TANZIA Aga Khan Afariki dunia akiwa na Miaka 88

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88.

Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule zilizojengwa na Aga Khan Tanzania lakini pia alijenga mahospitali mengi sana karibu kila mkoa.

Mungu aipumzishe roho yake pema peponi
=============
A notice on the website of the Aga Khan Development Network - the development organisation he founded - announced his death, saying that he "passed away peacefully in Lisbon on 4 February 2025... surrounded by his family".

It said: "His Highness Prince Karim Al-Hussaini, Aga Khan IV, 49th hereditary Imam of the Shia Ismaili Muslims and direct descendant of the Prophet Muhammad (peace be upon him), passed away peacefully in Lisbon on 4 February 2025, aged 88, surrounded by his family.

licensed-image.jpg
 
Hata shule za agha khan zilikuwa karibu kila mkoa ambapo wahindi wapo
 
View attachment 3225600
RiP HH Aga Khan
 
Huyu alikuwa raia wa nchi gani????
Alizaliwa Switzerland na baadae akawa na uraia wa UK lakini makazi yake ya kudumu yalikuwa ni Monaco ambako kwa sababu za kikodi baadhi ya matajiri wengi huishi pale.

Alichukua taji hilo la kuongoza Washia akiwa na umri wa miaka 20 na hadi anafariki ameacha utajiri wenye thamani ya pauni bilioni 11.

Ameacha watoto wanne Princess Zahra, Prince Rahim, Prince Hussain na Prince Aly Muhammad pamoja na wajukuu wanne.

Prince Rahim ndie mkubwa akiwa na umri wa miaka 53 na ndie anetarajiwa kutangazwa kuchukua taji la baba yao. Rahim alizaliwa kwa mke wa kwanza mzungu mwingereza aitwae Sally Croker-Poole.

Mke wake wa pili pia alikua ni mzungu mwingereza ambae walioana mwaka 1988 na akamzalia mtoto mmoja na baada ya miaka sita wakaachana.

RIP.
 
Alizaliwa Switzerland na baadae akawa na uraia wa UK lakini makazi yake ya kudumu yalikuwa ni Monaco ambako kwa sababu za kikodi baadhi ya matajiri wengi huishi pale.

Alichukua taji hilo la kuongoza Washia akiwa na umri wa miaka 20 na hadi anafariki ameacha utajiri wenye thamani ya pauni bilioni 11.

Ameacha watoto wanne Princess Zahra, Prince Rahim, Prince Hussain na Prince Aly Muhammad pamoja na wajukuu wanne.

RIP.
Dah... Kuna WATU mna taarifa za watu kushinda wahusika wenyewe
 
Hizi taarifa huwa available unapozihitaji.

Mimi ni mpenzi wa mbio za farasi na kuna wakati niliishi UK (masomoni) wana uwanja wa mbio za farasi uitwao Ascot. Pale ni kiunga cha watu wote matajiri khasa koo za kifalme na matajiri wengine wengi tu.

Nilikuwa pale nafanya tafiti za koo za kifalme ndo nikawa na uwezo wa kuwachambua hawa watu, "very simple process" wapata habari zote.
 
MUNGU AMUIFADHI PANAPOSTAILI

KUBWA ZAID UYU ALIIPENDA TANZANIA

KAFANYA MENGI SANA TANZANIA

ATA ZA ZANZIBAR AMEIBOLESHA ILE FORODHAN BUSTANI ZA KUPENDEZA
KAWAIDA YAO ATATEULIWA MWENGINE

ATA UYU NAE ALIKUWA NA MTANGULIZI WAKE

KWA JUMUIYA YA AGA KHAN WANAWAITA

MTAKATIFU AGA KHAN kumbukumbuku zake kwa TANZANIA nyingi sana wengine Watakuja kuweka zao!!

