Unafanya kilakitu wapi wewe! Wakati sikuhi house girl ndo anafanya kilakituKabisa, unajua ule mgawanyo wa mali, uliwekwa sababu mke ndiyo mfanya kila kitu kwa mume. Huduma zote za nyumbani. Ila sasa imeshakuwa nongwa, wanaona mwanamke anafaidi. Bora kila mtu abaki na chake tu.