Afya ya akili ya "Diva" wa Wasafi ipo mashakani

Mimi alini inspire miaka ya nyuma kidogo akiwa clouds media aliwah kupost na kuja issue muhimu kuhusu kujenga na kumiliki Ghorofa.
Kwani lile gorofa kwa nini haishi anapanga, lipo wapi mtaa gani, Diva huyu huyu hapost gorofa lake??
Maisha yake ni ya ndotoni miaka yote
 
Nyie wanawake mna tabia za kuringishiana na hapo mnaoneana wivu. Anyway unamwongelea huyo mwenzio kama wote tunamfahamu. Kaeni myaongee myamalize si kila kitu mnaleta huku.
 
Diva kajilengesha sana kwa Diamond,Vunjabei, Harmonize,Ali Kiba na kote huko kaambulia patupu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…