Afungwa Jela miaka 30 kwa kumbaka mfanyakazi wake wa ndani

Achana na vitoto hata kama kinajua kifanye na watoto wenzake, sisi tuendelee na wenye sugu wenzetu
 
Hakuna cha mtego wala nini, wengi wenu mmezoea kuwanyanyasa na kuwadhulumu kingono watoto wadogo hasa mahousegirls.

Tafuta jimama achana na watoto wadogo utafungwa sana mpaka uchanganyikiwe.
Nawashangaa wanaomsingizia mke,mtu kabaki nyumbani makusudi kabisa ili abake akaenda mpaka na hela ya kumpooza chumbani,halafu useme ni mtego
 
Tafuta mtu mzima sasa ukae nae ili akinona uhamie chumbani kwake,kwa watoto utafungwa tu
 
Sawa sawa ...

Hizi Tabia za kishenzi zikiendekezwa ndio shida inazidi...

Huoni Kama Ni uonevu ..kubaka msichana mdogo Tena Ni muhitaji kiasi Cha kuwa house girl?!.

Angefanywa hivyo mtoto wako ..
Ungesema haya?

Wakati anabaka hakujua sheria inasemaje?!
.. Hawa ndio wanaobaka na kurubuni watoto ovyo ovyo!
Skate rufaa ili aongezwe miaka.
 
Ujinga, si angeenda Sinza tu, tena hiyo elfu 20 nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…