TANZIA Aga Khan Afariki dunia akiwa na Miaka 88

Shida moja ya ile Hospital ya Agakan ni kutokua na mabingwa wazuri wana vijana pale junior Doctors hawana utalamu wa kutosha. Usafi wako vizuri sana ila huduma zao sio kivile.
Kwa hiyo hata wao pia wananyanganyana na Mhimbiri wale Senior Doctors wa Mhimbiri wanakua pale pia kutoa huduma.
 
Apumzike kwa Amani
 
Shida moja ya ile Hospital ya Agakan ni kutokua na mabingwa wazuri wana vijana pale junior Doctors hawana utalamu wa kutosha. Usafi wako vizuri sana ila huduma zao sio kivile.
Tatizo watumia sana wanafunzi wa kufanya placement na hiyo ni hatari sana kwani hawa huitaji uangalizi wa jicho kwa jicho.
 
Apumzike kwa amani. Agha Khan iliingia MoU na Serikali ya Nyerere isamehewe kodi ili itoe huduma za bei ya chini kwa wananchi. Pesa wanazipiga kwa sasa kutokana na bei za juu za huduma zao hakuna mfano. Walikuwa wamejitoa kwenye utaratibu wa bima ya afya unaolipiwa na Serikali na shule zao bila hela za maana huzigusi, hapo sijagusia namna zinavyowabeba Wahindi. Kimsingi huyu hakuwa na lolote la kufanya na maskini.
 
Hapana ni hobby tu mtu kupenda kufahamu vitu. Lakini kinachoshangaza ni pale mtu anaposhangaa mtu mwingine kufahamu taarifa za mtu ambae ni maarufu kiasi hicho kama wewe ulivyoshangaa.
Unafuatiliaje mtu Hadi wajukuu zake .... ??? Hivi unajielewa kabisa unafuatilia mtu wa uturuki Hadi idadi ya ndugu zake.....
 
Mkuu msiba ukiisha tuwasiliane, Kuna maeneo yenye uhitaji sana huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…