Tony lawyer
New Member
- Jul 10, 2023
- 2
- 5
Adhabu aliyoipata jamaa inastahili aipate mana amefanya ukatili ni bora ingekuwa ni makubaliano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari tena sanaMahakama ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imemtia hatiani Dickson Mbwilo (42), mkazi wa Kitelewasi na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumlawiti mke wake.
Kulingana na maelezo ya mwanamke huyo mwenye umri wa miaka (32), mumewe alikuwa akimfanyia kitendo hicho pale anapokuwa amekosea ili iwe ndiyo adhabu yake hali ambayo ilimsababishia sehemu zake za siri kuharibika vibaya.
Hata hivyo, mpaka kufikia hatua ya Mbwilo kutiwa hatiani na kufungwa, mlalamikaji hakuwahi kufika kortini kutoa ushahidi wake, isipokuwa Mahakama iliamua kuegemea maelezo yake aliyokuwa ameyaandika Polisi.
Hukumu hiyo ilitolewa Machi 6, 2024 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Benedict Nkomola na nakala yake kupatikana Machi 12, ikisema ushahidi uliotolewa umethibitisha mashtaka dhidi ya Mbwilo.
Hakimu amesema katika kesi ya jinai, maelezo ya malalamikaji yanaweza yakatumika kama sehemu ya ushahidi kwa kuwa sheria ya ushahidi inatoa utaratibu wa kushughulika na kesi ambazo mlalamikaji atakuwa hapatikani kutoa ushahidi.
Aliyekuwa akifanyiwa hivyo ni Binti karibu na home. Alimsimulia wife, issue ilifika mpaka police ikazimwa wameachana sasa. Ndugu Dunia ina maajabu.acha uongo
wewe umejuaje?
Hao siyo wakinga.Hii kesi waichunguze kwa umakini ina walakini. Wakinga hawana tabia za kufumuana marinda.!!
Huyo bwana kapita njia sio zake WAHUNIHii kesi mbona kama ina walakini?Au ni mimi tu naona kuna kitu kinakosekana?Rafiki yangu mmoja aliwahi kuandikiwa Kesi na Polisi ya Kumlawiti Mpenzi wake mpaka ripoti ya dakatari ikatengenezwa kwamba alipompima alikuwa ndivyosivyo.Huyu bwana Mbwilo atakuwa amejifunzia wapi hio tabia?
hao watoto ni wadogo kiasi gani?Aliyekuwa akifanyiwa hivyo ni Binti karibu na home. Alimsimulia wife, issue ilifika mpaka police ikazimwa wameachana sasa. Ndugu Dunia ina maajabu.
Yaani mtu anamla mke wake tigo mbele ya watoto.
[emoji16][emoji16]Nikikuta umechelewa kupika kifiro
Nikikuta unachat na wanaume wengine kifiro
Nikiacha hela ya nyama nikakuta maharagwe kifiro.
Ukichelewa kujib txt kifiro
Daaaaah!!! Kwa hawa dada zetu wa mjini, atajitahidi kila siku akoseee
we bwabwa huna akili kama angekuwa hasikii raha ilikuaje asanuliwe na watu wa nje na sio yeye mwenyewe? punga weweAmekwambia alikuwa anaona raha?
Nyie ndio tunawaita “abuse apologists”
Kuna sababu kadha wa kadha zinazoweza kumfanya victim asiende kushtaki, au asitokee kwenye ushahidi. Hili ni jambo la kueleweka mbele ya watu wenye akili.
We unaamini ni kweliDuh kuna watu makatili sana. Jela inamfaa akafundishwe adabu na wababe zaidi yake
We unaamini ni kweli
we bwabwa huna akili kama angekuwa hasikii raha ilikuaje asanuliwe na watu wa nje na sio yeye mwenyewe? punga wewe
Twende taratibu acha kupaniki nimekuuliza swali ulitakiwa ujibu kwanza halafu inaonekana hata hyo taarifa hujaisoma yote maana imesema aliyetoa mashtaka hajaenda kutoa ushahidi mahakamani.Wewe ni Mwalimu?unataka nikuamini wewe ama?ndie mtuhumiwa ama docta mpachika kansa?
Twende taratibu acha kupaniki nimekuuliza swali ulitakiwa ujibu kwanza halafu inaonekana hata hyo taarifa hujaisoma yote maana imesema aliyetoa mashtaka hajaenda kutoa ushahidi mahakamani.
Mbona kama Kesi ya Mchongo.....huyo Jamaa ameacha Mali nyingi.Mahakama ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imemtia hatiani Dickson Mbwilo (42), mkazi wa Kitelewasi na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumlawiti mke wake.
Kulingana na maelezo ya mwanamke huyo mwenye umri wa miaka (32), mumewe alikuwa akimfanyia kitendo hicho pale anapokuwa amekosea ili iwe ndiyo adhabu yake hali ambayo ilimsababishia sehemu zake za siri kuharibika vibaya.
Hata hivyo, mpaka kufikia hatua ya Mbwilo kutiwa hatiani na kufungwa, mlalamikaji hakuwahi kufika kortini kutoa ushahidi wake, isipokuwa Mahakama iliamua kuegemea maelezo yake aliyokuwa ameyaandika Polisi.
Hukumu hiyo ilitolewa Machi 6, 2024 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Benedict Nkomola na nakala yake kupatikana Machi 12, ikisema ushahidi uliotolewa umethibitisha mashtaka dhidi ya Mbwilo.
Hakimu amesema katika kesi ya jinai, maelezo ya malalamikaji yanaweza yakatumika kama sehemu ya ushahidi kwa kuwa sheria ya ushahidi inatoa utaratibu wa kushughulika na kesi ambazo mlalamikaji atakuwa hapatikani kutoa ushahidi.
Unajua maana ya kujipendekeza ww hili ni jukwaa huru yoyote anayezingua anapigwa za uso kama ww anasemwa raisi wa nchi halafu ww unawaambia watu wanajipendekeza kwa lipi sasa tumia akili yako vizuri.Sina huo muda. Nimeshatoa comment nimemaliza. Wewe pambana kuutafuta huo ukweli. Punguza kujipendekeza kwenye maoni ya watu