Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

Mfiraji tu huyo shenzi kabisa. Bora apotelee gerezani.
 
Wamemuonea , sasa kama mwenye kuliwa alikuwa anaona raha iweje watu wa nje mje mshadadie? kama angekuwa anaonewa si angeenda kushitaki mwenyewe mara moja? mauzauza haya.
Amekwambia alikuwa anaona raha?

Nyie ndio tunawaita “abuse apologists”

Kuna sababu kadha wa kadha zinazoweza kumfanya victim asiende kushtaki, au asitokee kwenye ushahidi. Hili ni jambo la kueleweka mbele ya watu wenye akili.
 
Wagalatia zamu yetu maamae. Yesu anaaibishwa hivi hivi.

adriz Mufti kuku The Infinity hydroxo Accumen Mo Mlolongo Jagina
 
dah! Mungu atusaidie sisi watanzania.
 
Nikikuta umechelewa kupika kifiro
Nikikuta unachat na wanaume wengine kifiro
Nikiacha hela ya nyama nikakuta maharagwe kifiro.
Ukichelewa kujib txt kifiro
Daaaaah!!! Kwa hawa dada zetu wa mjini, atajitahidi kila siku akoseee
hahaha
ila huyo mwamba mchezo wake bwana anaoupenda adhabu inapitiamo tu kama kutoa sharauti
 
Mfiraji tu huyo shenzi kabisa. Bora apotelee gerezani.
Usimhukumu moja kwa moja namna hii, ndoa hizi zina mambo mengi sana, huwezi kujua yaliyopo nyuma ya pazia.
Huenda kuna 'issues' ndio maana hata mwanamke wake (a key witness) hajahudhuria Mahakamani. Hii ikupe ishara kwamba kuna jambo ambalo siyo la kawaida lipo 'nyuma ya pazia jeusi'
 
Tanzania ukiwa na kesi mahakamani Bila kuwa na Wakili wanakupoteza.

Ona sasa kesi za kitapeli kama hizi Kwa nini victim asitowe ushahidi mahakamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…