dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
- Thread starter
- #21
aliye ng'ang'ana na ndoa ni KE, jamaa akaweka mkeka paleAsioe akae mwenyewe tu anaoa ili iweje
KE kala kona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aliye ng'ang'ana na ndoa ni KE, jamaa akaweka mkeka paleAsioe akae mwenyewe tu anaoa ili iweje
National Anthem Umeona uliyekuwa unaniunganisha nae😥Ah bora tukulane wenyewe ili mali zibaki kwa wanaume hapa ni mkakati wa tokomeza wanawake na sio kataa ndoa tena🤣🤣🤣🤣
😅😅 kwenye makubaliano yako na mzabzab ya kuzaa nae pacha sikuwepoNational Anthem Umeona uliyekuwa unaniunganisha nae😥
Kumbe kamsainisha mama gg prenup?? Ndio maana kutwa anahusia wanawake kujijenga kiuchumi kumbe anajua hakuna chochote pale mweehMajizzo, mjanja pekee Tz aliyesanuka na PreNup, hataki ujinga
chochote kipo, ila siyo ile 50/50 splitKumbe kamsainisha mama gg prenup?? Ndio maana kutwa anahusia wanawake kujijenga kiuchumi kumbe anajua hakuna chochote pale mweeh
nilijaribu kuandika pembeni nikaona natoa maboko, kuandika ni kipaji aiseeGoogle tlanslator imeharibu utamu wa habar Kenny Uzi wako mkuu
Bora ungeiandika mwnyw TU,nilijaribu kuandika pembeni nikaona natoa maboko, kuandika ni kipaji aisee
punchline ya hatari sanaHakuna m@l@y@ hizi aliyekuwa kwenye mazoezi nami.
nisadie mzee ni edit, mie nimeshindwa,Bora ungeiandika mwnyw TU,
Hata kwa kifupi ingekaa POA Sana[emoji4]
BAKITA wamezubaa mno acha wakenya watuwakilishe na hiyo swahili mbofu mbofu 😂Wakenya ndo walipewa task ya Google translation ya kiswahil eh..kazi ipo