Afya ya akili ya "Diva" wa Wasafi ipo mashakani

Wakimuwahi anapona huyo
 
Diva ni delulu queen. Anapenda ku fantasize maisha ambayo hayaishi na hatokuja kuyaishi. Kweli atakua na shida ya akili maana umri wake na matendo haviendani. Na hiyo haihusiani na kuangalia cartoons 😂😂
Nani alikuambia wasichana wa Tanzania wanazeeka??? Wema Sepetu na Irene Uwoya wlizeekablini?? Lulu wa majiizo......
 
Mkuu ulianza vizuri ila watu wanakutukana kwa kauli hii

Kama hiyo haitoshi eti akawa anaturingishia kiasi cha pesa alichonacho kwenye account yake, pesa yenyewe milioni 23 ndo anavimbia nayo mjini

Kujiunganisha na wewe ni diva
 
Million 500 maana yake nitoe Howo 3 Canter 2 kwa wazazi wake 😂😂

Graham Mzee 47, mzima lakini?
Just imagine Mkuu, yaani Howo 3 ambazo ukiwa nazo Kila Siku unalaza si Chini ya milioni 1 Kwa Siku ukampe huye Shangazi wa Mwaka 70's 🙌

Mkuu Mimi naendelea poa kabisa, japo Uzee unafanya niwe naingia mara chache chache humu 🤗

Natumai nawe unaendelea vizuri pia, heri ya Mwaka Mpya🙏🙏
 
Nani alikuambia wasichana wa Tanzania wanazeeka??? Wema Sepetu na Irene Uwoya wlizeekablini?? Lulu wa majiizo......
Umri na matendo kutoendana haimaanishi ni kuzeeka. Kuna vitu akifanya mtu wa 20s unaona ni sawa ila akifanya mtu mwenye 30s na kuendelea unaona kabisa kua sio sawa. Ndio diva sasa
 

The home of great thinker imevamiwa Diva kweli ni topic ya kuwekewa kwenye jukwaa hili ,peleka Ig,na Facebook
 
1 Ml hesabu ukimpa kazi ya makusanyo imekula kwako na hatojali, ataenda nunua Prada 😀

Doh! Heri na kwako pia asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…