Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wana ubaguzi wa hali ya juu sana.Jamii za kiarabu na kihindi ni jamii ambazo bado hazijastaarabika.
Wana mambo ya hovyo tofauti na hayo bro ukiyasikia na kuyaona waweza kuwatemea mate.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana ubaguzi wa hali ya juu sana.Jamii za kiarabu na kihindi ni jamii ambazo bado hazijastaarabika.
Wana mambo ya hovyo tofauti na hayo bro ukiyasikia na kuyaona waweza kuwatemea mate.
Akija FaizaFoxy atakupinga kuwaharibia ndugu zakenipo Qatar. niseme ukweli kazi za ndani wema ni 1/10, walau sasa mambo yameratibiwa chini ya taesa. kazi za ndani nchi kama philippines ilishapiga marufuku watu wake kufanya kazi uarabuni. fanya kazi zingine lakini sio za ndani. jamaa bado wako mbali na ustaraabu wa kuheshimu domestic workers.
Yani ukiachana na ubaguzi wana viji customs vingine vya kipuuzi ambavyo ni uncivilized.Wana ubaguzi wa hali ya juu sana.
BINADAMU CYO ROBOT WANABADILIKA WAKIELEMISHWA NAKUFUNDISHWA UPENDO WA MUNGU. TATIZO HAO NDUGU ZAKO HAWANA UPENDO.Haki haitetewi, ama ipo ama hakuna tu.
Uko sahihi. Japo weusi pia tuna shida zetu ila hizo jamii 2 hapana, ni level upYani ukiachana na ubaguzi wana viji customs vingine vya kipuuzi ambavyo ni uncivilized.
Yani katika jamii ambazo ziko nyuma kwenye kustaarabika ya kwanza ni wahindi wapili waarabu.
Hawa watu ni kama wanyama mambo yao ukiacha mbali na ubaguzi.
Kweli kabisa mkuuYani ukiachana na ubaguzi wana viji customs vingine vya kipuuzi ambavyo ni uncivilized.
Yani katika jamii ambazo ziko nyuma kwenye kustaarabika ya kwanza ni wahindi wapili waarabu.
Hawa watu ni kama wanyama mambo yao ukiacha mbali na ubaguzi.
Ninachompenda member Kosugi licha ya kua muislamu hayuko biased kukemea. FaizaFoxy mradi imehusika ni uislamu au muislamu kwake hakuna kosa.Kweli kabisa mkuu
Mkuu nikupe sana hongera huwa nakutana na michango yako. Uko fair kukosoa. Licha ya kua muislam hapa umekua fair tofauti na baadhi ya members wengine.Yani ukiachana na ubaguzi wana viji customs vingine vya kipuuzi ambavyo ni uncivilized.
Yani katika jamii ambazo ziko nyuma kwenye kustaarabika ya kwanza ni wahindi wapili waarabu.
Hawa watu ni kama wanyama mambo yao ukiacha mbali na ubaguzi.
Big up kwake, uislamu usifanye baadhi ya watu kutetea hadi maovu kwa sababu tu kuna link na imani yao. Kwenye ukweli usemwe bila kujali mengineyo.Ninachompenda member Kosugi licha ya kua muislamu hayuko biased kukemea. FaizaFoxy mradi imehusika ni uislamu au muislamu kwake hakuna kosa.
Hakuna upendo kwenye haki, ama ipo ama hakuna.BINADAMU CYO ROBOT WANABADILIKA WAKIELEMISHWA NAKUFUNDISHWA UPENDO WA MUNGU. TATIZO HAO NDUGU ZAKO HAWANA UPENDO.
Shida zetu sisi ni normal sana ni shida ambazo kuzitatua ni rahisi pale tunapoelimishwa pia WaAfrika tuna utu.Uko sahihi. Japo weusi pia tuna shida zetu ila hizo jamii 2 hapana, ni level up
Ukweli lazima usemwe panapohitajika.Mkuu nikupe sana hongera huwa nakutana na michango yako. Uko fair kukosoa. Licha ya kua muislam hapa umekua fair tofauti na baadhi ya members wengine.
uko vizuri kichwani mkuu wa kaziShida zetu sisi ni normal sana ni shida ambazo kuzitatua ni rahisi pale tunapoelimishwa pia WaAfrika tuna utu.
Ila hizo njemba zina Superiority complex na pia utu upo kidogo sana kwasababu ya kuendekeza superiority complex.
Uzuri ukitizama Aljazeera wanakuonesha utumbo wao mwingi sana wanaofanya,kuna vipindi kama People and power,Inside story,Aljazeera world na 101 EAST.
