[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu hamkutii hakimi! Hakimi kashinda baada ya tukio kutokea, huyu kashinda kabla ya tatizo kutokea!
Hakimi ni mwenyekiti wa kudumu wa chama cha wanaume duniani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu hamkutii hakimi! Hakimi kashinda baada ya tukio kutokea, huyu kashinda kabla ya tatizo kutokea!
Hakimi ni mwenyekiti wa kudumu wa chama cha wanaume duniani!
Well said. Tena Kwa Sasa mwanaume anayetaka kumsomesha mwanamke bola wakaandikiane mahakamani kwamba endapo nikikusomesha alafu ukakataa kuolewa na Mimi, vyeti vinanyang'anya au faini mara mia ya Ile gharama niliyotumua kukusomesha. Alafu suala la wanawake kuwauwa waume zao ingawa hatuna usibitisho ila linasemekana lipo sana, hivyo iliwepo Sheria. Yaani wamezidi mpaka vijana wanaogopa kuoa baadhi ya Kanda Fulani kwamba kule ni HATARI. MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA.Ni shujaa lakini hajamfikia Ashraf.
Wanawake wengi wanaingia jwenye ndoa ili wadhulumu mali.
KUna wanaoua waume zao na kurithi mali, kuna wanaorubuni mali ziandikwe majina yao kisha baadae wake hao wanaruka kuwa mali ni zao binafsi kuna wanaosomeshwa na wanaume kwa ahadi ya kuolewa nao huku wakijua hawawezi kamwe kukubali kuolewa na hao waliowasomesha; wakishindwa haya yote ndipo mahakama hutumika kama lqst resort ya kumnyang'anya mume mali.
KUna siku jamaa wa bima walikuja kazini kushawishi watu wakate bima mbalimbali, basi mhamasishaji mmoja akatueleza kuhusu jamaa .moja huko Iringa alikata bima akifa familia yake ipewe milioni mia saba na ushee ( kiasi halisi nimeficha makusudi). Kilichotokea inasemekana mke alimuua mumewe baada ya muda mfupi tangu mume alipokata bima. Ndugu wa mume walijaribu kuizuia kampuni ya bima isimlipe mke kwani walijua kwa uhakika mke ndiye aliyemuua lakini kampuni ilikataa na ikamlipa kwa sababu ya mkataba na hakukuwa na uthibitisho wa kimahakama.Well said. Tena Kwa Sasa mwanaume anayetaka kumsomesha mwanamke bola wakaandikiane mahakamani kwamba endapo nikikusomesha alafu ukakataa kuolewa na Mimi, vyeti vinanyang'anya au faini mara mia ya Ile gharama niliyotumua kukusomesha. Alafu suala la wanawake kuwauwa waume zao ingawa hatuna usibitisho ila linasemekana lipo sana, hivyo iliwepo Sheria. Yaani wamezidi mpaka vijana wanaogopa kuoa baadhi ya Kanda Fulani kwamba kule ni HATARI. MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Mambo mengine ni kuukaribisha ushetani tuKUna siku jamaa wa bima walikuja kazini kushawishi watu wakate bima mbalimbali, basi mhamasishaji mmoja akatueleza kuhusu jamaa .moja huko Iringa alikata bima akifa familia yake ipewe milioni mia saba na ushee ( kiasi halisi nimeficha makusudi). Kilichotokea inasemekana mke alimuua mumewe baada ya muda mfupi tangu mume alipokata bima. Ndugu wa mume walijaribu kuizuia kampuni ya bima isimlipe mke kwani walijua kwa uhakika mke ndiye aliyemuua lakini kampuni ilikataa na ikamlipa kwa sababu ya mkataba na hakukuwa na uthibitisho wa kimahakama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ningekuwa mimi ni huyo mwanaume huyo mke ange uwawa kifo cha kikatili sana..
Hawa ndio wale wanawake unasikia ame uwawa na watu wasiojulikana.
Chanzo ndio migogoro kama hii.
well saidNaona wamatumbi mnasupport hizo mali mnazo au mtagawana sufuria acheni ujinga
Aseee! Yaani maumivu makali sana Kwa familia.KUna siku jamaa wa bima walikuja kazini kushawishi watu wakate bima mbalimbali, basi mhamasishaji mmoja akatueleza kuhusu jamaa .moja huko Iringa alikata bima akifa familia yake ipewe milioni mia saba na ushee ( kiasi halisi nimeficha makusudi). Kilichotokea inasemekana mke alimuua mumewe baada ya muda mfupi tangu mume alipokata bima. Ndugu wa mume walijaribu kuizuia kampuni ya bima isimlipe mke kwani walijua kwa uhakika mke ndiye aliyemuua lakini kampuni ilikataa na ikamlipa kwa sababu ya mkataba na hakukuwa na uthibitisho wa kimahakama.
Kwa hiyo 50% ni kwa ajili ya kufua boksa!![emoji1] [emoji1787]Ndo kilichobaki....tena wasitegemee kufuliwa hata boksa
🤣🤣🤣🤒Kwa hiyo 50% ni kwa ajili ya kufua boksa!![emoji1] [emoji1787]
Makubaliano ya mgawanyo WA Mali kabla ya ndoa kisheriaPre nup ndo nini
Ipo mbona majizzo amefanya hvyo nadhaniHii prenup inabdi hata bongo ije ili heshima iwepo.
NdiooKumbe kamsainisha mama gg prenup?? Ndio maana kutwa anahusia wanawake kujijenga kiuchumi kumbe anajua hakuna chochote pale mweeh
Zipo SIKU nyingi sana sema ndo hvyo mapenzi upofu rafikiHuo utakuwa mkataba mzuri ili kuzuia uhuni wa wanawake wapenda pesa na kuiba mali za wapambanaji. Maana nasikia wapo wanawake wa kizungu ambao kazi Yao ni kupola mali za wanaume Kwa kufata Sheria inayowalinda. Sasa wamekwisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wanaona nongwa hamna mnachokifanya Cha maanaKabisa, unajua ule mgawanyo wa mali, uliwekwa sababu mke ndiyo mfanya kila kitu kwa mume. Huduma zote za nyumbani. Ila sasa imeshakuwa nongwa, wanaona mwanamke anafaidi. Bora kila mtu abaki na chake tu.
Pre nup ndo nini
Mashine zipo kwanini, ufueNdo kilichobaki....tena wasitegemee kufuliwa hata boksa