Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

Njombe again,Jan kulikua na kesi kama hio tena mahakaman na jamaa kapigwa 30years ndichi
 
Huku Mvuti kuna mwamba alikuwa akifanya vivyo hivyo, tena anamla tigo mbele ya watoto.
Hii adhabu ya kuliwa tigo iliwapasa mafisadi
 
Nikikuta umechelewa kupika kifiro
Nikikuta unachat na wanaume wengine kifiro
Nikiacha hela ya nyama nikakuta maharagwe kifiro.
Ukichelewa kujib txt kifiro
Daaaaah!!! Kwa hawa dada zetu wa mjini, atajitahidi kila siku akoseee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na adhabu iliyotolewa, nadhani kulikuwa na haja Mahakama ikajiridhisha zaidi Kwa kupata ripoti ya Daktari.

Lakini pia, isije kuwa hii ni mbinu inayotumika kutuumiza Wanaume.

Unaweza ukawa unapewa hayo mambo kama sehemu ya Starehe na mapenzi yenu na Mkeo alafu baadaye akaja kuitumia kukufunga jela.

Mtafanya Wanaume tuombe talaka Kwa Wake zetu sasa kuogopa hayo yasije kutokea.

Mungu atunusuru Wanandoa, naona Taasisi ya Ndoa inaendelea kupigwa Vita Kila Leo 😭
Pia mke anaweza kuwa anafanywa nje na wapenzi wake na kwa sababu tayari kuna ushahidi wa uharibifu akimsingizia mumewe itaaminika ni mumewe anayemuingilia wakati sio.
 
Pia mke anaweza kuwa anafanywa nje na wapenzi wake na kwa sababu tayari kuna ushahidi wa uharibifu akimsingizia mumewe itaaminika ni mumewe anayemuingilia wakati sio.
Kabisa Mkuu

Mungu atusaidie Wanaume, tupo kwenye vita Kali
 
Hata hivyo, mpaka kufikia hatua ya Mbwilo kutiwa hatiani na kufungwa, mlalamikaji hakuwahi kufika kortini kutoa ushahidi wake, isipokuwa Mahakama iliamua kuegemea maelezo yake aliyokuwa ameyaandika Polisi.
🤔🤔🤔🤔
 
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, imemhukumu Dickson Mbilo mkazi wa Kitelewasi, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatia kwa kosa la kumlawiti mke wake na kumsababishia sehemu zake za siri kuharibika vibaya.

Kulingana na maelezo ya mwanamke huyo mwenye umri wa miaka (32), mumewe alikuwa akimfanyia kitendo hicho pale anapokuwa amekosea kama adhabu.

Back
Top Bottom