Aghairi kufunga ndoa iliyogharimu Tsh. 950m baada ya Mchumba wake kukataa kusaini PreNup

Unafanya kilakitu wapi wewe! Wakati sikuhi house girl ndo anafanya kilakitu
Yaani kauli za kiwizi wizi tu hakaoni hata aibu kuongea uongo. Hapo ukikutana nako kamegundika makucha marefu kama jini. Sasa sijui hizo kazi kanazosema kanafanya huwa kanazifanyaje.
 
Unalinganisha mapenzi na mali? Kwani kwangu sili? Silali? Ninakoelekea wenda huu mkataba utanihusu na nitauomba mwenyewe nachokitaka ni upendo mali akipenda anipe asiponipa aacha anipe upendo tu inatosha.
Na ukiomba sasa ndio hatutoi maana unakuwa unatupa shaka kwann ukatae tusikupe mali hata kidogo. Kama mimi ukinambia hutaki mali zangu nakugomea Ndoa huwezi nipa penzi la kweli halafu unizuie nisikupe sehemu ya mali zangu uzimiliki kama zako. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mcheza kikapu maarufu toka NBA, Stephen Jackson amemuacha solemba aliekuwa mchumba wake baada ya kukutaa kisaini makubaliano ya PreNup

Kwa Msaada wa Google Translator:

Umaarufu na utajiri humsaidia sana mtu aliyefanya kazi kwa bidii kwa ajili yake.

Lakini pia huwa na mabadiliko ya kila mtu anayehusika.

Muulize tu Stephen Jackson, ambaye aliona upendo wa maisha yake ukifichua rangi zake halisi kabla hawajakaribia kufunga pingu za maisha na mchumba wake.

Jackson alisimulia hadithi ya kichaa ya wakati alimuacha mchumba wake baada ya kukataa kutia saini makubaliano ya kabla ya ndoa (PreNup).

Jackson anafahamu vyema hadhi yake katika jamii.

Ni mchezaji wa NBA ambaye amejikusanyia kiasi kizuri cha umaarufu na utajiri.

Kusaini prenup halikuwa jambo la kibinafsi au la kujisifu. Alitaka tu kulinda mambo ambayo amefanyia kazi kwa bidii , kulinda mali na utajirialiochuma kipindi yupo NBA.

"Ninajali watu wengi.

Siruhusu mwanamke mmoja kudhibiti kazi ngumu ambayo nimefanya maishani mwangu.

Hakuna m@l@y@ hizi aliyekuwa kwenye mazoezi nami kipindi chote nipo Gym.

Kwa hivyo nilijiambia yeyote ambaye nimeolewa naye, wanasaini prenup , hataki hakuna ndoa."
Alisema Jackson

"Ninampa. Ninapompa, asishangae kwa sababu mimi na yeye tulikaa chini na kukubaliana juu ya prenup.

Tulikubali. Nisikilizeni nyote.

Tulikubaliana juu ya prenup" Aliongeza Jackson

Jackson alichukua neno lake na kuendelea na mipango ya harusi.

Bingwa huyo wa mara moja wa NBA alisema alitumia karibu dolar za kimarekani 400,000 ( karibia TSh. 950m za kitanzania ) kwenye siku hiyo kuu.

Jackson aligundua kuwa mwanamke huyo hakuwa ametia saini makubaliano ya kabla ya ndoa walipokuwa wakipanga.

Hakufanya fujo kutoka kwake, akionyesha upendo wake kwa mwanamke

Lakini basi, mambo yalibadilika haraka siku ya arusi yenyewe. Jackson aligundua kwamba mwanamke huyo kwa njia fulani alichukizwa na mchungaji.

Hakujali ni nani atakayeongoza.

Alichotaka ni kuolewa na mpenzi wa maisha yake, lakini ndoa imevunika baada ya mpenzi huyo kutia kuweka saini kwenye PreNup

Jackson alimalizia kwa kusema "I was born at night but not last night"

Akimaanisha "mimi siyo mjinga"

Ref: https://www.basketballnetwork.net/off-the-court/when-stephen-jackson-left-his-fiancé-after-she-didnt-want-to-sign-the-prenup

Kuna la kujifunza hapo

HUYU JAMAA NI SHUJAA ZAIDI YA ASHRAF HAKIM

View attachment 2589869
Huyu sio shujaa tu... Bali ndie mentor wa Achraf hakimi
 
Nampenda Sana Beyonce sijui Kwa Nini
The lady ana real love Kwa jigga mnooo
Maana Kwa vurugu za jigga angekua ametemana nae Kitambo sana but they are still hold onto each other with pure luv
Nawapenda sana
Beyonce tokea mdogo alikuwa anatafuta mwanaume wa kumpenda ile ya kutoka moyoni na alikuwa ameshaweka matarajio ya kupata mwanaume wa kumpenda ya dhati.

