Afungwa Jela miaka 30 kwa kumbaka mfanyakazi wake wa ndani

Afungwa Jela miaka 30 kwa kumbaka mfanyakazi wake wa ndani

Ni kwel,tena vitoto vidogo inatakiwa kukitazama vizur kama kinajua mambo hayo na kinayapenda,sio unakivamia tu

Kuna vingine unakuta kimefumuka mshepu lakin hata hayo mambo huwa hakiyawazii na hata kama kinayawaza hakijawah kufikiria kuingiliwa na mtu mkubwa
Achana na vitoto hata kama kinajua kifanye na watoto wenzake, sisi tuendelee na wenye sugu wenzetu
 
Hakuna cha mtego wala nini, wengi wenu mmezoea kuwanyanyasa na kuwadhulumu kingono watoto wadogo hasa mahousegirls.

Tafuta jimama achana na watoto wadogo utafungwa sana mpaka uchanganyikiwe.
Nawashangaa wanaomsingizia mke,mtu kabaki nyumbani makusudi kabisa ili abake akaenda mpaka na hela ya kumpooza chumbani,halafu useme ni mtego
 
Ndo mana watu wa zaman kina suleyman walikuwa wanasema mtu akiwa kijakaz wako au wenyew wanaita suria inatakiwa umtombe tu haina shida coz huwez kaa na mtu sio mwanao sio mkeo halaf yuko ndani kwako anakula ananona umuangalie tu ujue watu wa zaman walikuwa na akili sn mfalme suleyman alikuwa na wake 300 na masuria 700 wote alikuwa anawapiga pumbu hao ss huyo jamaa kosa lake n lipi angekuwa enzi izo angepewa na u bey kabisa nmehuzunika mm mpk nalia hapa
Tafuta mtu mzima sasa ukae nae ili akinona uhamie chumbani kwake,kwa watoto utafungwa tu
 
Mwezi mmoja, Hapana.

Angekula miaka 3 au 5 , miaka 30 hapo ukute plate number yake inacheza 40+ ukiweka hiyo 30+ si atatoka jela akiwa antembelea mkongojo, upande WA Pili bado anafamilia inamtegemea cha kusikitisha zaidi aliemrubuni utakuta aliishia la 7c . [emoji3061]
Sawa sawa ...

Hizi Tabia za kishenzi zikiendekezwa ndio shida inazidi...

Huoni Kama Ni uonevu ..kubaka msichana mdogo Tena Ni muhitaji kiasi Cha kuwa house girl?!.

Angefanywa hivyo mtoto wako ..
Ungesema haya?

Wakati anabaka hakujua sheria inasemaje?!
.. Hawa ndio wanaobaka na kurubuni watoto ovyo ovyo!
Skate rufaa ili aongezwe miaka.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mkazi wa Miembesaba mkoani humo, Otienal Ibrahimu (36), baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka mfanyakazi wake wa ndani mwenye umri wa miaka (15).

Hukumu hiyo imetolewa Julai 31, 2023 na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Fahamu Kibona huku upande wa mashitaka ukiongozwa na Wakili wa Serikali Elizabeth Olomi, akisaidiana na Asifiwe Mzava na upende wa utetezi ukiwakilishwa na Wakili Iddi Msawanga.

Kwa mujibu wa mahakama hiyo, ilielezwa kuwa mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo Februari 15, 2023 alfajiri nyumbani kwao huko Miembesaba, baada ya mke wake kuelekea kazini na hivyo mdaiwa kutumia mwanya huo kutekeleza unyama

Ilielezwa kuwa siku hiyo mshtakiwa huyo alimfuata mfanyakazi wake chumbani huku akiwa amevaa taulo na pesa mkononi kiasi cha Sh20,000 akitaka kumpatia ili amkubalie kufanya naye mapenzi, jambo ambalo msichana huyo hakuliafiki na hivyo Danielic kumshika kwa nguvu na kumbaka.

“Baada ya kutekeleza kitendo hicho, mfanyakazi wake alimueleza mke wa mshtakiwa aliporejea kutoka kazini, lakini pia aliwasiliana na baba yake aishie mikoani na hata kuwaeleza rafiki zake waishio kwenye eneo hilo ambao walilivalia njuga suala hilo na kuripoti kituo cha polisi,” amesema Hakimu kibona.

Amesema kuwa baada ya taarifa kufika polisi msako ulianza na kwamba mshitakiwa alikimbilia mkoani Dodoma, hata hivyo alikamatwa na Polisi Juni 9, 2023 na hivyo kufikishishwa mahakamani kuendelea na kesi hiyo.

Imeelezwa kuwa mahakama hiyo ilifikia hatua ya kumhukumu adhabu hiyo baada ya kuridhishwa pasipo na shaka na ushahidi uliotolewa na daktari na mwathirika wa tukio hilo, huku mshitakiwa akijitetea kuwa siku ya tukio hilo hakuwepo nyumbani ingawa utetezi wake huo haukumnusuru na adhabu hiyo ya miaka 30 jela.

MWANANCHI
Ujinga, si angeenda Sinza tu, tena hiyo elfu 20 nyingi sana
 
Back
Top Bottom