Vijaribu kufuatilia unaweza ukasema aagh hawa jamaa utajiri wote huu mbona akili kama za ngedere!?
Ndio maana hata wanawake wengi wa kiarabu hawafurahii maisha uarabuni kama wakihama dunia nje na bara arab.
Tafiti ilifanyika na hilo liligundulika.
Na customs zao nyingi ni gender oppressing na zinaleta matabaka ya walionacho na wasio nacho.
Waarabu wenyewe wanafia baharini kwenda ulaya halafu kuna mtu anaenda kutafuta maisha kwenye nchi za kiislamu.SUBIRI WALE WA KUITWA UKIONA MUISLAMU BASI JUA NI NDUGU YAKO WAJE KUBISHA
Hawa jamaa wanaabudu dini kuliko Mungu. Hawana hofu na Mungu ila wanahofu na dini.BINADAMU CYO ROBOT WANABADILIKA WAKIELEMISHWA NAKUFUNDISHWA UPENDO WA MUNGU. TATIZO HAO NDUGU ZAKO HAWANA UPENDO.
Ninachoshukuru pamoja na kuwa na mfungamano wa dini nimbakisha akili ya kukosoa na kukemea watu wa dini yangu wanapotenda kinyume na mafundisho ya dini.Wajinga ndio waliwao.
Shida sio uislam,shida UARABU.Waarabu wenyewe wanafia baharini kwenda ulaya halafu kuna mtu anaenda kutafuta maisha kwenye nchi za kiislamu.
Ukitaka kufa, nenda nchi za waislamu maana hawa watu kukuua hawaoni shida
Haki haina dini.Ninachoshukuru pamoja na kuwa na mfungamano wa dini nimbakisha akili ya kukosoa na kukemea watu wa dini yangu wanapotenda kinyume na mafundisho ya dini.
Hapo hakukuwa kazini wala gerezani bali utumwani.![]()
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa akifanya kazi alimkuta mfanyakazi mwengine aitwaye Sharmin ambaye Bosi wake alidaiwa kumuua.
“Bosi wangu alikuwa ananifungia muda wowote anatoka nyumbani, nilikuwa nafanya kazi na mwanadada mwingine nikimuuguza mtoto wa bosi wangu, siku moja nilisikia sauti, baadaye nilisikia mtoto akilia, nikamuita mwenzangu, lakini hakujibu kisha akanijibu huku akiogopa na kuniambia atakufa siku hiyo kisha nikasikia mlango ukigongwa kwa nguvu na sikumsikia tena yule binti,” alikumbuka vyema”
Beatrice alisema mlango wake ulifunguliwa ghafla, na kumuona mtoto akivuja damu, huku mfanyakazi mwenzake (Sharmin) akiwa amelala chini.
“Bosi na Mkewe walitoa mtoto nje ya nyumba na wakaniambia mwili wa mwenzangu Sharmin niupeleke Chooni” alisema Beatrice.
“Haikuniingilia akilini kuwa Bosi anaweza kumfanyia Sharmin kitu kama kile, Sharmin alilala pale chini, nilianza kuwaza kwanini Sharmini haonekani anapumua na kwanini walikuwa wakiniita badala yake, nilijaribu kuita jina lake kwa sauti ya chinichini kwa sababu niliogopa kumchunguza mbele ya Bosi na Mkewe lakini niliogopa Beatrice anasema.
Beatrice alisita kuubeba mwili huo hadi chooni kwa sababu alihofia angeweza kuacha alama za Vidole vyake kwenye mwili wa Sharmin na nguo zake.
Beatrice aliogopa maana sauti ya kwanza aliyosikia ilikuwa ni Mlio wa Risasi kwani Sharmin alikuwa kimya kwa muda, licha ya hofu yake Beatrice aliuvuta mwili baada ya kupigwa bila huruma na Bosi huyo katili.
“Waliponiomba nimvute Sharmin nilimvuta na mara moja nikiwa chooni nilifungiwa naye, alikuwa ni binti mdogo tu hana hata mtoto. nilikaa hapo kwa muda wa siku tatu na mwili huo hadi ukaanza kupata harufu, kwa kweli, nilikuwa nikinywa maji ya chooni, na sikuweza hata kulala, na hadi sasa, nina picha hiyo akilini,” alisimulia Beatrice.
Baada ya Siku tatu Bosi wake ambaye siku hizo hakuwepo nyumbani na Familia yake, alifika kwa ajili yake na kumpa masharti Magumu kabla ya kuachiwa huru, jambo embalo alikubali kwa usalama wake.
Chanzo: BONGO 5