Beyonce na pesa zake na uzuri wote ule vile ila kwa Jay z anajifanya fala kabisa ili abakie katika mapenzi na ndio maana hadi kesho haujasikia ana skendo za kipuuzi kama hawa akina Jenipher Lopez na akina Halle berry ambao kutwa ni kupigwa miti na wanaume tofauti na kukushanya mapete ya uchumba utadhani THANOS.

Alikuwaga na jamaa yake kitambo ambaye walikubaliana kuwa atampa mchezo baada ya kufunga Ndoa. Ila sasa Beyonce kipindi hicho ni binti mdogo hajafika hata 18 yaani ni yule first boyfriend wake. Beyonce alikuwa ndio kwenye mishe za kwenda kwenye talent show za watoto kipindi hicho wakiwa madogo na akina Alicia keys, akina Justin Timberlake, akina Ashanti wanakutana tu juu kwa juu.

Kale kaboyfriend kake kakaona miyeyusho kakatafuta mademu kakawa kanagonga chini chini Beyonce baadae akaja kujua maana kale kabweke kalimfungukia kumwambia anakabania gemu sasa hadi kanalazimika kutafuta mchezo nje kwa mademu wengine.

Ndipo Beyonce akaachana nako ila hadi leo Beyonce huwa anasema katika heart break aliyopitia ya mahusiano ni ile na hakuna heart break nyingine kufikia ile. Beyonce anaonekana ni mwanamke faithful sana kwa Jay Z na ndio maana hata ile siku Jay Z kagundulika alikuwa anamendea mzigo kwa demu mwingine shemeji yake akamlamba makofi pale kwenye lift maana anajua dada yake ni mwaminifu sana kwa jamaa.
 
Kabisa, unajua ule mgawanyo wa mali, uliwekwa sababu mke ndiyo mfanya kila kitu kwa mume. Huduma zote za nyumbani. Ila sasa imeshakuwa nongwa, wanaona mwanamke anafaidi. Bora kila mtu abaki na chake tu.

Mabibi zenu walikua wanakataa kwenye ndoa hadi mwisho ilikua ni mpaka apewe taraka yeye ila shida ya sikuizi mwanamke ndo anaomba taraka(haki+ujuaji) yan haelewi af unakuta mwanume katafta maisha tokea utoto wake lets say 30 yrs, then we umekuja kukaa nae kwenye ndoa (HATA BIKRA HUNA) kuanzia hapo af baada ya miaka mitatu+(mtoto mmoja) unaomba taraka et mwanaume kakushinda tabia af unataka 50/50!! huo si utapeli!

Mwanamke anayeweza sema ivo nikakubali ni yule alietafuta na mwaname sence ZERO hadi hapo, mimi nahutu tumali mjinga nilitobahatisha kumiliki siku mke wangu akisema anataka taraka na anataka pasupasu siwezi kukataa Wallah maana kahangaika na mimi tokea sina A wala B wala haitoniuma maana ni haki yake kabisa.
 
Mke wa Hakimi vile hakusign prenup alijua kashinda, kumbe mali zote ni za mama.Kama kweli unampenda mwanaume kwa nini usisign prenup?Kwanza ukimzalia watoto ,watoto watakuwa warithi wake.
Ukisha mzalia mali bado zitakuw na kwako sema utachelewa kuzitumbua tu
 
Ckuii Hakuna mapenzi kbsa watu wanaingia kwenye mahusiano/ ndoa with an intend of their own personal gains/ interests
 
Ningekuwa mimi ni huyo mwanaume huyo mke ange uwawa kifo cha kikatili sana..

Hawa ndio wale wanawake unasikia ame uwawa na watu wasiojulikana.

