TANZIA Aga Khan Afariki dunia akiwa na Miaka 88

TANZIA Aga Khan Afariki dunia akiwa na Miaka 88

Shida moja ya ile Hospital ya Agakan ni kutokua na mabingwa wazuri wana vijana pale junior Doctors hawana utalamu wa kutosha. Usafi wako vizuri sana ila huduma zao sio kivile.
Kwa hiyo hata wao pia wananyanganyana na Mhimbiri wale Senior Doctors wa Mhimbiri wanakua pale pia kutoa huduma.
 
Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88.

Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule zilizojengwa na Aga Khan Tanzania lakini pia alijenga mahospitali mengi sana karibu kila mkoa.

Mungu aipumzishe roho yake pema peponi
=============
A notice on the website of the Aga Khan Development Network - the development organisation he founded - announced his death, saying that he "passed away peacefully in Lisbon on 4 February 2025... surrounded by his family".

It said: "His Highness Prince Karim Al-Hussaini, Aga Khan IV, 49th hereditary Imam of the Shia Ismaili Muslims and direct descendant of the Prophet Muhammad (peace be upon him), passed away peacefully in Lisbon on 4 February 2025, aged 88, surrounded by his family.

View attachment 3225600
Apumzike kwa Amani
 
Shida moja ya ile Hospital ya Agakan ni kutokua na mabingwa wazuri wana vijana pale junior Doctors hawana utalamu wa kutosha. Usafi wako vizuri sana ila huduma zao sio kivile.
Tatizo watumia sana wanafunzi wa kufanya placement na hiyo ni hatari sana kwani hawa huitaji uangalizi wa jicho kwa jicho.
 
Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88.

Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule zilizojengwa na Aga Khan Tanzania lakini pia alijenga mahospitali mengi sana karibu kila mkoa.

Mungu aipumzishe roho yake pema peponi
=============
A notice on the website of the Aga Khan Development Network - the development organisation he founded - announced his death, saying that he "passed away peacefully in Lisbon on 4 February 2025... surrounded by his family".

It said: "His Highness Prince Karim Al-Hussaini, Aga Khan IV, 49th hereditary Imam of the Shia Ismaili Muslims and direct descendant of the Prophet Muhammad (peace be upon him), passed away peacefully in Lisbon on 4 February 2025, aged 88, surrounded by his family.

View attachment 3225600
Apumzike kwa amani. Agha Khan iliingia MoU na Serikali ya Nyerere isamehewe kodi ili itoe huduma za bei ya chini kwa wananchi. Pesa wanazipiga kwa sasa kutokana na bei za juu za huduma zao hakuna mfano. Walikuwa wamejitoa kwenye utaratibu wa bima ya afya unaolipiwa na Serikali na shule zao bila hela za maana huzigusi, hapo sijagusia namna zinavyowabeba Wahindi. Kimsingi huyu hakuwa na lolote la kufanya na maskini.
 
Hapana ni hobby tu mtu kupenda kufahamu vitu. Lakini kinachoshangaza ni pale mtu anaposhangaa mtu mwingine kufahamu taarifa za mtu ambae ni maarufu kiasi hicho kama wewe ulivyoshangaa.
Unafuatiliaje mtu Hadi wajukuu zake .... ??? Hivi unajielewa kabisa unafuatilia mtu wa uturuki Hadi idadi ya ndugu zake.....
 
MUNGU AMUIFADHI PANAPOSTAILI

KUBWA ZAID UYU ALIIPENDA TANZANIA

KAFANYA MENGI SANA TANZANIA

ATA ZA ZANZIBAR AMEIBOLESHA ILE FORODHAN BUSTANI ZA KUPENDEZA
KAWAIDA YAO ATATEULIWA MWENGINE

ATA UYU NAE ALIKUWA NA MTANGULIZI WAKE

KWA JUMUIYA YA AGA KHAN WANAWAITA

MTAKATIFU AGA KHAN kumbukumbuku zake kwa TANZANIA nyingi sana wengine Watakuja kuweka zao!!

Mm hii mbili za ZANZIBAR na Zanaki Rais mkapa alitaka kumrudishia shule ya Zanaki kwasasa iyo Shule kwa wanaojua ipo ktkt ya Shule mbili za AGA KHAN

kwakua eneo lile lote ni la AGA KHAN adi iyo Shule ya ZANAKI lkn alikataa akamwambia Rais Mkapa nitaitengeza lkn wacha Wasome Mabint wetu kama ilivo iwe chini ya Serikali,,,
Project za Shule Za AGA KHAN zitaendelea kwa kutafuta maeneoa mapya ambaya Yanauitaji.
Mkuu msiba ukiisha tuwasiliane, Kuna maeneo yenye uhitaji sana huku
 
Back
Top Bottom