Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jangwani ilijengwa na wakoloni, Azania ilijengwa na serikali ya Mwalimu.1. Tambaza
2. Azania
3. Jangwani
4. Zanaki
Zote hizi ni baadhi ya shule za Mtukufu Agha Khan
Alikuwa anataka kujenga chuo kikuu cha kwanza nchini chini ya East African Muslims Welfare Association mara baada ya Uhuru ,chap chap EAMWA ikavunjwa na Bakwata ikaanzishwa mpango kufutwa.@ Mohamed SaidKiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88.
Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule zilizojengwa na Aga Khan Tanzania lakini pia alijenga mahospitali mengi sana karibu kila mkoa.
Mungu aipumzishe roho yake pema peponi
=============
A notice on the website of the Aga Khan Development Network - the development organisation he founded - announced his death, saying that he "passed away peacefully in Lisbon on 4 February 2025... surrounded by his family".
It said: "His Highness Prince Karim Al-Hussaini, Aga Khan IV, 49th hereditary Imam of the Shia Ismaili Muslims and direct descendant of the Prophet Muhammad (peace be upon him), passed away peacefully in Lisbon on 4 February 2025, aged 88, surrounded by his family.
View attachment 3225600
Alikuwa anataka kujenga chuo kikuu cha kwanza nchini chini ya East African Muslims Welfare Association mara baada ya Uhuru ,chap chap EAMWA ikavunjwa na Bakwata ikaanzishwa mpango kufutwa.@ Mohamed Said
Aga Khan alikua msimamizi wa Mali zote za waisilamu hapa, hata ambao hawakuwa Shia, ilipovunjwa East Africa Muslim welfare Mali alizokuwa akizisimamia walipewa Bakwata, so indirect Bakwata imetoka kwake pia.Na Bakwata iko chini yake?
Huyu ndo wa kwenda peponi, siyo kujitoa mhanga na kuua watu kama makundi ya kiislam ya itikadi kali ili wakapewe bikra72.Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88.
Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule zilizojengwa na Aga Khan Tanzania lakini pia alijenga mahospitali mengi sana karibu kila mkoa.
Mungu aipumzishe roho yake pema peponi
=============
A notice on the website of the Aga Khan Development Network - the development organisation he founded - announced his death, saying that he "passed away peacefully in Lisbon on 4 February 2025... surrounded by his family".
It said: "His Highness Prince Karim Al-Hussaini, Aga Khan IV, 49th hereditary Imam of the Shia Ismaili Muslims and direct descendant of the Prophet Muhammad (peace be upon him), passed away peacefully in Lisbon on 4 February 2025, aged 88, surrounded by his family.
View attachment 3225600
+ MonacoJamaa alikuwa na uraia wa nchi tano.
United Kingdom
France
Switzerland
Portugal
Canada (Honorary)
Nyie Sunni mnawashambulia hawa kule Pakistan na Afghanistan!Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Kwani Tanzania sio Sunni? Majority East Africa ni Sunni na tumewapokea Ismaili wengi, kama Hufahamu Barghash Sultan wa Znz honorary prime minister wake alikua ni Ismailia, Yeye ndio aliowaleta, yeye ndio aliowaweka Znz, yeye kawapeleka Dar maeneo yake na Mpaka Nchi inapata Uhuru Aga Khan ndio msimamizi wa Mali hadi za Sunni hapa Tz.Nyie Sunni mnawashambulia hawa kule Pakistan na Afghanistan!
Yawezekana anafanya kazi aghakhan hospitalDah... Kuna WATU mna taarifa za watu kushinda wahusika wenyewe
iran, na ndiko kwa hao mashia ismailia, yeye ndio kama shehe wao mkuu.Huyu alikuwa raia wa nchi gani????
Kuwa na farasi kwahitaji fedha za kumhudumia, eneo kubwa na matunzo. Ni lazima uwe na uwezo mkubwa wa kifedha. Kuhusu tafiti nikifanya kautafiti kadogo sana. Moja ya mambo ambayo nilibaini ni kwamba kuna kitu chaitwa lineage kwamba hakuna kuchanganya damu na mtu ambae hajapitishwa kwani kufanya hivyo kutatoa siri.Hongera sana Farasi ni moja kati ya wanyama napenda sana shida ni utunzaji wake ni wa gharama sana. ikikupendeza utumegee hizo tafiti za koo hizo za kifalme.