Aghairi kufunga ndoa iliyogharimu Tsh. 950m baada ya Mchumba wake kukataa kusaini PreNup

Ni shujaa lakini hajamfikia Ashraf.

Wanawake wengi wanaingia jwenye ndoa ili wadhulumu mali.

KUna wanaoua waume zao na kurithi mali, kuna wanaorubuni mali ziandikwe majina yao kisha baadae wake hao wanaruka kuwa mali ni zao binafsi kuna wanaosomeshwa na wanaume kwa ahadi ya kuolewa nao huku wakijua hawawezi kamwe kukubali kuolewa na hao waliowasomesha; wakishindwa haya yote ndipo mahakama hutumika kama lqst resort ya kumnyang'anya mume mali.
Well said. Tena Kwa Sasa mwanaume anayetaka kumsomesha mwanamke bola wakaandikiane mahakamani kwamba endapo nikikusomesha alafu ukakataa kuolewa na Mimi, vyeti vinanyang'anya au faini mara mia ya Ile gharama niliyotumua kukusomesha. Alafu suala la wanawake kuwauwa waume zao ingawa hatuna usibitisho ila linasemekana lipo sana, hivyo iliwepo Sheria. Yaani wamezidi mpaka vijana wanaogopa kuoa baadhi ya Kanda Fulani kwamba kule ni HATARI. MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
KUna siku jamaa wa bima walikuja kazini kushawishi watu wakate bima mbalimbali, basi mhamasishaji mmoja akatueleza kuhusu jamaa .moja huko Iringa alikata bima akifa familia yake ipewe milioni mia saba na ushee ( kiasi halisi nimeficha makusudi). Kilichotokea inasemekana mke alimuua mumewe baada ya muda mfupi tangu mume alipokata bima. Ndugu wa mume walijaribu kuizuia kampuni ya bima isimlipe mke kwani walijua kwa uhakika mke ndiye aliyemuua lakini kampuni ilikataa na ikamlipa kwa sababu ya mkataba na hakukuwa na uthibitisho wa kimahakama.
 
Mambo mengine ni kuukaribisha ushetani tu
 
Ningekuwa mimi ni huyo mwanaume huyo mke ange uwawa kifo cha kikatili sana..

Hawa ndio wale wanawake unasikia ame uwawa na watu wasiojulikana.

Chanzo ndio migogoro kama hii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watu wakisikia mtu kauwawa wawe wanauliza sababu
 
KUna siku jamaa wa bima walikuja kazini kushawishi watu wakate bima mbalimbali, basi mhamasishaji mmoja akatueleza kuhusu jamaa .moja huko Iringa alikata bima akifa familia yake ipewe milioni mia saba na ushee ( kiasi halisi nimeficha makusudi). Kilichotokea inasemekana mke alimuua mumewe baada ya muda mfupi tangu mume alipokata bima. Ndugu wa mume walijaribu kuizuia kampuni ya bima isimlipe mke kwani walijua kwa uhakika mke ndiye aliyemuua lakini kampuni ilikataa na ikamlipa kwa sababu ya mkataba na hakukuwa na uthibitisho wa kimahakama.
Aseee! Yaani maumivu makali sana Kwa familia.
 
Ni kusainishana...kuwa Mali zangu ni zangu,hata tukiachana huchukui hata mia.Hata mda ambao bado tuko wote.Wanaume tumeamka.No easy food to them.
 
Huo utakuwa mkataba mzuri ili kuzuia uhuni wa wanawake wapenda pesa na kuiba mali za wapambanaji. Maana nasikia wapo wanawake wa kizungu ambao kazi Yao ni kupola mali za wanaume Kwa kufata Sheria inayowalinda. Sasa wamekwisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Zipo SIKU nyingi sana sema ndo hvyo mapenzi upofu rafiki
 
Kabisa, unajua ule mgawanyo wa mali, uliwekwa sababu mke ndiyo mfanya kila kitu kwa mume. Huduma zote za nyumbani. Ila sasa imeshakuwa nongwa, wanaona mwanamke anafaidi. Bora kila mtu abaki na chake tu.
Sio wanaona nongwa hamna mnachokifanya Cha maana

Tofauti na mama zenu
 
Pre nup ndo nini

Ni mkataba maalumu baina ya wapendanao, wanaokusudia kufunga ndoa.

Wanakubaliana kwamba mfano, mali za mwanaume au mwanamke ambazo amechuma kabla ya ndoa hazitahusika katika mgawanyo wa asilimia 50/50 endapo ndoa itavunjika.

Kwamba kutakachogawanywa ni kile watakachochuma pamoja. Pia wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuweka kipengele cha kusema kwamba kila mtu atamiliki vitu vyake binafsi na siyo kifamilia labda wakubaliane nje ya huo mkataba.

Kimsingi, hii inawalinda sana wanaume, wanawake wengi wanafunga ndoa na matajiri ili kujipatia mali kwa haraka bila kulitolea jasho.
 
Back
Top Bottom