Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi maku ni sawa na chips zipo kila mahali kuanzia buku mbili kuoa ni kihele hele chetu tuNdo msikulane ivo,msivyotaka kuoa🤒🙄
Halafu si ninatafuta zangu pia.Ukisha mzalia mali bado zitakuw na kwako sema utachelewa kuzitumbua tu
SawasawaSiku hizi maku ni sawa na chips zipo kila mahali kuanzia buku mbili kuoa ni kihele hele chetu tu
Si unamuona huyo ana akili za maruwe ruwe.Ajifanya hakuzaliwa jana kumbe wala hajui kesho yake. Fikra zake ziko kwenye pesa tu.Atabaki hivyo hivyo kama mwehu.Hajui wanawake ndio wanaoleta utulivu ukapata pesa zaidi.Mcheza kikapu maarufu toka NBA, Stephen Jackson amemuacha solemba aliekuwa mchumba wake baada ya kukutaa kisaini makubaliano ya PreNup
Kwa Msaada wa Google Translator:
Umaarufu na utajiri humsaidia sana mtu aliyefanya kazi kwa bidii kwa ajili yake.
Lakini pia huwa na mabadiliko ya kila mtu anayehusika.
Muulize tu Stephen Jackson, ambaye aliona upendo wa maisha yake ukifichua rangi zake halisi kabla hawajakaribia kufunga pingu za maisha na mchumba wake.
Jackson alisimulia hadithi ya kichaa ya wakati alimuacha mchumba wake baada ya kukataa kutia saini makubaliano ya kabla ya ndoa (PreNup).
Jackson anafahamu vyema hadhi yake katika jamii.
Ni mchezaji wa NBA ambaye amejikusanyia kiasi kizuri cha umaarufu na utajiri.
Kusaini prenup halikuwa jambo la kibinafsi au la kujisifu. Alitaka tu kulinda mambo ambayo amefanyia kazi kwa bidii , kulinda mali na utajirialiochuma kipindi yupo NBA.
"Ninajali watu wengi.
Siruhusu mwanamke mmoja kudhibiti kazi ngumu ambayo nimefanya maishani mwangu.
Hakuna m@l@y@ hizi aliyekuwa kwenye mazoezi nami kipindi chote nipo Gym.
Kwa hivyo nilijiambia yeyote ambaye nimeolewa naye, wanasaini prenup , hataki hakuna ndoa." Alisema Jackson
"Ninampa. Ninapompa, asishangae kwa sababu mimi na yeye tulikaa chini na kukubaliana juu ya prenup.
Tulikubali. Nisikilizeni nyote.
Tulikubaliana juu ya prenup" Aliongeza Jackson
Jackson alichukua neno lake na kuendelea na mipango ya harusi.
Bingwa huyo wa mara moja wa NBA alisema alitumia karibu dolar za kimarekani 400,000 ( karibia TSh. 950m za kitanzania ) kwenye siku hiyo kuu.
Jackson aligundua kuwa mwanamke huyo hakuwa ametia saini makubaliano ya kabla ya ndoa walipokuwa wakipanga.
Hakufanya fujo kutoka kwake, akionyesha upendo wake kwa mwanamke
Lakini basi, mambo yalibadilika haraka siku ya arusi yenyewe. Jackson aligundua kwamba mwanamke huyo kwa njia fulani alichukizwa na mchungaji.
Hakujali ni nani atakayeongoza.
