mkuu wa kazi
yes, documentaries za Al Jazeera nondo sana. kitambo nilikua nazifuatilia hasa zinazohusu jamii zetu waafrika.
walau waarabu wa Lebanon naona wako kinamna tofauti kiasi na hawa wengine. niko qatar nawaona waarabu. wapo washenzi na waungwana.
 
SUBIRI WALE WA KUITWA UKIONA MUISLAMU BASI JUA NI NDUGU YAKO WAJE KUBISHA
Waarabu wenyewe wanafia baharini kwenda ulaya halafu kuna mtu anaenda kutafuta maisha kwenye nchi za kiislamu.
Ukitaka kufa, nenda nchi za waislamu maana hawa watu kukuua hawaoni shida
 
BINADAMU CYO ROBOT WANABADILIKA WAKIELEMISHWA NAKUFUNDISHWA UPENDO WA MUNGU. TATIZO HAO NDUGU ZAKO HAWANA UPENDO.
Hawa jamaa wanaabudu dini kuliko Mungu. Hawana hofu na Mungu ila wanahofu na dini.
 
Waarabu wenyewe wanafia baharini kwenda ulaya halafu kuna mtu anaenda kutafuta maisha kwenye nchi za kiislamu.
Ukitaka kufa, nenda nchi za waislamu maana hawa watu kukuua hawaoni shida
Shida sio uislam,shida UARABU.
Nchi za kiarabu hazina socio-balance pia hazina usawa wa kijinsia.
Angalau Qatar,UAE,Kuwait,Lebanon zinajitahidi kustaarabika.
Ila hizo zilizobaki ni mtihani sana.
Uislam huo huo uko Turkiye,Uzbekistan,Azerbaijan,Indonesia,Malaysia,Bosnia and Hezergovina ila mbona wanaishi shega tu kiroho safi!?
Shida JAMII INAYOITWA ARAB ni hatari.
 
Screenshot-2024-06-06-at-11.55.31.png

Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa akifanya kazi alimkuta mfanyakazi mwengine aitwaye Sharmin ambaye Bosi wake alidaiwa kumuua.

“Bosi wangu alikuwa ananifungia muda wowote anatoka nyumbani, nilikuwa nafanya kazi na mwanadada mwingine nikimuuguza mtoto wa bosi wangu, siku moja nilisikia sauti, baadaye nilisikia mtoto akilia, nikamuita mwenzangu, lakini hakujibu kisha akanijibu huku akiogopa na kuniambia atakufa siku hiyo kisha nikasikia mlango ukigongwa kwa nguvu na sikumsikia tena yule binti,” alikumbuka vyema”

Beatrice alisema mlango wake ulifunguliwa ghafla, na kumuona mtoto akivuja damu, huku mfanyakazi mwenzake (Sharmin) akiwa amelala chini.

“Bosi na Mkewe walitoa mtoto nje ya nyumba na wakaniambia mwili wa mwenzangu Sharmin niupeleke Chooni” alisema Beatrice.

“Haikuniingilia akilini kuwa Bosi anaweza kumfanyia Sharmin kitu kama kile, Sharmin alilala pale chini, nilianza kuwaza kwanini Sharmini haonekani anapumua na kwanini walikuwa wakiniita badala yake, nilijaribu kuita jina lake kwa sauti ya chinichini kwa sababu niliogopa kumchunguza mbele ya Bosi na Mkewe lakini niliogopa Beatrice anasema.

Beatrice alisita kuubeba mwili huo hadi chooni kwa sababu alihofia angeweza kuacha alama za Vidole vyake kwenye mwili wa Sharmin na nguo zake.

Beatrice aliogopa maana sauti ya kwanza aliyosikia ilikuwa ni Mlio wa Risasi kwani Sharmin alikuwa kimya kwa muda, licha ya hofu yake Beatrice aliuvuta mwili baada ya kupigwa bila huruma na Bosi huyo katili.

“Waliponiomba nimvute Sharmin nilimvuta na mara moja nikiwa chooni nilifungiwa naye, alikuwa ni binti mdogo tu hana hata mtoto. nilikaa hapo kwa muda wa siku tatu na mwili huo hadi ukaanza kupata harufu, kwa kweli, nilikuwa nikinywa maji ya chooni, na sikuweza hata kulala, na hadi sasa, nina picha hiyo akilini,” alisimulia Beatrice.

Baada ya Siku tatu Bosi wake ambaye siku hizo hakuwepo nyumbani na Familia yake, alifika kwa ajili yake na kumpa masharti Magumu kabla ya kuachiwa huru, jambo embalo alikubali kwa usalama wake.

Chanzo: BONGO 5
Hapo hakukuwa kazini wala gerezani bali utumwani.
 
Back
Top Bottom