Mm hii mbili za ZANZIBAR na Zanaki Rais mkapa alitaka kumrudishia shule ya Zanaki kwasasa iyo Shule kwa wanaojua ipo ktkt ya Shule mbili za AGA KHAN

kwakua eneo lile lote ni la AGA KHAN adi iyo Shule ya ZANAKI lkn alikataa akamwambia Rais Mkapa nitaitengeza lkn wacha Wasome Mabint wetu kama ilivo iwe chini ya Serikali,,,
Project za Shule Za AGA KHAN zitaendelea kwa kutafuta maeneoa mapya ambayo Yanauitaji.
 
Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88.

Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule zilizojengwa na Aga Khan Tanzania lakini pia alijenga mahospitali mengi sana karibu kila mkoa.

Mungu aipumzishe roho yake pema peponi
=============
A notice on the website of the Aga Khan Development Network - the development organisation he founded - announced his death, saying that he "passed away peacefully in Lisbon on 4 February 2025... surrounded by his family".

It said: "His Highness Prince Karim Al-Hussaini, Aga Khan IV, 49th hereditary Imam of the Shia Ismaili Muslims and direct descendant of the Prophet Muhammad (peace be upon him), passed away peacefully in Lisbon on 4 February 2025, aged 88, surrounded by his family.

View attachment 3225600
Apumzike Kwa amani
 
MUNGU AMUIFADHI PANAPOSTAILI

KUBWA ZAID UYU ALIIPENDA TANZANIA

KAFANYA MENGI SANA TANZANIA

ATA ZA ZANZIBAR AMEIBOLESHA ILE FORODHAN BUSTANI ZA KUPENDEZA
KAWAIDA YAO ATATEULIWA MWENGINE

ATA UYU NAE ALIKUWA NA MTANGULIZI WAKE

KWA JUMUIYA YA AGA KHAN WANAWAITA

MTAKATIFU AGA KHAN kumbukumbuku zake kwa TANZANIA nyingi sana wengine Watakuja kuweka zao!!

Mm hii mbili za ZANZIBAR na Zanaki Rais mkapa alitaka kumrudishia shule ya Zanaki kwasasa iyo Shule kwa wanaojua ipo ktkt ya Shule mbili za AGA KHAN

kwakua eneo lile lote ni la AGA KHAN adi iyo Shule ya ZANAKI lkn alikataa akamwambia Rais Mkapa nitaitengeza lkn wacha Wasome Mabint wetu kama ilivo iwe chini ya Serikali,,,
Project za Shule Za AGA KHAN zitaendelea kwa kutafuta maeneoa mapya ambaya Yanauitaji.
Alikuwa ni bepari mbia (venture capitalist) ambae alijikita kwenye mazingira magumu ya uchumi.

Akihojiwa na gazeti la Financial Times katika mahojiano yaitwayo Coffee with the FT, Coffee with the FT: His Highness the Aga Khan, alisema hakuna maana yoyote kwenda kufanya biashara kwenye uchumi ambao tayari umejinafasi na una rasilimali zote bali yeye huenda kenye uchumi mdogo na wa chini sana.

Akashauri kuiletea maendeleo jamii na wakati huohuo kusaidia uchumi kushamiri na hivyo kuweza kuvutia wawekezaji matajiri wengine waje kwenye eneo hilo.

Na ni kweli kama usemavyo kuna mahospitali yake na vituo vya afya sehemu kadhaa Tanzania.
 
Hizi taarifa huwa available unapozihitaji.

Mimi ni mpenzi wa mbio za farasi na kuna wakati niliishi UK (masomoni) wana uwanja wa mbio za farasi uitwao Ascot. Pale ni kiunga cha watu wote matajiri khasa koo za kifalme na matajiri wengine wengi tu.

Nilikuwa pale nafanya tafiti za koo za kifalme ndo nikawa na uwezo wa kuwachambua hawa watu, "very simple process" wapata habari zote.
Unapata fursa kama hiyo unaenda kujifunza mtu ana watoto na wajukuu wangapi??
 
Back
Top Bottom