Alichotaka ni kuolewa na mpenzi wa maisha yake, lakini ndoa imevunika baada ya mpenzi huyo kutia kuweka saini kwenye PreNup
Jackson alimalizia kwa kusema "I was born at night but not last night"
Akimaanisha "mimi siyo mjinga"
Ref: https://www.basketballnetwork.net/off-the-court/when-stephen-jackson-left-his-fiancé-after-she-didnt-want-to-sign-the-prenup
Kuna la kujifunza hapo
HUYU JAMAA NI SHUJAA ZAIDI YA ASHRAF HAKIM
View attachment 2589869
Umeandika kitu gani hicho?.Ah bora tukulane wenyewe ili mali zibaki kwa wanaume hapa ni mkakati wa tokomeza wanawake na sio kataa ndoa tena🤣🤣🤣🤣
Ndoa zimejengwa katika misingi ya ukandamizaji, Inahitaji busara ya wahusika kufanya mambo yawe fair, Sasa usipofanikiwa kumpata mwenye busara wafwaaa! Hakika Mungu awasaidie, nanyi mtembee na akili zetu kila sehemu.Nashukuru kwauelewa dada yangu, hongera. Sipingi ndoa ila karibia kila siku kuna fikra za wanawake ukizipata kuzijua unazidi kuiona ndoa labda kweli sio sahihi kwasasa. Kuna mwenzako huko sijui anafikiria ndoa ni ajira na usipomlipa mshahara anakwambia unaoa ili iweje. Mungu atusaidie tu!
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi maku ni sawa na chips zipo kila mahali kuanzia buku mbili kuoa ni kihele hele chetu tu
Kwa mantiki hiyo hakuna kuoa wala kuolewa kila mtu apambane kivyake sio??Kabisa, unajua ule mgawanyo wa mali, uliwekwa sababu mke ndiyo mfanya kila kitu kwa mume. Huduma zote za nyumbani. Ila sasa imeshakuwa nongwa, wanaona mwanamke anafaidi. Bora kila mtu abaki na chake tu.
Hata kama ni sufuria vijiko sahan ni vya mwanaume alinunua kanunue vyako matako ya fisiNaona wamatumbi mnasupport hizo mali mnazo au mtagawana sufuria acheni ujinga
Matako ya fisi ni yale ya mama yako yanayonuka uvundo mpaka baba yako akamkimbia aliona funza watajaa ndaniHata kama ni sufuria vijiko sahan ni vya mwanaume alinunua kanunue vyako matako ya fisi
Narudia tena wewe ni matako ya fisi tena fisi poriMatako ya fisi ni yale ya mama yako yanayonuka uvundo mpaka baba yako akamkimbia aliona funza watajaa ndani
Kama yale ya mama yako mzazi tu yananuka uozo wa porini hebu fikiria umezaliwa na mama mwenye matako yameoza dah alafu unakuja kuongea ujinga mtandaoni😂😂😂😂Narudia tena wewe ni matako ya fisi tena fisi pori
Akili yako imejaa mavii
Narudia tena mara ya tatu wewe ni matako ya fisi poriKama yale ya mama yako mzazi tu yananuka uozo wa porini hebu fikiria umezaliwa na mama mwenye matako yameoza dah alafu unakuja kuongea ujinga mtandaoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si kama ya mama yako mzazi tu au yake kisa yana harufu unaona yana tofauti au sioNarudia tena mara ya tatu wewe ni matako ya fisi pori
Familia yalipa majambazi Tsh 800,000/= Yamuue baba wa familia. 😭Hiyo inaitwa Life insurance. Unakwenda kampuni ya bima unakwenda kuingia nao mkataba kuwa endapo itatokea umekata waya kuanzia umri fulani say baada ya miaka 50 au 60 watalipa familia yako kwa maana ya mtoto na mke kiasi fulani mfano milioni 300 then wewe kila mwaka unalipa premium yao labda ya milioni 5 au 10.
Hii ni risk sana huko US watu wengi wanafanya hii michezo. Ingia YouTube hapo utakuta documentary videos zinaelezea homicides case nyingi ambazo unakuta kuna mwanaume au mwanamke ndio life style yake hiyo anaishi kwa kuanzisha mahusiano na mzee mtu mzima au kama ni kijana anatafuta wale wamama waliofika utu uzima kuanzia miaka 35 and above wanakuwa desperate na ndoa na mahusiano ya familia.
Ndoa inafungwa jamaa anakuwa entitled kuwa beneficiary wa life assurance ya mkewe kisha anatengeneza mazingira ya kumuua ili akacollect pesa hizo na mali kisha anapita hivi anaendelea na life yake anakwenda kutafuta mtu mwingine mwenye life assurance akatengeneze mtego apite nae.