Chanzo ndio migogoro kama hii.
Ukweli kabisa, ukatili hauwezi isha kama kuna ukandamizaji kwa upande mmoja, mbaya zaidi sheria isiwe suluhu ya haki. Haki yenyewe imeegamia kwenye ukandamizaji. 50/50 WTF!

Sijui hao wanasheria waliangalia kigezo gani kutunga sheria ya ya ujumla jumla ya 50/50. Walau iwe 30/70 kwa kuzingatia aliyezalisha zaidi, Understandably, dunia ya zamani wanawake walikaa nyumbani kuhudumia familia, hivyo kama ndoa imevunjika lazima huyu mwanamke alindwe.

Ajabu sheria iliyotumika miongo 9 nyuma bado inatumika sasa, Kwa sasa kuna walau fair ground katika upatikanaji wa Elimu, nafasi za kazi na nafasi za biashara. Iweje 50/50 iendelee kuapply? Binafsi sijakatazwa kusoma, sijakatazwa kukukua carrer wise, sijakatazwa kufanya biashara, ikiwa sitaweza kufanya hivyo ni kosa langu mwenyewe, Sijakatazwa kutafuta mali etc. ALTHOUGH BAADHI ya wanawake tunasucrifice mambo fulani fulani kwaajili ya ustawi wa ndoa na familia zetu, mathalani ukijukumika sana kiutafutaji kuna sehemu kifamilia utapwaya, ndiposa mtu unaona ya nini mie? Si nimeshaolewa ngoja nifanye kwa kiasi ili niweze kubalance na mambo ya familia, hapo ndipo msingi wa mgao unakuja kama ndoa ikivunjika, God forbid. Ila mgao huo si haki uwe 50/50.

Kutafuta pesa si rahisi jamani tuache kunormalize unyonyaji. Kuna mambo ni sahihi kuyashadadia ikiwa utajiweka kwenye position ya mhusika, au utamuweka mwanao, dada yako, kaka yako etc kwenye position ya mhusika.

Hivyo wakataa ndoa wana hoja, au uwe mwendo wa kusignishana prenup tu, Na kwa hakika tunakoelelea wanaoingia ndoani ni wale wanaozihitaji katika msingi wake mkuu, matapeli wote watakaa kando.
 
Na ukiomba sasa ndio hatutoi maana unakuwa unatupa shaka kwann ukatae tusikupe mali hata kidogo. Kama mimi ukinambia hutaki mali zangu nakugomea Ndoa huwezi nipa penzi la kweli halafu unizuie nisikupe sehemu ya mali zangu uzimiliki kama zako. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mali ni shida si bora kuacha furaha muhimu. Kelele za mali za nini?
 
Tusipobadili sheria tutegemee watu kuuana kimya kimya mwendo wa kuviziana.
 
Ukweli kabisa, ukatili hauwezi isha kama kuna ukandamizaji kwa upande mmoja, mbaya zaidi sheria isiwe suluhu ya haki. Haki yenyewe imeegamia kwenye ukandamizaji. 50/50 WTF!

Sijui hao wanasheria waliangalia kigezo gani kutunga sheria ya ya ujumla jumla ya 50/50. Walau iwe 30/70 kwa kuzingatia aliyezalisha zaidi, Understandably, dunia ya zamani wanawake walikaa nyumbani kuhudumia familia, hivyo kama ndoa imevunjika lazima huyu mwanamke alindwe.

Ajabu sheria iliyotumika miongo 9 nyuma bado inatumika sasa, Kwa sasa kuna walau fair ground katika upatikanaji wa Elimu, nafasi za kazi na nafasi za biashara. Iweje 50/50 iendelee kuapply? Binafsi sijakatazwa kusoma, sijakatazwa kukukua carrer wise, sijakatazwa kufanya biashara, ikiwa sitaweza kufanya hivyo ni kosa langu mwenyewe, Sijakatazwa kutafuta mali etc. ALTHOUGH BAADHI ya wanawake tunasucrifice mambo fulani fulani kwaajili ya ustawi wa ndoa na familia zetu, mathalani ukijukumika sana kiutafutaji kuna sehemu kifamilia utapwaya, ndiposa mtu unaona ya nini mie? Si nimeshaolewa ngoja nifanye kwa kiasi ili niweze kubalance na mambo ya familia, hapo ndipo msingi wa mgao unakuja kama ndoa ikivunjika, God forbid. Ila mgao huo si haki uwe 50/50.

