Agenda ya Mohamed Said ina ukakasi

Massa,
Msome John Sivalon (1992), Bergen (1981) na Njozi (2002).

Mkuu mimi nimeomba maoni yako Kama mdau na mtanganyika muislam. Nini kifanyike kuondoa matatizo ya waislam Tanzania usikwepeshe tafadhari. Mwisho wa siku vizazi vitawalaumu kwa kushindwa kupata suluhu ya matatizo ya waislam wa Tanzania
 
Anaandika ukweli ambao hutaki kuusikia
 
Mkuu mimi nimeomba maoni yako Kama mdau na mtanganyika muislam. Nini kifanyike kuondoa matatizo ya waislam Tanzania usikwepeshe tafadhari. Mwisho wa siku vizazi vitawalaumu kwa kushindwa kupata suluhu ya matatizo ya waislam wa Tanzania
Massa,
Ningekuwa mkwepaji nisingeandika kitabu cha Abdul Sykes.

Unaniuliza mimi nini kifanyike kwa nini huwaulizi wabunge ambao ndiyo wawakilishi wa umma?
 
Uoga huu

onyesheni uongo wake kwa nyie kuandika ukweli mnaoujua.
 
Mohamed Said analilia kuwa wazazi wake hawakutajwa kwenye historia ya uhuru wa Tanganyika!! This is absurd and totally nonsensical. Hsitory takes big picture only, not those trivials. Any way kama Waislamu wamempa tuzo kwa kuandika pumba its well and good kwa sababu hizo ndiyo wanapenda kusikiliza.

Nimetembea Senegal yenye Waislamu zaidi ya 95%, wala sikukuta Waislamu wenye roho za kulalamika kama huyu babu. Rais wa kwanza wa Senegal Leopold Sedar Senghor ni Mkristu na alitawala kwa muda mrefu kuanzia 1960 hadi 1980, na Waislamu walimpokea na kushirikiana naye. Senegal ni nchi ya mfano ya Waislamu ambao hawana itikadi ya ki -mujahedeen. Wanaswali vizuri bila kelele kwenye minarets zao, hawana shida na minorities Wakristu na nguruwe zao na wala huwezi kuuwakuta vijana wao kwenye operesheni za Al Shabab au Bokoharam. Ila huyu babu siyo wa kumuendekeza, akipata fursa ya kuvaa mabomu atakuja yavaa
 
Nadhan ili uweze kmtuhumu hivyo.na wewe ujitokeze tukujue .sasa ndio upimane ubavu wa kielimu na ki ilmu na mr mohamed.tumia i.d yako real.
Umempa kidonge cha maradhi yake.Ajitokeze tumjue na tuangalia kama ana chochote cha maana alichonacho na alichochangia kwa taifa.
 
Hzo kelele zake hazina madhara kama wengi tunavomfikiria, upuuzi naouona ni yy kutaka kutuaminisha ile ndo historia ya Tanganyika, uandishi wa historia sensitive kama ya taifa unaaangalia vitu vingi
 
Massa,
Ningekuwa mkwepaji nisingeandika kitabu cha Abdul Sykes.

Unaniuliza mimi nini kifanyike kwa nini huwaulizi wabunge ambao ndiyo wawakilishi wa umma?

Nitajie mbunge yeyote aliyoko bungeni kwa mgongo wa dini yake ili nimuulize? Na mimi nimekuhuliza maoni yako Kama muislam. History umeandika nzuri tu. Je kwenye hiyo history hukuona makosa yoyote ambayo ungetamani yafanyiwe marekebisho?
 
Kwa Kweli umepanguaa kila kitu
 
Nitajie mbunge yeyote aliyoko bungeni kwa mgongo wa dini yake ili nimuulize? Na mimi nimekuhuliza maoni yako Kama muislam. History umeandika nzuri tu. Je kwenye hiyo history hukuona makosa yoyote ambayo ungetamani yafanyiwe marekebisho?
Massa,
Mimi kazi yangu ni kusomesha siyo kuingia katika malumbano.
 
Hzo kelele zake hazina madhara kama wengi tunavomfikiria, upuuzi naouona ni yy kutaka kutuaminisha ile ndo historia ya Tanganyika, uandishi wa historia sensitive kama ya taifa unaaangalia vitu vingi
Mpaji...
Naona mjadala unatoka kwenye staha unaingia kwenye "kelele."

Kitabu kipo mwaka wa 25 kimependwa na ndiyo sababu ya kuchapwa mara nne tunakwenda toleo la tano.

Mimi nilimaliza kazi yangu miaka 25 iliyopita.

Sina zaidi.

Baada ya kitabu cha Sykes nimeandika vitabu vingine kadhaa.

Kitabu changu cha mwisho, "Sal Davis An Autobiography," kimetoka mwezi uliopita.

Maisha yanaendelea.
Alhamdulilah.
 
Mohamed Said anajiita hi historian lakini ukumfuatilia hana anachojua zaidi ya historia ya kariakoo.
Sasa nani amekwambia ili uwe Mwanahistoria lazima ujue Historia ya kila mahali ?

Unaweza kuwa Mjuzi wa Historia ya ukoo wenu tu, na ukaitwa Mwanahistoria.

Hujaona watu wanabobea katika Historia fulani tu na wakaitwa Wanahistoria ?
 
Dah,hapo sawa
 
Wewe kweli ni msomi na unajua unachokifanya hongera mkuu. Ila matatizo ya waislam yataendelea kuwepo hadi kiama maana hakuna wa kuyasemea
Massa,
Wako viongozi wa Waislam na wanajishulisha na matatizo ya Waislam.

Sheikh Ponda amefanya mengi kwa Waislam.

Allah atamlipa.
 
Bado kofia utavikwa wew kutokana na chuki yako kwa wakristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…