Afungwa Jela miaka 30 kwa kumbaka mfanyakazi wake wa ndani

Hakuna cha mtego wala nini, wengi wenu mmezoea kuwanyanyasa na kuwadhulumu kingono watoto wadogo hasa mahousegirls.

Tafuta jimama achana na watoto wadogo utafungwa sana mpaka uchanganyikiwe.
True Kama uliruka stage ya utoto kula vitoto Bora uwe mpole tu ili kujinusuru jela
 
Mnaotetea angefanyiwa binti yako wa miaka 15 ungejisikiaje?acha akatumikie hicho ndio alichokuwa anataka mtu umekataliwa unalazimishwa,tuwaheshimu wafanya kazi wetu wa ndani
Inashangaza sana.
 
Huna akili
 
Kammwagia shahawaa zenye STD
 
Na unaweza kuta mke huyo huyo alimnyima mume wake mzigo siku hiyo ama asubuhi hiyo.

Siamini kama mume angepata moning glory kwa mkewe angekuwa na nguvu za kubaka mfanyakazi alfajiri hiyo hiyo
Eti morning glory...[emoji16][emoji16]

Wanaume mnajipenda asee
 
Mchawi wa case ni alibi.
Hakuna cha ALIBI wala nini, jiandae kwenda jela tuu ukileta mchezo mchezo na watoto!

Kuna wajuzi wa sheria zaidi yako na watakubana kisawasawa wewe pamoja na hiyo ALIBI yako uchwara.

Hakuna namna, sukuma ndani ukaparamiwe vizuri na manyapara!
 
Ila mtoto wa miaka 15 hata kama angekuwa amemkubalia, bado ni ubakaji kwa mujibu wa sheria. Ila sasa , kuna ushahidi upi? Au ni maneno tu ya huyo mdada wa kazi?
Nimesoma bandiko kwamba ushahidi umepatikana wa kumtia hatiani. Kama ushahidi umepikwa basi pole zake ila kama ni kweli kabaka aende tu akapate stahiki yake.
 
Nimesoma bandiko kwamba ushahidi umepatikana wa kumtia hatiani. Kama ushahidi umepikwa basi pole zake ila kama ni kweli kabaka aende tu akapate stahiki yake.
Ushahidi tofauti na DNA, ni ipi unaweza kumtia mtu hatiani?
 
Kwa kuwa baharia alitoa dau la 20 K, mahakama imfikirie kidogo. Adhabu kama hizi ni kwa wale wanaotaka utelezi wa bure. 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…