Kutafuta pesa si rahisi jamani tuache kunormalize unyonyaji. Kuna mambo ni sahihi kuyashadadia ikiwa utajiweka kwenye position ya mhusika, au utamuweka mwanao, dada yako, kaka yako etc kwenye position ya mhusika.

Hivyo wakataa ndoa wana hoja, au uwe mwendo wa kusignishana prenup tu, Na kwa hakika tunakoelelea wanaoingia ndoani ni wale wanaozihitaji katika msingi wake mkuu, matapeli wote watakaa kando.
Nashukuru kwauelewa dada yangu, hongera. Sipingi ndoa ila karibia kila siku kuna fikra za wanawake ukizipata kuzijua unazidi kuiona ndoa labda kweli sio sahihi kwasasa. Kuna mwenzako huko sijui anafikiria ndoa ni ajira na usipomlipa mshahara anakwambia unaoa ili iweje. Mungu atusaidie tu!
 
Ebana eeh kumbe kuna hii kitu, nikajuaga hamna namna zaidi ya kugawana mali tu.
Hakimi katusanua aisee
 
Mcheza kikapu maarufu toka NBA, Stephen Jackson amemuacha solemba aliekuwa mchumba wake baada ya kukutaa kisaini makubaliano ya PreNup

Kwa Msaada wa Google Translator:

Umaarufu na utajiri humsaidia sana mtu aliyefanya kazi kwa bidii kwa ajili yake.

Lakini pia huwa na mabadiliko ya kila mtu anayehusika.

Muulize tu Stephen Jackson, ambaye aliona upendo wa maisha yake ukifichua rangi zake halisi kabla hawajakaribia kufunga pingu za maisha na mchumba wake.

Jackson alisimulia hadithi ya kichaa ya wakati alimuacha mchumba wake baada ya kukataa kutia saini makubaliano ya kabla ya ndoa (PreNup).

Jackson anafahamu vyema hadhi yake katika jamii.

Ni mchezaji wa NBA ambaye amejikusanyia kiasi kizuri cha umaarufu na utajiri.

Kusaini prenup halikuwa jambo la kibinafsi au la kujisifu. Alitaka tu kulinda mambo ambayo amefanyia kazi kwa bidii , kulinda mali na utajirialiochuma kipindi yupo NBA.

"Ninajali watu wengi.

Siruhusu mwanamke mmoja kudhibiti kazi ngumu ambayo nimefanya maishani mwangu.

Hakuna m@l@y@ hizi aliyekuwa kwenye mazoezi nami kipindi chote nipo Gym.

Kwa hivyo nilijiambia yeyote ambaye nimeolewa naye, wanasaini prenup , hataki hakuna ndoa."
Alisema Jackson

"Ninampa. Ninapompa, asishangae kwa sababu mimi na yeye tulikaa chini na kukubaliana juu ya prenup.

Tulikubali. Nisikilizeni nyote.

Tulikubaliana juu ya prenup" Aliongeza Jackson

Jackson alichukua neno lake na kuendelea na mipango ya harusi.

Bingwa huyo wa mara moja wa NBA alisema alitumia karibu dolar za kimarekani 400,000 ( karibia TSh. 950m za kitanzania ) kwenye siku hiyo kuu.

Jackson aligundua kuwa mwanamke huyo hakuwa ametia saini makubaliano ya kabla ya ndoa walipokuwa wakipanga.

Hakufanya fujo kutoka kwake, akionyesha upendo wake kwa mwanamke

Lakini basi, mambo yalibadilika haraka siku ya arusi yenyewe. Jackson aligundua kwamba mwanamke huyo kwa njia fulani alichukizwa na mchungaji.

Hakujali ni nani atakayeongoza.

Alichotaka ni kuolewa na mpenzi wa maisha yake, lakini ndoa imevunika baada ya mpenzi huyo kutia kuweka saini kwenye PreNup

Jackson alimalizia kwa kusema "I was born at night but not last night"

Akimaanisha "mimi siyo mjinga"

Ref: https://www.basketballnetwork.net/off-the-court/when-stephen-jackson-left-his-fiancé-after-she-didnt-want-to-sign-the-prenup

Kuna la kujifunza hapo

HUYU JAMAA NI SHUJAA ZAIDI YA ASHRAF HAKIM

View attachment 2589869
Mwamba huyu hapa
 
Back
Top Bottom