Afya ya akili ya "Diva" wa Wasafi ipo mashakani

Umri na matendo kutoendana haimaanishi ni kuzeeka. Kuna vitu akifanya mtu wa 20s unaona ni sawa ila akifanya mtu mwenye 30s na kuendelea unaona kabisa kua sio sawa. Ndio diva sasa
Akifanya zuchu na wema Sepetu ni sawa ila bibi mwenzenu hamkubali....?? Tafadhali weka picha ya huyo bibi mwenzako nithaminishe..... Asante in advance.
 
Nipo Dodoma karibu na Mirembe!
 
Akili za wanawake wote ndivyo zilivyo. Ni nani huyu lakini mkuu?
 
Akifanya zuchu na wema Sepetu ni sawa ila bibi mwenzenu hamkubali....?? Tafadhali weka picha ya huyo bibi mwenzako nithaminishe..... Asante in advance.
Zuchu na wema wametokea wapi? Uzi unamuhusu diva hao wanawake zako unawataja wa nini. Bundle unalo ingia google msearch utakutana na picha zake. Hata bibi alikuaga binti
 
Zuchu na wema wametokea wapi? Uzi unamuhusu diva hao wanawake zako unawataja wa nini. Bundle unalo ingia google msearch utakutana na picha zake. Hata bibi alikuaga binti
Weka picha.... Acha porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…